Viongozi wa dini kusimamia rasilimali

SERIKALI imeanzisha utaratibu wa kusimamia rasilimali za nchi kwa kushirikiana na viongozi wa dini, ili kuondoa upotoshaji na kuimarisha umoja na amani ya nchi. Rais Kikwete alisema hayo jana katika kongamano lililoandaliwa Dar es Salaam na viongozi wa dini nchini, kuhusu rasilimali za gesi asilia, mafuta na madini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Channelten

Baadhi ya viongozi wa dini Arusha wampongeza Rais Magufuli kwa ujasiri wa kusimamia rasilimali za nchi

2

Baadhi ya viongozi wa dini mkoani Arusha wamempongeza rais John Pombe Magufuli kwa hatua alizozichukua baada ya kupokea taarifa ya pili ya kamati aliyoiunda ya wachumi na wanasheria kwa ajili uchunguzi wa mchanga wa madini (makinikia) unaosafirishwa nje ya nchi .

Askofu mkuu wa kanisa la International Evangelism dakta Eliudi Isangya akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha amesema kwa niaba ya waumini wa kanisa hilo wanampongeza rais magufuli kwa uthubutu na ujasiri aliouonyesha...

 

1 year ago

Michuzi

RC RUVUMA AWATAKA VIONGOZI WA DINI KUSIMAMIA VYEMA MAADILI YA WAUMINI WAO

Mkuu wa mkoa wa RUVUMA BI CHRISTINA MNDEME amewataka viongozi wa dini mkoa humo kusimamia vyema maadili ,unywaji pombe uliokithiri pamoja na matumizi ya madawa ya kulevya amesema hayo wakati akizungumza na viongozi wa dini katika ikulu ndogo mjini songea habari kamili hii hapa video yake

 

2 years ago

Michuzi

DARUSO yampongeza JPM kwa kusimamia rasilimali za Taifa

Frank Mvungi-MAELEZORAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amepongezwa na Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (DARUSO) kwa kusimamia vyema rasilimali za Taifa ili ziweze kuwanufaisha watanzania wote.Kauli hiyo  imetolewa leo Jijini Dar es Salaam na  Rais wa (DARUSO) Bw.John Jilili wakati wa mkutano wao na vyombo vya habari uliolenga kutoa tamko la kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais kwa kuunda Tume iliyochunguza na kutoa matokeo kuhusu mchanga (makinikia)...

 

2 years ago

Michuzi

AFRIKA IANDAE RASILIMALI WATU KUSIMAMIA SEKTA YA MADINI-MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Mataifa ya Afrika yanatakiwa yaandae maarifa, vitendea kazi na rasilimali watu watakaoweza kusimamia na kuendeleza ipasavyo sekta ya madini na kuleta tija kwa Taifa husika na wananchi kwa ujumla.Amesema taarifa za kijiolojia zinaonesha kuwa Afrika ni Bara lenye utajiri mkubwa wa rasilimali madini huku sehemu kubwa ya madini hayo yakiwa bado hayajaanza au yako kwenye hatua mbalimbali za uendelezaji.Ametoa kauli hiyo leo (Alhamisi, Septemba 14, 2017)...

 

3 years ago

Michuzi

SERIKALI KUIWEZESHA SEKRETARIETI YA MAADILI YA VIONGOZI KUHAKIKI RASILIMALI NA MADENI YA VIONGOZI WA UMMA


Na Mwandishi wetu.SERIKALI imesema kuwa italipa kipaumbele suala la uhakiki wa mali za viongozi wa umma kwa kuiwezesha Sekretarieti ya Maadili ya viongozi kufanya kazi zake kwa ukamilifu kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma Na. 13 ya mwaka 1995.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angela Kairuki amesema hayo leo jijini Dar es Salaam alipokutana na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala na Serikali za Mitaa pamoja na watumishi wa Sekretarieti ya Maadili...

 

4 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA DINI WAKEMEA MAOVU YANAYOFANYWA KWA MGONGO WA DINI

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii Dar
Viongozi wa dini za kiislaam na kikristo wamesema dini ni za unyenyekevu na sio za kufanya maovu,ikitokea mtu mmoja katika imani anafanya maovu ni lazima akemewe ndani ya imani yake kwanza.
Wameyasema hayo leo katika kongamano la kujadili madhara ya misimamo mikali ya imani za kidini (Tafkiri) katika jamii na taifa lililofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Lamada jijini Dar es Salaam.
Akizungumza wakati wa kufungua kongamano hilo Katibu wa Taasisi za...

 

4 years ago

Michuzi

Mangula awataka viongozi wa dini wasiwapotoshe wananchi kuhusiana na kuwapo kwa masuala ya dini katika katiba pendekezwa

Makamu Mwenyekiti wa CCM bara, Philip Mangulla akizungumza na wanafunzi na waalimu wa shule ya Hagafilo mkoani Njombe kuhusiana na katiba pendekezwa na utofauti kati ya katiba pendekezwa na ya sasa. wanafunzi na waalimu wakimsikiliza Makamu mwenyekiti wa CCM bara Philip Mangula juzi wakati akiwapa ufafanuzi wa katiba Pendekezwa.(picha na furaha eliabu wa www.eliabu.blogspot.com)
Na Furaha Eliab, Njombe
MAKAMU mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Philip Mangula amesema kuwa viongozi...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani