Viongozi wa Mashtaka wakwamisha kesi katika Mahakama za Uganda

Viongozi wa Mashtaka nchini Uganda wanakutana leo kuamua ikiwa wasitishe mgomo ambao umekuwa ukiendelea kwa karibu wiki moja sasa na kukwamisha kesi Mahakamani wakidai nyongeza ya mshahara.

RFI

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

VOASwahili

Mgomo Uganda wakwamisha kesi ya Kaweesi

Kesi ya washukiwa 13 wanaoshutumiwa kuhusika na mauaji ya aliyekuwa msemaji wa polisi Andrew Felix Kaweesi imekwama katika mahakama ya Nakawa nchini Uganda.

 

2 years ago

VOASwahili

Mgomo wa waendesha mashtaka Uganda watikisa mahakama

Shughuli za mahakama zimeathirika nchini Uganda kufuatia mgomo wa wasimamizi wa mashtaka kote nchini, wakidai nyongeza ya mishahara pamoja na marupurupu mengine.

 

2 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YATOA SIKU SABA KWA UPANDE WA MASHTAKA JUU YA KESI YA VIGOGO WA RAHCO

 Wafanyakazi wa Rahaco wakitoka katika mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo.
Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii. MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa siku saba kwa upande wa mashtaka watoe msimamo wao juu ya hatma ya upelelezi katika kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili waliokuwa mabosi wa Kampuni Hodhi ya Rasilimali za Reli Tanzania (RAHCO), wanaokabiliwa na mashitaka ya matumizi mabaya ya madaraka na kuisababisha serikali hasara ya dola 527, 540 za...

 

4 weeks ago

Michuzi

MAHAKAMA YAUTAKA UPANDE WA MASHTAKA KUANDAA MASHAHIDI WOTE KWENYE KESI DHIDI YA VIGOGO WA SIMBA

  Na Karama Kenyunko, Michuzi TV
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa mashtaka kuhakikisha inaandaa wote wanaotarajiwa kutoa ushahidi wao dhidi ya kesi ya vigogo wa Simba ambayo itasikilizwa kwa siku tatu mfululizo, mwezi ujao.

Washtakiwa katika kesi hiyo ni aliyekuwa Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva, Makamu wake, Geofrey Nyange maarufu kwa jina la Kaburu na Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili wa Klabu ya Simba, Zacharia Hans Poppe.

Hatua hiyo imekuja baada ya Wakili wa...

 

2 years ago

Michuzi

MAHAKAMA YA KISUTU YAZITAKA PANDE ZOTE MBILI (UTETEZI NA MASHTAKA) KUSHIRIKIANA KULIREJESHA JARADA LA KESI YA MALINZI NA WENZAKE KWA DPP

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imezitaka pande wa zote mbili, ule utetezi na wa mashtaka kufanya kazi kwa kishirikiana kwa ukaribu ili kufuatilia jalada la kesi inayomkabili rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF), Jamal Malinzi na wenzake lilirudi kutoka (DPP). ambalo liko huko kwa zaidi ya muda wa siku 37.

Maagizo hayo yametolewa leo na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri leo Novemba 17/2017 baada upande wa mashtaka kusema upelelezi katika kesi hiyo haujakamilika....

 

3 years ago

BBCSwahili

Mahakama yatupilia mbali kesi Uganda

Mahakama ya juu zaidi nchini Uganda imetupilia mbali kesi iliyokuwa ikipinga ushindi wa rais Yoweri Museveni

 

5 months ago

Michuzi

UPANDE WA MASHTAKA WAAMRIWA KUREKEBISHA HATI YA MASHTAKA KESI INAYOMKABILI MBOWE, WENZAKE

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamiiMAHAKAM ya Hakimu Mkazi Kisutu imeuamuru upande wa mashtaka katika kesi ya uchochezi inayomkabikili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake nane kufanyia  marekebisho katika hati ya mashtaka.
Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri ametoa uamuzi huo leo mahakamani hapo baada ya kupitia mapingamizi nane yaliyowasilishwa mahakamani hapo na mawakili wa utetezi, Peter Kibatala na Jeremiah Mtobesya.
Hata hivyo, kutokana na  uamuzi huo Wakili, Kibatala alieleza...

 

1 year ago

BBCSwahili

Mahakama Uganda yasikiliza kesi dhidi ya ukomo wa umri wa kuwania urais

Upinzani unataka kufuta marekebisho yanayorumruhusu Rais Museveni, 73, kuwania urais tena

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mahakama yasikiliza kesi dhidi ya ukomo wa umri wa kuwania urais Uganda

Mahakama ya Kikatiba inasikiliza kesi iliyoletwa na upande wa upinzani kufuta marekebisho ya katiba ambayo yanatoa ukomo wa miaka ya kuwa rais.

Wabunge waliipigia kura Kwa kishindo mwaka uliopita kufuta ukomo wa miaka 75.

Ilimaanisha kuwa Rais Yoweri Museveni mwenye miaka 73, ambaye amekuwa madarakani kwa zaidi ya miaka 30, anaweza kuwania tena mwaka 2021.

Mawakili wa upinzani walitoa hoja kuwa marekebisho hayo yaliingizwa “kinyemela” hadi kuwa sheria, na bunge halikufuata kanuni zilizopaswa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani