Vikosi vya Zanzibar Keroes VS Kilimanjaro Stars vitakachacheza leo, mshamata na himid ndani ya nyumba

Makocha wa wakuu wa timu za Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) Hemed Suleiman “Morocco” na Kilimanjaro Stars Ammy Ninje wametangaza vikosi vyao vitakavyocheza leokwenye Mashindano ya CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP kati ya Zanzibar na Tanzania bara katika uwanja wa Kenyatta uliopo Machakos nchini Kenya, pambano litakalopigwa majira ya saa 8:00 za mchana.

ZANZIBAR HEROES

1.  Mohd Abrahman (Wawesha) 18

2.  Ibrahim Mohd (Sangula) 15

3.  Haji Mwinyi Ngwali 16

4.  Abdulla Kheri (Sebo) 13

5.  Issa...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

AZAM FC YAZINDUA DUKA LA VIFAA VYA MICHEZO LEO NDANI YA BOTI YA KILIMANJARO 6.

Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Saad Kawemba  akizungumza Michuz TV wakati wa uzinduzi wa duka la vifaa vya vya michezo pamoja na vitu mbalimbali vya Azam duka hilo limezinduliwa ndani ya boti ya Kilimanjaro 6 leo.Wafanyakazi wa Duka la Azam wakionyesha baadhi ya Jezi za  Timu ya Azam zinazopatikana katika Duka Maalum lililofungulia ndani yaboti ya Kilimanjaro 6 leo.Wafanyakazi wa Duka la Azam wakionyesha baadhi ya skafu na vitamaa vya  Timu ya Azam zinazopatikana katika Duka Maalum...

 

10 months ago

Zanzibar 24

Miaka 54 ya Mapinduzi Zanzibar vikosi vya gwaride vyajiandaa

Shamra shamra za maadhimisho ya kutimia Miaka 54 ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia uzinduzi na uwekaji wa Mawe ya Msingi ya Miradi tofauti ya Kiuchumi na Maendeleo zilizoanza Rasmi  Jumapili ya Tarehe 31 Disemba Mwaka Jana  hivi sasa zinakaribia kufikia ukingoni.

Maandalizi ya kilele cha sherehe hizo zinazojumuisha Vikosi vya Ulinzi na Usalama Nchini sambamba na Maandamano ya Wananchi wa Mikoa Mitano ya Zanzibar yamekamilika.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akijumuika...

 

3 years ago

Michuzi

RAIS WA ZANZIBA AWAANDALIA CHAKULA VIKOSI VYA ULINZI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati)pamoja na viongozi wengine wakiitikia dua iliyoombwa wakati wa  chakula alichowaandalia askari wa vikosi vya ulinzi leo katika viwanja vya katika viwanja vya mpira Makao Makuu ya Polisi Ziwani Mjini Unguja kwa ushiriki wao katika sherehe za Maadhimisho ya miaka 52 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Maaskari wa vikozi vya ulinzi wakichukua chakula cha mchana kilichotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti...

 

4 years ago

GPL

VIKOSI VYA LEO SIMBA VS YANGA

Wachezaji wa timu ya Yanga SC. Kikosi cha timu ya Simba SC. KIKOSI CHA YANGA SC 1. Deo Munish "Dida" - 30
2. Juma Abdul - 12
3. Oscar Joshua - 3
4. Nadir Haroub "Cannavaro" - 23
5. Kelvin Yondani "Cotton" - 5
6. Mbuyu Twite - 6
7. Hassan Dilunga - 26
8. Haruna Niyonzima - 8
9. Geilson Santana "Jaja" - 9
10. Mrisho Ngasa - 17
11. Andrey Coutinho - 7
Subs:
1.… ...

 

3 years ago

Global Publishers

Vikosi vya Man U na Arsenal leo

epl leo
Kikosi cha Manchester United leo: De Gea; Varela, Carrick, Blind, Rojo; Schneiderlin, Herrera; Lingard, Mata, Memphis; Rashford.

Benchi: Romero, McNair, Riley, Fosu-Mensah, Weir, Januzaj, A.Pereira.

Kikosi cha Arsenal leo: Cech; Bellerin, Gabriel, Koscielny, Monreal; Ramsey, Coquelin; Walcott, Ozil, Sanchez; Welbeck.

Benchi: Ospina, Mertesacker, Gibbs, Elneny, Campbell, Iwobi, Giroud

 

3 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI YA NCHI ATEMBELEA VITUO VYA UHAMIAJI VYA MIPAKANI MKOA WA KILIMANJARO

Mkuu wa Kituo cha Uhamiaji mpakani Tarakea, wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro, John Kapembe akimuonyesha Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira (wapili kushoto aliyevaa kiraia) eneo la Tanzania katika mpaka huo uliopakana na nchi ya Kenya. Rwegasira yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi akitembelea vituo vya Uhamiaji vya mipakani mkoani humo.Mkuu wa Kituo cha Uhamiaji mpakani Tarakea, wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro, John Kapembe akimuonyesha...

 

4 years ago

GPL

VIKOSI VYA LEO ARSENAL VS MANCHESTER CITY

Mabingwa wa Kombe la FA, Arsenal leo wanamenyana na Manchester City ambao ni Mabingwa wa Ligi Kuu England katika mechi ya kuwania Ngao ya Jamii itakayopigwa Uwanja wa Wembley. Pichani juu ni vikosi vya timu hizo.

 

2 years ago

Michuzi

VIKOSI VYA YANGA NA MBAO FC VINAVYOANZA LEO

 Kikosi cha Young Africans leo dhidi ya Mbao
1. Deo Munishi2. Ramadhan Kessy3. Haji Mwinyi4. Andrew Vincent 5. Vincent Bossou6. Mbuyu Twite7. Simon Msuva8. Haruna Niyonzima9. Amis Tambwe10. Obrey Chirwa11. Deus Kaseke
AkibaBeno, Oscar, Pato, Kamusoko, Ngoma, Matheo na Mahadh.Kikosi cha Mbao FC vs Yanga SC leo
Gk-Emmanuel Mseja-182. Steven Mgaya-253. Steven Kigocha-154. David Mwasa-45. Asante Kwasi-136. Yousouf Ndikumana-147.Dickson Ambundo-78.Salmin Hoza-69. Hussein Swedy-26 10. Pius...

 

1 year ago

Mwananchi

Himid: Stars itashinda Rwanda

Sare ya Stars dhidi ya Rwanda katika mashindano ya CHAN, ilionekana kuwavunja moyo Watanzania, lakini nyota wa kikosi hicho wamewakumbusha wadau wa soka nchini, kuwaunga mkono kwa madai safari inaendelea.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani