VIJANA WA BAGAMAYO TEMBEENI KIFUA MBELE KUMSEMEA RAIS MAGUFULI -MWENYEKITI WA UVCCM MKOA WA PWANI


NA ELISA SHUNDA-BAGAMOYO.
WANACHAMA wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) wa Wilaya ya Bagamoyo wametakiwa kutembea kifua mbele huku wakijiamini na kuwaelezea vijana wenzao miradi mbalimbali mikubwa inayofanyika hapa nchini chini ya uongozi wa Mwenyekiti wa CCM Taifa na Rais,Dk.John Magufuli katika kutimiza malengo ya Tanzania ya Viwanda kwa kujenga barabara za juu (Fly Over),uboreshaji wa miundombinu,mradi wa umeme vijijini (REA),elimu bure shule za msingi na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 months ago

Michuzi

MWENYEKITI UVCCM MKOA PWANI AWATAKA VIJANA KUKITUMIKIA CHAMA KIPATE USHINDI WA KISHINDO MWAKA 2019/2020

NA ELISA SHUNDA,MAFIA .

VIONGOZI wanaounda Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Mafia wametakiwa kujitoa kwa nguvu,mali na rasilimali zao katika kukitumikia chama hicho na kuhakikisha kinafanya vizuri katika uchaguzi ujao wa serikali za mitaa mwakani na uchaguzi mkuu 2020 ili CCM katika wilaya hiyo kiibuke na ushindi wa kishindo.

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani, Charangwa Selemani Makwiro wakati alipofanya...

 

4 years ago

Vijimambo

Mkwasa: Yanga tembeeni kifua mbele.

Kocha msaidizi wa Yanga, Boniface Mkwasa.
Kocha msaidizi wa Yanga, Boniface Mkwasa amewataka mashabiki wao kutembea kifua mbele kwa kuwa mafanikio yanakuja.Katika mkutano na waandishi wa habari kwenye ofisi za makao makuu ya Yanga jijini Dar es Salaam jana, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo, Jerry Muro alisema Mkwasa amemhakikisha kikosi chao kiko vizuri kambini mjini Bagamoyo, Pwani kujiandaa kwa mechi inayofuata dhidi ya Azam FC.
"Tumewasiliana na kocha msaidizi (Mkwasa)...

 

1 year ago

Michuzi

MPINA: “WAFUGAJI TEMBEENI KIFUA MBELE WAZIRI MNAYE”

NA MWANDISHI MAALUM – KATERERO
Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhanga Mpina amewataka wafugaji nchini kutembea kifua mbele kwa kumpata yeye kama Waziri mwenye dhamana ya Mifugo, Mpina ameyasema hayo leo aliposhiriki katika zoezi la kupiga chapa Mifugo katika Kijiji cha Kyelwa kilichopo katika kata ya Katerero halimashauri ya wilaya Bukoba mkoani Kagera, na kuwataka viongozi kuzingatia maadili wakati wa utekelezaji wa zoezi hilo ili kuepuka hujuma na ubaguzi kwa wafugaji.
Waziri Mpina...

 

11 months ago

Michuzi

MWENYEKITI UVCCM PWANI ATOA NENO KWA VIJANA

Na Elisa Shunda, KibitiMWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani (UVCCM),Charangwa Makwiro amewataka vijana wa mkoa huo kutojihusisha na mambo ambayo hayana tija kwa Taifa huku pia akipokea wanachama wapya 60 ambao wameamua kujiuna na umoja huo mkoani Pwani.
Wanachama hao wamejiunga leo wakati wa ziara yake ambayo aliongoza na wajumbe wa baraza kuu la UVCCM Mkoa wa Pwani  wakati anazungmza na wajumbe wa baraza la wilayani Kibiti.
Akizungumza baada ya kuwapokea...

 

1 year ago

Michuzi

Umoja wa vijana wa CCM mkoa wa Mwanza (UVCCM) wampongeza Rais Magufuli

Baada ya Kampuni ya uchimbaji wa Madini ya African Barrick Gold Mining, kuonyesha nia njema ya kuendelea kuwekeza nchini, Umoja wa vijana wa (CCM) mkoa wa Mwanza (UVCCM), umempongeza Rais Dk. John Pombe Magufuli kwa jitihada za kusimamia rasilimali za Taifa.  Umoja huo umetoa tamko hilo baada ya Kampuni hiyo kuipatia Tanzania shilingi Billion 700, ikiwa ni njia ya kuthamini makubaliano yaliyohafikiwa kati ya Serikali na Kampuni hiyo, ambayo kwa sasa inajipanga kukamilisha deni lake la la...

 

2 years ago

CCM Blog

VYUO NA VYUO VIKUU-UVCCM WAMKINGIA KIFUA RAIS DK. MAGUFULI

Kaimu Katibu Mkuu wa Idara ya Vyuo na Vyuo
Vikuu-UVCCM Daniel Zenda akizungumza wakati
 wa kikao cha kazi na viongozi
wa Vyuo na Vyuo Vikuu mkoa wa
Dar es Salaam, leoNa Nassir Bakari
Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), kupitia Idara yake ya Vyuo na Vyuo vya Elimu ya Juu, umemkingia kifua Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli ukisema kwamba hafanyi uteuzi kwa njia za kibaguzi bali anafanya hivyo kwa kuzingatia weledi na uwezo wa anayemteua.

UVCCM imesema, hayo leo jijini Dar es Salaam, na kupinga...

 

2 years ago

Michuzi

VYUO NA VYUO VIKUU-UVCCM WAMKINGIA KIFUA RAIS.DK MAGUFULI

Na Nassir Bakari

Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), kupitia Idara yake ya Vyuo na Vyuo vya Elimu ya Juu, umemkingia kifua Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli ukisema kwamba hafanyi uteuzi kwa njia za kibaguzi bali anafanya hivyo kwa kuzingatia weledi na uwezo wa anayemteua.

UVCCM imesema, hayo leo jijini Dar es Salaam, na kupinga vikali kauli iliyotolewa hivi karibuni na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, kwamba Rais Dk. Magufuli amekuwa akifanya uteuzi kwa kuzingatia ubaguzi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani