Viongozi wa G-7 wajaribu kumshawishi Trump
Hisia mbalimbali zilijitokeza wakati Rais Donald Trump alipokutana na viongozi wa mataifa ya G 7 yenye uchumi mkubwa duniani katika mkutano wao wa kila mwaka huko Canada Ijumaa, lakini mazungumzo yao yalikuwa yakistaarabu, kidiplomasia kwa mujibu wa vyanzo vya habari.
VOASwahili
Habari Zinazoendana
2 years ago
BBCSwahili
Viongozi kadha kuwasili Gambia kumshawishi Jammeh
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari anatarajiwa kuwasili nchini Gambia leo hii katika jaribio la kumshawishi rais wa Gambia Yahya Jammeh kuondoka madarakani baada ya kushindwa kwenye uchaguzi mkuu.
10 months ago
BBCSwahili
Sikuwa nimeenda kumshawishi Trump na msimamo wake: Macron
Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, amemaliza ziara yake Marekani na kuonyesha kuwa hajawa na ushawishi wa kutosha dhidi ya rais Trump kubadili msimamo wake.
3 years ago
BBCSwahili29 Sep
Wanajeshi Afghanistan wajaribu kukomboa Kunduz
Wanajeshi nchini Afghanistan wanajizatiti kujaribu kuukomboa mji wa Kunduz, uliotekwa na wapiganaji wa Taliban.
3 years ago
BBCSwahili
Wanajeshi wajaribu kupindua serikali Uturuki
Kundi la wanajeshi nchini Uturuki limetekeleza jaribio la kupindua serikali ya Rais Recep Tayyip Erdogan.
3 years ago
BBCSwahili12 Nov
Wakurdi wajaribu kukomboa mji kutoka kwa IS
Wapiganaji wa Kikurdi kaskazini mwa Iraq wameanzisha operesheni ya kuukomboa mji wa Sinjar, ulioko karibu na mpaka wa nchi hiyo na Syrian kutoka kwa wapiganaji wa Islamic State.
3 years ago
BBCSwahili11 Apr
Watu 11 wajaribu kujiua siku moja Canada
Jamii moja ya watu asilia kaskazini mwa Canada imetangaza hali ya hatari baada ya watu 11 kujaribu kujitoa uhai siku moja.
1 year ago
BBCSwahili
Watawa bandia wajaribu kuiba kwenye benki Marekani
Mmoja wa wanawake hao alichomoa bunduki na kuwaamrisha makarani wampe pesa wakati wa kisa hicho katika mji wa Tannersville.
1 year ago
BBCSwahili
Watu wasiojulikana wajaribu kufukua kaburi la Ivan Ssemwanga Uganada
Maafisa wa usalama nchini Uganda wameanzisha uchunguzi kubaini nani waliokaribu kufukua kaburi la Ivan Ssemwanga.
2 years ago
VOASwahili25 May
Trump awalaumu viongozi wa NATO
Rais Donald Trump amewaambia viongozi wa NATO kuwa wanachangia kile anachokiona ni fedha kidogo katika ulinzi, na kutaka washirika hao kuangalia zaidi masuala ya ugaidi.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
17-February-2019 in Tanzania