Vijana wasema Jenerali wa jeshi hana nguvu zozote Zimbabwe

Vugu vugu la vijana wa chama tawala cha Zimbabwe limemkosoa jenerali wa jeshi mwenye cheo cha juu zaidi nchini humo kufuatia kauli kwamba jeshi litaingilia kati mgogoro wa chama tawala

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI TANZANIA BARA AKUTANA NA KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA UHAMIAJI

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye amekutana na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji, Dkt. Anna Makakala aliemtembelea ofisini kwake kwa lengo la kujifunza na kukuza mahusiano kati ya vyombo hivyo viwili vya Ulinzi na Usalama.
Katika ziara hiyo Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye, alitumia fursa hiyo kumpongeza kwa kuteuliwa na Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Kamishna Jenerali wa...

 

2 years ago

Michuzi

Kamishna Jenerali wa Jenerali wa Jeshi la Zimamoto nchini akutana na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma leo

Kamishna Jenerali wa Jenerali wa Jeshi la Zimamoto Tanzania (CGF) Thomas Andengenye akiongea na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Dk.Binilith Mahenge ofisini kwake leo.Mkuu wa Jeshi la Zimamoto yupo mkoani Ruvuma kwa ziara ya kikazi ambapo atakutana na kusikiliza kero na changamoto za askari wa Zimamoto kwenye wilaya za Tunduru ,Songea na Mbinga.

 

10 months ago

Michuzi

MEJA JENERALI PROJEST RWEGASIRA NA MEJA JENERALI SIMON MUMWI WASTAAFU UTUMISHI WA JESHI LA WANANCHI WA TANZANIA


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira   (Mstaafu) akiagana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi  , Jenerali Venance Mabeyo, baada ya kumaliza utumishi katika Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa hafla ya kuwaaga watumishi wa jeshi hilo, iliyofanyika leo katika Kambi ya  Twalipo iliyopo Barabara ya Kilwa,jijini Dar es Salaam. PIX 2..Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali   Projest Rwegasira (kushoto ) na Meja Jenerali Simon Mumwi...

 

10 months ago

Channelten

Trump na Putin, Wasema nguvu za kijeshi sio suluhisho la Syria

FA613B31-01B7-4CD2-9FBC-9C97E9710A7D_w1023_r1_s

Rais wa Urusi Vladimir Putin na mwenzake wa Marekani Donald Trump wamekubaliana kwamba mgogoro wa Syria hauwezi kumalizwa kwa nguvu za kijeshi.

Viongozi hao walitoa tamko la pamoja pembezoni mwa Mkutano mkuu wa viongozi wa jumuiya ya ushirikiano wa kiuchumi wa nchi za Asia na Pacifiki (APEC) katika mji wa Danang nchini Vietnam.

Viongozi hao pia wameeleza kwamba watashirikiana katika juhudi za kupambana na kundi la wanamgambo wenye itikadi kali linalojiita Dola la Kiislamu IS.

Trump na Putin...

 

4 years ago

Habarileo

Werema: Rais hana nguvu kuvunja Bunge

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema (kulia) akitoa ufafanuzi wa masuala ya kisheria kwa waandishi wa habari kuhusu mchakato wa upatikanaji wa Katiba mpya wakati wa mkutano uliofanyika Dar es Salaam jana. (Picha na Hassan Silayo, Maelezo).MWANASHERIA Mkuu wa Serikali, Frederick Werema amesisitiza kuwa sheria hairuhusu mtu yeyote, akiwemo Rais Jakaya Kikwete, kuvunja Bunge Maalumu la Katiba.

 

1 year ago

RFI

Jenerali Paul Malong asema hana nia ya kuanzisha uasi dhidi ya rais Salva Kiir

Aliyekuwa Mkuu wa Majeshi nchini Sudan Kusini Jenerali Paul Malong Awan aliyefutwa kazi wiki hii na rais Salva Kiir, amesema hana nia ya kuanzisha uasi dhidi ya serikali ya Juba.

 

2 years ago

Bongo5

Msami: Barakah The Prince hana nguvu ya kuwa mume wa Naj

Msanii wa muziki na mwalimu wa dance, Msami Giovani anayefanya vizuri na wimbo wake ‘Step by Step’ amesema Barakah The Prince bado hana nguvu ya kuwa mume wala kuwa mchumba wa Najma.

14677488_696594743828085_4748995835117699072_n

Ametoa kauli hiyo baada ya Barakah kumtukana Msami baada ya kukoment katika akaunti ya Instagram ya Naj.

14334352_1800843720162995_7429763367281098752_n

Akiongea na E-News ya EATV, Msami alisema, “Kwanza Barakah ajue Naj sio mke wake, wala mchumba wake ni boyfriend na girlfriend tu. Kwahiyo Barakah hana nguvu ya mume wala mchumba kwa Naj. Kwahiyo hata mtu...

 

4 years ago

Bongo5

Siku ya Vijana Duniani: ‘Vijana na Afya ya Akili’, Tusipokabiliana na ukosefu wa ajira na kupewa nguvu ya maamuzi, hatutaweza

Miaka 15 iliyopita, Umoja wa Mataifa uliitangaza August 12 kila mwaka, kuwa ‘Siku ya Vijana Duniani’ ambapo kauli mbiu ya mwaka huu inasema ‘Vijana na Afya ya Akili’. Kwa mujibu wa andiko kutoka Umoja wa Mataifa, asilimia 20 ya vijana duniani kote hupata tatizo linalohusiana na afya ya akili kila mwaka. Hatari zaidi hutokea katika […]

 

3 years ago

Michuzi

KAMISHNA JENERALI WA JESHI LA MAGEREZA NCHINI AONGOZA KIKAO MAALUM CHA KUPITIA RASIMU YA MPANGO WA WA JESHI LA MAGEREZA KUJITOSHELEZA CHAKULA, JIJINI DAR

 Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja akifungua Kikao Maalum cha Wadau kutoka nje ya Magereza(hawapo pichani) cha kujadili rasimu ya Mpango wa Jeshi la Magereza wa kujitosheleza kwa chakula cha Wafungwa waliopo Magerezani. Kikao hicho kimefanyika leo Desemba 8, 2015 katika Ofisi za Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es Salaam. Mshauri Mwelekezi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Beatus Kundy(aliyesimama) akiwasilisha rasimu ya Mpango wa Jeshi la Magereza wa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani