Viongozi wa dini watia neno utendaji wa Magufuli

Viongozi wa dini na waumini wa Kanisa Katoliki wamesema kuwa kasi ya utendaji aliyonayo Rais John Magufuli itasaidia ukuaji wa uchumi wa viwanda.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

GPL

VIONGOZI WA DINI WATIA NENO PANYA ROAD

Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum. Stori: Gabriel Ng’osha
BAADHI ya viongozi wa dini jijini Dar es Salaam, wametoa neno juu ya vurugu zilizofanywa wiki iliyopita na vijana wanaosadikika kuunda kundi linalojulikana kama Panya Road, Risasi Jumatano lina habari kamili. Sheikh Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa, aliliambia gazeti hili kuwa ukosefu wa ajira ni sehemu mojawapo inayozalisha makundi ya...

 

2 years ago

Habarileo

Viongozi wa dini watia mguu vita ya ‘unga’

BARAZA la Viongozi wa Dini la Kupambana na Dawa za Kulevya limetia mguu katika vita dhidi ya dawa hizo.

 

4 years ago

GPL

ESCROW; VIONGOZI WA DINI HAMJANILISHA NENO

Askofu Method Kilaini. NAANDIKA mada ngumu kwa sababu inahusiana na mambo ya dini; najua wengi huogopa kufanya hivi kwa sababu za kiimani. Lakini kwa kuwa hata mitume na manabii waliulizwa na wafuasi wao juu ya utumishi; nami nina jambo la kuwauliza viongozi wa dini hapa nchini. Hoja ya msingi ni sakata la Escrow. Sina cha kuelezea kuhusu hili kwa sababu linajulikana sana. Pengine nyongeza ni namna linavyopigiwa kelele. Jamii...

 

2 years ago

MwanaHALISI

Viongozi wa dini wapewa neno Arusha

SERIKALI imewataka viongozi wa dini kuacha kujiingiza kwenye siasa badala yake waendelee kuimarisha amani na mshikamano kwa jamii, anaandika Mwandishi Wetu. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, amesema hayo alipokuwa akifungua kikao cha pamoja kati ya viongozi wa madhehebu ya dini na serikali. Amesema viongozi wa dini wana jukumu la kuendelea kuimarisha mshikamano kwa ...

 

2 years ago

Habarileo

Utendaji wa serikali wawakuna viongozi wa dini

VIONGOZI wa madhehebu ya dini za Kikristo na Kiislamu, mkoani Mbeya wameridhishwa na mipango ya serikali katika kuwaandalia fursa za kujiletea maendeleo Watanzania pamoja na usimamizi unaofanywa na serikali ya mkoa huo.

 

3 years ago

Dewji Blog

Askofu Batenzi awataka viongozi wa dini kuiga utendaji kazi wa JPM

Viongozi wa madhehebu mbalimbali ya dini nchini, wameshauriwa kuiga mfumo wa Rais Magufuli wa kutanguliza mbele maslahi ya wananchi, ili kutokomeza dhana potofu iliyojengekea kwamba uongozi ni ‘dili’ la kujinufaisha binafsi.

Wito huo umetolewa jana na askofu mkuu wa kanisa la Free Pentekoste Church Tanzania (FPCT), David Batenzi, wakati akizungumza kwenye semina ya siku tatu ya kuwajengea uwezo zaidi viongozi, wachungaji na wainjilisti wa kanisa hilo mkoani hapa.

Alisema huko nyuma wagombea...

 

5 years ago

GPL

MAASKOFU WATIA NENO BUNGE LA KATIBA

Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo . Stori: Mwandishi Wetu, Iringa
MAASKOFU wa Madhehebu ya Kikristo mkoani hapa wamelionya  bunge la katiba na kuwataka wajumbe wake kuzingatia mahitaji ya wananchi wakati wa kuandika katiba mpya. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Alex… ...

 

1 week ago

Michuzi

WATALII ZAIDI YA 340 WATUA NCHINI, NMB WATIA NENO


Watalii kutoka nchini China wakiondoka kwenye dirisha la Benki ya NMB baada ya kubadirisha fedha za kigeni kupitia Benki hiyo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro muda mfupi baada ya watalii Zaidi ya 345 waliowasili nchini kutokea China juzi jioni. Benki ya NMB ni wadau wa ugeni huu na imedhamini mikutano yao wakiwa hapa nchini.

Watalii kutoka nchini China wakiondoka kwenye dirisha la Benki ya NMB baada ya kubadirisha fedha za kigeni kupitia Benki hiyo katika Uwanja wa Ndege wa...

 

3 years ago

StarTV

Viongozi serikalini watakiwa kuunga mkono utendaji wa Rais Magufuli

Viongozi wa Serikali wametakiwa kumuunga mkono Rais John Magufuli ili kutimiza azma ya kuiondoa Tanzania katika wimbi la umaskini.

vlcsnap-2016-05-26-11h50m01s35

Wito huo umetolewa na Mwanazuoni Dr. Haruni Kondo katika mkutano na waandishi wa Habari jijini Dar Es Salaam huku akisisitiza kuwa baadhi ya viongozi waliteleza katika msuguano wa kifikra jambo lililopelekea kutegemea misaada kwa wahisani.

Dr. Haruni amesema kuwa watanzania ndio pekee wanaoweza kuleta uelekeo wa wapi Taifa linakwenda ingawa kuna baadhi ya watu...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani