VIONGOZI KUTOKA UVCCM IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU WAENDA KUTOA POLE MSIBA WA MWANAFUNZI ALIEUAWA KWA RISASI

 Mbunge wa Viti Maalum kupitia Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM, Dk Jasmin Tsekwa na Kaimu Katibu wa Idara hiyo Taifa, Ndugu Daniel Zenda wakiwa katika Hospitali ya taifa ya Muhimbili walipowenda kutoa pole kwa familia ya Marehemu Aquilina, ambaye alifariki dunia baada ya kupigwa risasi katika eneo la Mkwajuni Kinondoni Dar es Salaam, Ijumaa, Februari 16, 2018. 
 Mbunge wa Viti Maalum kupitia Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM, Dk Jasmin Tsekwa na Kaimu Katibu wa Idara hiyo Taifa, Ndugu...

CCM Blog

Read more

Habari Zinazoendana

2 years ago

CCM Blog

TAARIFA MUHIMU KWA VIONGOZI WA VIJANA VYUO NA VYUO VIKUU

Ndugu Viongozi wa Seneti Mikoa wa Vyuo na Vyuo Vikuu pamoja na pongezi kwa kazi zinazoendelea hasa kwa kipindi hiki cha Uchaguzi ndani ya Chama.Mnakumbushwa kutuma taarifa za Uchaguzi zinazo endelea kwa ngazi zote za vyuo na vyuo vikuu.Mnakumbushwa kutuma taarifa za wahitimu wanachama/makada zinahitajika na mnatakiwa kutuma kabla ya alhamis ya tarehe 13/07/2017. Taarifa hizo ziwe na vituvifuatavyo: Jina kamili, namba ya kadi, kiwango cha elimu/course,chuo ,simu mamba, mkoa/wilaya...

12 months ago

Michuzi

KAIMU KATIBU IDARA YA VYUO,VYUO VIKUU AKABIDHI KADI 1500 KWA KATIBU HAMASA SENETI YA DAR

Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Ndugu Daniel Zenda akikabidhi  kadi 1500 za wanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa Katibu wa Hamasa Seneti ya mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Juakali Kuwanya katika hafla iliyofanyika leo Makao Makuu ya UVCCM, Upanga  jijini Dar es Salaam.

Zenda amesema, kadi hizo amezikabidhi ili zigawiwe kwa wananchama wapya ambao wamekuwa wakijiunga kwa wingi katika Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake, kutokana na mwamko mkubwa wa wanafunzi...

2 years ago

CCM Blog

VYUO NA VYUO VIKUU-UVCCM WAMKINGIA KIFUA RAIS DK. MAGUFULI

Kaimu Katibu Mkuu wa Idara ya Vyuo na Vyuo
Vikuu-UVCCM Daniel Zenda akizungumza wakati
 wa kikao cha kazi na viongozi
wa Vyuo na Vyuo Vikuu mkoa wa
Dar es Salaam, leoNa Nassir Bakari
Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), kupitia Idara yake ya Vyuo na Vyuo vya Elimu ya Juu, umemkingia kifua Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli ukisema kwamba hafanyi uteuzi kwa njia za kibaguzi bali anafanya hivyo kwa kuzingatia weledi na uwezo wa anayemteua.

UVCCM imesema, hayo leo jijini Dar es Salaam, na kupinga...

2 years ago

Michuzi

VYUO NA VYUO VIKUU-UVCCM WAMKINGIA KIFUA RAIS.DK MAGUFULI

Na Nassir Bakari

Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), kupitia Idara yake ya Vyuo na Vyuo vya Elimu ya Juu, umemkingia kifua Mwenyekiti wa CCM Rais Dk. John Magufuli ukisema kwamba hafanyi uteuzi kwa njia za kibaguzi bali anafanya hivyo kwa kuzingatia weledi na uwezo wa anayemteua.

UVCCM imesema, hayo leo jijini Dar es Salaam, na kupinga vikali kauli iliyotolewa hivi karibuni na Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, kwamba Rais Dk. Magufuli amekuwa akifanya uteuzi kwa kuzingatia ubaguzi...

12 months ago

CCM Blog

KAIMU KATIBU WA IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU NDUGU ZENDA AKABIDHI KADI 1500 KWA KATIBU HAMASA SENETI YA DAR

Dar es Salaam
Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Ndugu Daniel Zenda akikabidhi  kadi 1500 za wanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa Katibu wa Hamasa Seneti ya mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Juakali Kuwanya katika hafla iliyofanyika leo Makao Makuu ya UVCCM, Upanga  jijini Dar es Salaam.

Zenda amesema, kadi hizo amezikabidhi ili zigawiwe kwa wananchama wapya ambao wamekuwa wakijiunga kwa wingi katika Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake, kutokana na mwamko mkubwa...

12 months ago

Malunde

KAIMU KATIBU WA IDARA YA VYUO NA VYUO VIKUU NDUGU ZENDA AKABIDHI KADI 1500 KWA KATIBU HAMASA SENETI YA DAR

Kaimu Katibu wa Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Ndugu Daniel Zenda akikabidhi kadi 1500 za wanachama wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) kwa Katibu wa Hamasa Seneti ya mkoa wa Dar es Salaam Ndugu Juakali Kuwanya katika hafla iliyofanyika leo Makao Makuu ya UVCCM, Upanga jijini Dar es Salaam.
Zenda amesema, kadi hizo amezikabidhi ili zigawiwe kwa wananchama wapya ambao wamekuwa wakijiunga kwa wingi katika Chama Cha Mapinduzi na Jumuiya zake, kutokana na mwamko mkubwa wa wanafunzi...

2 years ago

Malunde

WANACHAMA 681 KUTOKA UMOJA WA VIJANA WA CCM VYUO NA VYUO VIKUU WATUNUKIWA VYETI KWA KUHITIMU MASOMO YAO

Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg:Rodrick Mpogolo akisalimiana na Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka Mara baada ya kuwasili katika Mahafali ya Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar Es Salaam  katika Ukumbi wa King Solomon Kinondoni.Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg:Rodrick Mpogolo akisalimiana na Kaimu Mwenyekiti Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam Asha Ferouz Mara baada ya kuwasili katika Mahafali ya Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar Es Salaam Leo...

2 years ago

CCM Blog

WANACHAMA 681 KUTOKA UMOJA WA VIJANA WA CCM VYUO NA VYUO VIKUU MKOA WA DAR ES SALAAM WATUNUKIWA VYETI KWA KUHITIMU MASOMO YAO

 Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg:Rodrick Mpogolo akisalimiana na Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka Mara baada ya kuwasili katika Mahafali ya Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar Es Salaam Leo katika Ukumbi wa King Solomon Kinondoni.

  Naibu Katibu Mkuu CCM Bara Ndg:Rodrick Mpogolo akisalimiana na Kaimu Mwenyekiti Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam Asha Ferouz Mara baada ya kuwasili katika Mahafali ya Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu
UVCCM Mkoa wa Dar Es Salaam...

2 years ago

CCM Blog

SHAKA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA MATAWI YA VYUO NA VYUO VIKUU YOTE MKOA WA DAR ES SALAAM LEO

Kaimu Katibu Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM  Ndg Daniel Zenda aliesimama kushoto
akizungumza na Wanachama na Viongozi Makada wa CCM Idara ya
Vyuo na Vyuo Vikuu Uvccm Mkoa wa Dar es Salaam.Kaimu Katibu Idara ya Organaizesheni na Uhusiano wa Kimataifa UVCCM  Ndg Mohamed Suleiman akizungumza na Viongozi Makada wa CCM idara ya
Vyuo na Vyuo Vikuu Uvccm Mkoa wa Dar es Salaam . Viongozi vyuo na vyuo vikuu wa mkoa wa dar es salaam wakimsikiliza  Kaimu katibu Mkuu uvccm Shaka Hamdu Shaka Kiongozi...

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani