Vipimo Serengeti Boys safi

Dar es Salaam. Wachezaji Kelvin Naftali na Selemani Abdul waliofanyiwa vipimo vya damu na mkojo baada ya mchezo wa mataifa Afrika kwa vijana wenye miaka 17, kati ya Tanzania 'Serengeti Boys ' na Angola juzi,  wamefuzu vipimo hivyo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwanaspoti

Safi sana Serengeti Boys, Felix ila msibweteke

JUZI Jumapili Watanzania walikuwa kwenye furaha kubwa, timu yao ya Vijana wenye umri chini ya miaka 17, Serengeti Boys ilipata ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Amajimbo ya Afrika Kusini katika mbio za kuwania Fainali za Afrika za mwakani.

 

4 years ago

Mwananchi

Serengeti Boys yapania

Kocha wa timu ya taifa ya vijana walio na chini ya miaka 17, Serengeti Boys, Hababuu Ali Omari amesema wachezaji wake wako tayari kwa ajili ya mchezo wa Ijumaa dhidi ya Afrika Kusini.

 

2 years ago

Habarileo

Serengeti Boys yang’ra

TIMU ya soka ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’, jana ilipata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Misri, katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

1 year ago

Mwananchi

Kumekucha Serengeti Boys

Dar es Salaam. Timu ya vijana chini ya miaka 17 ya Tanzania ‘Serengeti Boys’ inarejea tena kambini leo kujiandaa na fainali za Mataifa ya Afrika kwa vijana zitakazoanza Mei 14 nchini Gabon.

 

1 year ago

Mwananchi

Kamati ya Serengeti Boys

Kamati iliyoundwa kwa ajili ya kutoa hamasa kwa timu ya vijana Serengeti Boys itakutana na wanahabari kesho kuelezea mipango na mikakati yao.

 

1 year ago

Mwanaspoti

SERENGETI BOYS INAJIPIGIA TU

TIMU ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys inaonekana kupania kufanya vizuri katika michuano ya Mataifa ya Afrika baada ya kucheza michezo mitano mfululizo bila kupoteza.

 

1 year ago

TheCitizen

EDITORIAL: All the best to Serengeti Boys

The 2017 African Youth Championship kicks off this weekend with eight nations battling it out for the title and World Cup slots. Our own, Serengeti Boys, will be making their first appearance at the biannual African showpiece.

 

4 years ago

Tanzania Daima

Serengeti Boys vs Amajimbos buku 2

SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) imetangaza viingilio vya mechi ya kwanza ya raundi ya pili ya michuano ya Afrika kwa vijana wa chini ya miaka 17 kati ya Tanzania ‘Serengeti...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Serengeti Boys, Amajimbos sare 

TIMU ya taifa ya Tanzania kwa vijana wa chini ya miaka 17, Serengeti Boys, jana ilitoka sare ya bila kufungana na wenzao wa Afrika Kusini katika mechi ya kimataifa iliyochezwa...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani