Viongozi wa Chadema wakamatwa, wahojiwa na Polisi Mbinga

Katibu Mkuu wa Chadema, Vincent Mashinji, mbunge wa Ndanda, Cecil Mwambe na wa Viti Maalumu, Zubeda  Sakuru wamekamatwa na Jeshi la Polisi wilayani Nyasa leo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Habarileo

Viongozi sita Chadema mkoani Rukwa wahojiwa na polisi

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoa wa Rukwa, Shadrack Malilla na viongozi wengine sita wa chama hicho wamekamatwa na kuhojiwa na Polisi kwa saa tano wakituhumiwa kukutwa na vipeperushi vya uchochezi na sare za Ukuta.

 

2 years ago

Mwananchi

Viongozi Chadema wakamatwa na polisi

Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la Mbarali (Chadema) wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka jana, Liberatus Mwang’ombe amekamatwa na polisi ikidaiwa ni utekelezaji wa agizo la Mkuu wa Wilaya ya Mbarali, Reuben Mfune.

 

2 years ago

Mtanzania

VIONGOZI CHADEMA ARUSHA WAKAMATWA NA POLISI

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo.

Na JANETH MUSHI-ARUSHA

JESHI la Polisi Mkoa wa Arusha linawashikilia watu 12, wakiwemo viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Arusha.

Viongozi hao walikamatwa kwa amri ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo wakituhumiwa kuhusika kuchoma moto mashine za kuvuta maji kutoka kwenye chanzo cha Kangdet wilayani Karatu kwa madai kwamba wanatekeleza agizo la Serikali, hatua ambayo imeelezwa kuwa haikufuata...

 

3 years ago

Ippmedia

Mwenyekiti wa (CHADEMA)Mh.Mbowe na viongozi 7 wa chama hicho wakamatwa na Polisi

Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni Mh. Freeman Mbowe na viongozi wengine saba wa chama hicho ngazi ya kitaifa na kanda ya ziwa Victoria wakamatwa na kuhojiwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kudaiwa kufanya mkutano katika ofisi za chama hicho eneo la Nyegezi, Butimba na Igoma.

Day n Time: Jumapili saa 2:00 usikuStation: ITV

 

2 years ago

Mwananchi

Waandishi wa habari wakamatwa, wahojiwa polisi

Waandishi wa habari wawili jana walikamatwa na kuhojiwa katika Kituo cha Polisi cha Usa River mkoani Arusha, huku aliyetoa amri ya kukamatwa kwao akizua utata.

 

3 years ago

Mwananchi

Magari ya Chadema yazua utata Mbeya, viongozi wahojiwa

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wilayani Mbeya kimelalamikia polisi kuwahoji viongozi wake kuhusu vijana waliokuwa wakilinda msafara wa mgombea urais kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa wakiwa kwenye gari.

 

2 years ago

MwanaHALISI

Wabunge wa Chadema wahojiwa Polisi

BAADA ya wabunge nane wa Chadema kukamatwa na kuachiwa kwa dhamana jana usiku, leo wametakiwa kuripoti Polisi mjini Dodoma kwa mahojiano zaidi, anaandika Hellen Sisya. Wabunge hao walishikiliwa na Polisi kwa makosa ya kudhuru mwili yaliyoripotiwa na Mbunge wa Viti Maalum CCM, Juliana Shonza muda mchache baada ya pande hizo mbili kulumbana nje ya jengo ...

 

3 years ago

MillardAyo

VIDEO: Wabunge wa CHADEMA wahojiwa na polisi kwa saa tatu Arusha

kjhtf

Wabunge wawili akiwemo mbunge wa viti maalum Karatu,  Cesilia Pareso, Mbunge wa karatu William Qambalo, Mwenyekiti wa halmashauri pamoja na diwani wa kata ya Nganako wote CHADEMA wamehojiwa na jeshi la polisi Arusha kwa kufanya mikutano bila kufuata utaratibu na kutokuwa na kibali. Mbunge wa viti maalumu Karatu amesema, Cesilia Pareso amesema…….. >>>’Tumehojiwa ni kwanini tumefanya […]

The post VIDEO: Wabunge wa CHADEMA wahojiwa na polisi kwa saa tatu Arusha appeared first on...

 

2 years ago

VOASwahili

Viongozi wa CHADEMA wakamatwa

Viongozi kadhaa wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania CHADEMA, walikamatwa na polisi Jumatatu kwa mahojiano, wakati wakifanya kikao cha ndani kilichokuwa kikifanyika katika hoteli ya Giraffe, jijini Dar es salaam. Viongozi hao waliokamatwa ni Freeman Mbowe, Edward Lowassa, Dkt Vicent Mashinji, John Mnyika, na Said Issah, ambao walikuwa wakikutana na jumla ya wajumbe 170 wa chama hicho. Kwa mujibu wa taarifa ni kwamba walikuja watu waliodai kuwa ni polisi na kuzingira eneo la...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani