Viongozi mashuhuri wafika mazishi ya Shimon Peres

Viongozi mbalimbali duniani wanajiandaa kutoa heshima zao za mwisho wakati wa mazishi ya kiongozi shupavu wa Israeli marehemu, Shimon Peres, aliyefariki Jumatano wiki hii.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Bongo5

Viongozi wa dunia wahudhuria mazishi ya waziri mkuu wa zamani wa Israel, Shimon Peres

Viongozi wa dunia wamehudhuria mazishi ya waziri mkuu na rais zamani wa Israel, Shimon Peres.

160930143510-02-israel-peres-funeral-exlarge-169

Askari wakiwa wamelibeba jeneza la mwili wa Shimon Peres

Mazishi hayo yamegubikwa na ulinzi mkali.

 

160930144706-obama-peres-funeral-exlarge-169

Rais Barack Obama akisalimiana na wageni

Orodha kubwa ya viongozi wa mataifa mengine uliwasili kwaajili ya kutoa heshima zao za mwisho.

 

160930084413-abbas-exlarge-169

Rais wa Palestina, Mahmoud Abbas alikuwepo pia kwenye mazishi hayo

Wapo Rais wa Marekani, Barack Obama, Rais wa Palestina, Mahmoud Abbas, Waziri wa mambo ya nje wa...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Picha: Mazishi ya Rais wa Zaman wa Israel Shimon Peres

Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu akitoa heshima zake za mwishoWaziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu akitoa heshima zake za mwisho

 

Rais wa Zamani wa Marekani akiwasili katika mazishiRais wa Zamani wa Marekani Bill Clinton akiwasili katika mazishi

 

Rais wa Marakeni Barack Obama akiwa kwenye mazishi ayoRais wa Marakeni Barack Obama akiwa kwenye mazishi ayo

 

Askari maalum wakiwa wamebeba jeneza la Rais wa zamani wa Israel wakati wamazishi yake katika Mlima Herzel, JerusalemAskari maalum wakiwa wamebeba jeneza la Rais wa zamani wa Israel wakati wamazishi yake katika Mlima Herzel, Jerusalem

 

Wananchi mbalimbali waliofika kutoa heshima zao za mwishoWananchi mbalimbali waliofika kutoa heshima zao za mwisho

 

Wananchi wakiwasha mishumaa katika mazishi ya Rais wa zamani wa Israel, Shimon PeresWananchi wakiwasha mishumaa katika mazishi ya Rais wa zamani wa Israel, Shimon Peres

 

Wananchi wakiwasha mishumaa katika mazishi ya Rais wa zamani wa Israel, Shimon PeresWananchi wakiwasha mishumaa katika...

 

3 years ago

BBCSwahili

Viongozi wamlimbikizia sifa Shimon Peres mazishini Jerusalem

Viongozi mashuhuri duniani wamemsifu rais wa zamani wa Israel Shimon Peres, ambaye amezikwa leo siku tatu baada yake kufariki akiwa na umri wa miaka 93.

 

3 years ago

Mwananchi

Viongozi mashuhuri wamzika Peres

Rais wa zamani wa Israel, Shimon Peres amezikwa leo huku viongozi mashuhuri duniani wakimsifu  kuwa alikuwa mtu muhimu duniani.

 

3 years ago

Mwananchi

Shimon Peres afariki dunia

Tel Aviv, Israel Waziri mkuu na rais wa zamani wa Israel Shimon Peres amefariki dunia mapema leo akiwa na umri wa miaka 93 baada ya kuugua kiharusi, wiki mbili zilizopita.

 

3 years ago

Raia Mwema

Shimon Peres, sura ya upole wa Israel

Aliyekuwa Rais wa Israel Shimon Peres

Aliyekuwa Rais wa Israel Shimon Peres

JERUSALEM, ISRAEL
WALIKUJA viongozi wa juu wa dunia – ambao, mara tu baada ya kupata taarifa – waliacha kila kitu na kupaa kuhudhuria mazishi ya baba wa mwisho, mwanzilishi wa taifa la Israel.

Marais, mawaziri wakuu na wana wa wafalme ni miongoni mwa watu mashuhuri waliokusanyika katika mlima Herzl siku ya Ijumaa mchana, wiki iliyopita, kutoa heshima zao za mwisho kwa mwili wa Shimon Peres.

Hata wale ambao ni wapinzani wakubwa wa Rais wa...

 

3 years ago

VOASwahili

Rais wa zamani wa Israel Shimon Peres afariki

Peres alipatwa na ugonjwa wa kiharusi wiki mbili zilizopita na amefariki Jumatano katika hospitali ya Tel HaShomer.

 

3 years ago

BBCSwahili

Shimon Peres akimbizwa hospitalini baada ya kuugua ghafla

Aliyekuwa Rais wa tisa wa Israel , Shimon Peres , amekimbizwa hospitali iliyopo nje kidogo ya mji mkuu wa Tel Aviv baada ya kuugua kiharusi.

 

3 years ago

BBCSwahili

Rais wa zamani wa Israel Shimon Peres afariki dunia

Waziri mkuu wa zamani wa Israel aliyewahi kuhudumu pia kama rais Shimon Peres amefariki dunia akiwa na miaka 93 baada ya kuugua kiharusi wiki mbili zilizopita.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani