VIONGOZI KIVULE,DAR WAUNGANISHA NGUVU KUWASAKA VIBAKA DARAJANI

Na Richard Mwaikenda, Kivule, Dar

Viongozi wa Kata ya Kivule, Ukonga Dar, wameunganisha nguvu kuwasaka vibaka wanaowapora watu wanaopita wakati wa usiku katika Daraja linalojengwa MTO Kizinga.


Uamuzi huo umefanywa baada hivi karibuni Majira ya SAA 5 usiku ambapo mtu mmoja aliyekuwa akivuka katika Daraja la muda kuporwa na vibaka Simu na vitu vingine.


Tukio hili aliliripoti kituo kidogo cha POLISI cha Kitunda, na kwa viongozi wa Kata ya Kivule, akiwemo Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Kivule, Amos...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

POLISI WAUNGANISHA NGUVU KUKABILIANA NA UHALIFU MTANDAO

Polisi wa visiwa vya kifalme vya Solomon vilivyopo pasifiki ya kusini wameunganisha nguvu katika mapambano dhidi ya uhalifu mtandao na kuelezwa ya kwamba nguvu kubwa itasogezwa mashuleni ili kukuza uelewa wa maswala ya uhalifu mtandao (Awareness) na kusisitizwa hiyo ndio itakua shabaha yao ya awali. Haya yamebainishwa na Bradford Theonomi katika taarifa yake ya kingereza inayosomeka   "HAPA" .
Kupitia program ya mpango uliopewa jina la “Cyber safety pasifika” uliopangwa kuwasaidia watoto,...

 

2 years ago

Ykileo

WAHALIFU MTANDAO WAUNGANISHA NGUVU KUDHURU MABENKI

Makundi mawili makubwa ya kihalifu mtandao yanayo andika program hasidi “Malware” zenye mlengo ya kudhuru mabenki yametangaza kuungana ambapo imezungumzwa kuwa huwenda ndio sababu kuu ya kumepelekea takwimu mpya za mashambulizi dhidi ya taasisi za kifedha kwa Mwezi (4, 2016 – 6, 2016) kuongezeka kwa Asilimia 16 (16%)  kulinganisha na takwimu za Mwezi (1, 2016 – 4, 2016) .


Makundi haya mawili ambayo ni waandishi wa “Nymaim Trojan” pamoja na “Gozi Trojan”katika hatua yao ya kuunganisha nguvu...

 

11 months ago

Zanzibar 24

Nigeria yaengeza nguvu kuwasaka wanawake wliotekwa

Mamlaka nchini Nigeria imesema imeongeza nguvu ya ndege za kivita ili kuweza kuwasaka wanafunzi wasichana waliotekwa Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo.

Serikali inasema takriban wasichana 110 hawajulikani walipo baada ya wanamgambo wa kiislam kuwateka katika shule yao iliyopo Dapchi.

Mapema serikali ya kijiji hicho ilililaumu jeshi kwa kushindwa kuchukua hatua hata baada ya kupewa taarifa.

Rais Muhammadu Buhari ameelezea tukio hilo kama janga la taifa.

Hasira zimekuwa zikiwapanda wazazi wa...

 

11 months ago

BBCSwahili

Serikali ya Nigeria yaongeza nguvu kuwasaka wasichana walitekwa

Mamlaka nchini Nigeria imesema nguvu zaidi imeongezwa kuwasaka wanafunzi wasichana waliotekwa Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo.

 

4 years ago

Tanzania Daima

Wakazi Kivule walia na viongozi Ukonga

WAKAZI wa Kata ya Kivule jijini Dar es Salaam wamemuomba Rais Jakaya Kikwete kusikiliza kilio chao na kuwaondolea kero ambazo zimedumu muda mrefu katika Kata hiyo. Akizungumza na Waandishi wa...

 

4 years ago

Mwananchi

Polisi idhibiti mtandao wa vibaka Dar

Jana katika safu ya ‘Ndani ya Habari’ tulichapisha ripoti ya uchunguzi uliofanywa na timu ya waandishi wa gazeti hili kuhusu kuwapo kwa mtandao mpana wa vibaka wanaofanya vitendo vya uhalifu katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam. Uchunguzi huo uliochukua siku saba umeibua mambo mengi ya kutisha kuhusu uhalifu unaofanywa na mtandao huo wa vibaka na kuonyesha pasipo kuacha shaka kuwa, mtandao huo usipodhibitiwa Dar es Salaam hapatakuwa tena mahali salama pa kuishi.

 

5 years ago

GPL

VIBAKA WANUSURIKA KIFO KIJITONYAMA JIJINI DAR

Vijana wawili waliotaka kupora mkoba wa dada mmoja wakiwa hoi kwa kichapo kutoka kwa wananchi. Mmoja wa vibaka hao akiwa mtaroni baada ya kipondo.…

 

4 years ago

GPL

MVUA ZILIVYOATHIRI DARAJA LA KIVULE, DAR

Daraja la Kivule lilivyoathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar. Hali ya usafiri imezidi kuwa ngumu. Mkondo wa maji yanavyotoka…

 

4 years ago

GPL

DARAJA LA KIVULE DAR HATARINI KUKATIKA

Daraja linalolalamikiwa na wakazi wa eneo la Kivule jijini Dar. Watembea kwa miguu pamoja na gari wakionekana kupita katika daraja hilo.…

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani