VIGOGO WA HALOTEL NA ZANTEL WATUPWA MAHABUSU

Watu sita wakiwamo wakurugenzi watendaji wa Kampuni za Simu za Mkononi, Le Van Dai (35) wa Halotel na Sherif El-Barary wa Zantel, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi.

Makosa yao yanahusisha kula njama, kuingiza, kufunga mitambo, matumizi ya laini za simu bila usajili wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Sh. bilioni moja.

Washtakiwa hao walisomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Mfawidhi, Calvin...

Malunde

Read more


Habari Zinazoendana

12 months ago

Zanzibar 24

Vigogo wa Halotel na Zantel wasekwa rumande

Watu sita wakiwamo wakurugenzi watendaji wa Kampuni za Simu za Mkononi, Le Van Dai (35) wa Halotel na Sherif El-Barary wa Zantel, wamefikishwa mahakamani wakikabiliwa na mashtaka ya uhujumu uchumi. Makosa yao yanahusisha kula njama, kuingiza, kufunga mitambo, matumizi ya laini za simu bila usajili wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) na kuisababishia serikali hasara ya zaidi ya Sh. bilioni moja. Washtakiwa hao walisomewa mashtaka yao mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Mfawidhi, Calvin...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Viongozi wa CHADEMA watupwa mahabusu

Mkuu wa Idara ya Mawasiliano na Habari CHADEMA Tumaini Makene amethibitisha hilo na kusema kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe Freeman Mbowe na baadhi ya viongozi wengine waandamizi wa chama hicho akiwepo Katibu Mkuu Dkt Vincent Mashinji, John Mnyika, Salum Mwalimu na Ester Matiko wamewekwa mahabusu baada ya kuripoti Kituo Kikuu Cha Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam wakitimiza masharti ya dhamana yao.

“Viongozi Wakuu wa Chama pamoja na wabunge waliokuwa wameripoti Kituo Kikuu cha Polisi...

 

1 year ago

Michuzi

MBOWE, VIGOGO WENZAKE CHADEMA WATOKA MAHABUSU KWA DHAMANA


Na Bakari Majeshi, Globu ya jamiiHATIMAYE baada ya kukaa mahabusu kwa siku saba na kusherehekea sikuu ya Pasaka wakiwa gerezani,Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe pamoja na vigogo wengine sita wa chama hicho leo Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewaachia kwa dhamana,baada ya kukamilisha masharti ya dhamana.
Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashtaka tisa yakiwemo ya Uchochezi wa Uasi na kufanya mkusanyiko isivyo halali kinyume cha sheria.
Mbali ya Mbowe washtakiwa wengine ni Mbunge wa...

 

1 year ago

Malunde

VIGOGO WA CHADEMA WAWEKWA MAHABUSU..YUMO MBOWE,MSIGWA,MASHINJI,MNYIKA,MWALIMU, MATIKO

Wakili wa viongozi wa Chadema, Frederick Kihwelo amesema mbunge wa chama hicho Iringa Mjini, Mchungaji Peter Msigwa naye ameungwanishwa na viongozi waliowekwa mahabusu katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam.Akizungumza  leo mchana Machi 27, 2018, Kihwelo amesema Mchungaji Msigwa aliitwa na alipofika polisi naye aliunganishwa na wenzake.
Awali, Kihwelo ameeleza kuwa viongozi hao wamefutiwa dhamana kwa kuwa wanapotakiwa kuripoti polisi, baadhi yao hushindwa kutokea.
Viongozi wengine...

 

2 years ago

Dewji Blog

Zantel, BAKWATA wazindua huduma mpya ya ‘Zantel Madrasa’

Zantel kwa kushirikiana na Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) imezindua huduma mpya inayojulikana kama ‘Zantel Madrasa’ ambayo itawawezesha waumini wa dini ya Kiislamu kujifunza kuhusu imani ya dini hiyo pamoja na kupata mafundisho kupitia simu zao za mkononi.

Huduma hiyo itajumuisha mambo mbalimbali kama vile Hadithi, Quran, Dua na huduma nyingine nyingi kupitia ‘App’ kwenye simu ya smartphone ((IVR/SMS/Mobile App and Bakwata News), ambapo pia mteja ataweza kupata taarifa kwa kupiga...

 

3 years ago

Mwananchi

Mahabusu adaiwa kuua mahabusu mwenzake

Fundi ujenzi wa mtaa wa Kwere Wilayani Babati Mkoani Manyara, Mohamed Pagweje (29) ameuawa baada ya kupigwa kichwani na mtu anayedaiwa kuwa na upungufu wa akili wakiwa mahabusu kituo cha polisi mjini Babati.

 

5 years ago

Habarileo

Watupwa jela miaka 26

MAHAKAMA ya Wilaya ya Bariadi mkoani Simiyu, imehukumu watu sita kwenda jela miaka 26 na wengine miaka 28 kila mmoja, kwa kuingia ndani ya Hifadhi ya Serengeti na Eneo Tegefu la Maswa bila ya kibali.

 

3 years ago

Mwananchi

Watupwa jela miaka 30

Mahakama ya Hakimu Mfawidhi wa Wilaya ya Musoma mkoani Mara, imewahukumu watu watatu kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kubaka, kulawiti na unyang’anyi wa kutumia silaha.

 

4 years ago

Habarileo

Mramba, Yona watupwa jela

Aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba akiteta na Wakili wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam jana. Kushoto kwake ni aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini, Daniel Yona. Picha ndogo kulia ni Mramba na Yona wakipanda kwenye gari la Polisi. (Na Mpigapicha Wetu).VILIO na simanzi vilitawala katika eneo la mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya Waziri wa zamani wa Fedha, Basil Mramba na Waziri wa zamani wa Nishati na Madini, Daniel Yona, kuhukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani