Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge kuanza Jijini Dar es Salaam Jumatatu

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomas Kashililah anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri kuwa Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge vitaanza Jijini Dar es Salaam Jumatatu Oktoba 20,  2014. 
Kwa tangazo hili waheshimiwa Wabunge wote mnaombwa kuwasili Dar es Salaam siku ya Jumapili tarehe 19 Oktoba 2014.
Kamati za Bunge katika vikao hivi vitakavyodumu hadi tarehe 2 Novemba 2014 zitapokea na kujadili pamoja na mambo mengine Muswada wa Marekebisho ya Sheria...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Dewji Blog

Vikao vya kamati za kudumu za Bunge kuanza kesho jijini Dar es Salaam

IMG_0694

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomasi Kashililah.

Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Thomasi Kashililah anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote wa Bunge la Jamhuri kuwa Vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge vitaanza Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Oktoba 2014. Kwa tangazo hili waheshimiwa Wabunge wote mnaombwa kuwasili Dar es Salaam siku ya Jumapili tarehe 19 Oktoba 2014.

Kamati za Bunge katika vikao hivi vitakavyodumu hadi tarehe 2 Novemba 2014...

 

1 year ago

Malunde

VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA JUMATATU JANUARI 15

Taarifa kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinaeleza kuwa Vikao vya Kamati za Bunge vinatarajiwa kuanza Jumatatu tarehe 15 hadi 27 January, 2018 Mjini Dodoma, hii ikiwa ni kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kumi wa Bunge.


Shughuli ambazo zimepangwa kutekelezwa katika kipindi cha vikao hivi ni pamoja na ziara za ufuatiliaji, uchambuzi wa miswada mbalimbali na kupokea maoni ya wadau, na kupokea taarifa za utendaji za wizara.

Kamati tatu za kisekta ambazo zitakuwa na jukumu la uchambuzi...

 

5 years ago

Dewji Blog

Kamati za Bunge kuanza kazi Jumatatu tarehe 28 Aprili 2014 Jijini Dar Es Salaam

0D6A1767

Afisa Habari wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Owen Mwandumbya akielezea kuhusu kufanyika kwa vikao vya Kamati za Bunge vinavyotarajia kuanza tarehe 28 Aprili hadi 4 Mei, 2014, Jijini Dar es Salaam kabla ya kuanza Mkutano wa Bunge wa Bajeti tarehe 6 Mei, 2014.(Picha na Tiganya Vincent-BMK-Dodoma).

Press Release – Kuanza Kamati April 28, 2014 by moblog

 

2 years ago

Michuzi

KAMATI YA BUNGE YA KUDUMU YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA, YAANZA KUPITIA BAJETI YA WIZARA YA MAMBO YA NDANI MJINI DODOMA KABLA YA VIKAO VYA BUNGE LA BAJETI KUANZA

 Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Lameck Nchemba,  akitoa ufafanuzi  kuhusu utekelezaji wa majukumu ya wizara yake kwa Bajeti ya mwaka wa fedha wa  uliopita katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama wakati wa Mapitio ya Bajeti  ya mwaka ujao wa fedha kwa Taasisi ziliko katika Wizara hiyo,  ikiwa ni hatua muhimu kabla ya kuanza kwa  Vikao vya Bunge la Bajeti la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalotarajiwa kuanza mapema tarehe nne mwezi...

 

2 years ago

Habarileo

Vikao vya Bunge kuanza Jumatatu

KAMATI za Kudumu za Bunge zitaanza vikao vyake Jumatatu, Januari 16 hadi 29, mwaka huu, mjini Dodoma.

 

5 years ago

Dewji Blog

2 years ago

CCM Blog

KAMATI YA KUDUMU YA UTAWALA NA SERIKALI ZA MITAA KUTOKA BUNGE LA MSUMBIJI YATEMBELEA OFISI ZA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI JIJINI DAR ES SALAAM

 Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania (NEC) Jaji (R) Mhe. Semistocles Kaijage (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Utawala na Serikali za Mitaa ya Bunge la Msumbiji, Mhe. Lucas Chomera Jeremiah (kushoto) Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa Rais, Wabunge na Madiwani mwaka 2015 wakati Kamati hiyo ilipotembelea Ofisi za Tume leo jijini Dar es salaam.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji (R) Mhe. Semistocles Kaijage (katikati) akitoa...

 

4 years ago

Michuzi

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA TAREHE 13 ó 23 JANUARI 2015


JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
BUNGE LA TANZANIA


TAARIFA KWA UMMA KUPITIA VYOMBO HABARI KUHUSU VIKAO VYA KAMATI ZA BUNGE KUANZA TAREHE 13 – 23 JANUARI 2015


Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anawatangazia Waheshimiwa Wabunge wote, wadau na umma kwa ujumla kuwa Kamati za Kudumu za Bunge zitaanza vikao vyake tarehe 13 hadi 23 Januari 2015. Vikao hivyo vitakavyoutangulia mkutano wa Kumi na Nane wa Bunge la Kumi vitajadili na kuchambua pamoja na mambo mengine Miswada mbalimbali ya...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani