Viongozi wa dini kupambana na Saratani Mlango wa Kizazi

VIONGOZI wa dini kwa kushirikiana na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamie, Jinsia, Wazee na Watoto wanakusudia kufanya kongamano la pamoja kujadili uanzishwaji wa chanjo ya kukinga Saratani ya Mlango wa Kizazi. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma … (endelea). Mkurugenzi wa maandalizi ya maombi hayo ya kitaifa yatayofanyika jijini Dodoma kuanzia 22 hadi 30 Juni mwaka huu, Askofu ...

MwanaHALISI

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

VIONGOZI KIGOMA KUHAMASISHA WANANCHI KUPELEKA WATOTO WAPATE CHANJO CHA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI


Serikali  mkoani Kigoma imewataka viongozi mbalimbali kuwa mfano katika zoezi la kuhamasisha wananchi kupeleka watoto wao wenye umri chini ya miaka 14 kwenye chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi.

Rai hiyo imetolewa  jana na Brigedia jenerali Marko Gaguti ambaye ni mkuu wa wilaya ya Buhigwe kwa niaba ya Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brigedia jenerali mstaafu , Emmanuel Maganga, wakati wa uzinduzi wa chanjo hiyo kimkoa iliyofanyika wilayani Buhigwe.
Alisema njia ya kujikinga na saratani ya mlango wa...

 

5 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi wakati akizindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora, katika uwanja wa Chipukizi mkoani humo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya akina mama wa Tabora. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. Joseph Komwihangiro, Mkurugenzi wa Marie Stopes kwa kuwa mstari wa mbele katika huduma na elimu za mzazi wa mpango Jumamosi Mei 7, 2014 wakati akizindua ...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Saratani mlango wa kizazi inaongoza nchini

TAKWIMU zinaonyesha kuwa kila mwaka kuna wagonjwa wapya 40,000 wa saratani huku saratani ya mlango wa kizazi ikiongoza. Hayo yalibainishwa na Daktari bingwa wa Saratani, ambaye pia ni Daktari bingwa...

 

3 years ago

Habarileo

Chanjo saratani ya mlango wa kizazi kutolewa mwakani

SERIKALI inatarajia kuanza kutoa chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi (HPV) kwa nchi nzima, kuanzia mwakani katika utaratibu wa kawaida wa utoaji wa huduma za chanjo.

 

2 years ago

Mwananchi

Saratani mlango wa kizazi yatikisa Kanda ya Ziwa

Wanawake 11,354 kati ya 11,871 waliopimwa katika mikoa ya Kanda ya Ziwa kati ya mwaka 2014 hadi sasa, wamegundulika kuwa na saratani ya mlango wa kizazi.

 

5 years ago

Mwananchi

Ondoeni dhana potofu saratani ya mlango wa kizazi-Rai

Wasichana wametakiwa kuondokana na imani potofu kuwa wanawake wenye umri mkubwa ndiyo pekee wapo kwenye hatari zaidi ya ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi.

 

1 year ago

Michuzi

WANAFUNZI WAELEMISHWA KUHUSU CHANJO YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI


Muuguzi wa kituo cha Afya Madaba wilayani Songea Ponsiana Haule akimpatia chanjo ya saratani ya mlango wa kizazi mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Madaba Day wilayani Songea Happines Kinyunyu siku ya kwanza ya uzinduzi wa chanjo hiyo.Mganga mkuu wa halmashauri ya Madaba mkoani Ruvuma Janeth Makoye akiongea na baadhi ya wanafunzi wa kidato cha 1 hadi 3 wa shule ya sekondari Madaba Day ikiwa ni juhudi za kuwashawishgi wanafunzi hao kukubali kupewa chanjo ya saratani ya...

 

1 year ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI WAPATIWA ELIMU JUU YA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI

 Mkuu wa Chanjo ya Saratani ya mlango wa kizazi, Yussuf Haji Makame akitoa elimu kwa waandishi wa habari ( hawapo pichani) namna saratani hiyo inavyoathiri katika ukumbi wa hospitali ya Kidongo Chekundu Zanzibar. Waandishi wa habari waliohudhuria mafunzo hayo yaliofanyika katika ukumbi wa hospitali ya Kidongo Chekundu Zanzibar. Mwandishi wa TIFU TV akiuliza masuala katika Mafunzo hayo.Mfanyakazi kutoka Wizara ya Afya Zanzibar, Abdulrahman Muhamed Saleh akijibu maswali ya waandishi wa habari...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani