Vita ya biashara baina na China na US yachukua sura mpya

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Mwananchi

Kesi ya wakili maarufu yachukua sura mpya

>Kesi ya kutakatisha fedha haramu inayomkabili wakili maarufu jijini hapa, Median Mwale na wenzake watatu, imechukua sura mpya baada ya upande wa utetezi kudai kesi hiyo ilifunguliwa kimakosa kabla ya sheria iliyowashtaki  kutungwa.

 

2 years ago

Raia Mwema

Sababu 8 kwa nini vita ya kibiashara baina ya Marekani na China sio kitu kizuri

Washington, Marekani

DONALD Trump yule wa wakati wa kampeni alikuwa akitoa maneni makali dhidi ya China: Alitishia kuitandika na kodi ya asilimia 45 kwa kila bidhaa inayoingizwa nchini Marekani kutokea China, na akaahidi kuitangaza China kama “mdanganyifu wa fedha.”

“Hatuwezi kuendelea kuiruhusi China kubaka nchi yetu, na hicho ndicho wanachofanya,” aliwaambia waandishi wa habari mwezi Mei.

Vitisho dhidi ya biashara duniani itakuwa ni sehemu kubwa ya mazungumzo baina ya viongozi...

 

1 year ago

VOASwahili

China inasema haina nia ya kuanzisha vita vya biashara

China imesema Jumapili kwamba haina nia ya kuanzisha vita vya biashara na Marekani kwa sababu hatua hiyo itakuwa janga kwa dunia nzima. Waziri wa biashara wa China, Zhong Shan alisema pembeni ya kikao cha kila mwaka cha bunge la China kwamba “hakuna washindi katika vita vya biashara”. Aliendelea kusema kuwa “China haitarajii kupambana kwenye vita vya biashara, wala China haitaanza vita vya biashara, lakini tunaweza kukabiliana na changamoto za aina yeyote na tutalinda maslahi ya nchi na...

 

2 years ago

Channelten

Balozi Mteule wa China awasili Tanzania, Kuendeleza ushirikiano baina ya Tanzania na China

CHINA

Balozi mpya wa China hapa tanzania Bibi WANG KE amewasili leo kwa ajili ya kuanza rasmi kazi zake na kuahidi kuendeleza vema uhusiano uliopo baina ya Tanzania na China

Balozi huyo wa China nchini Tanzania mwenye Umri wa Miaka 54 amewasili kwenye uwanja wa Ndege wa Julias Nyerere jijini Dar es salaam akiambatana na mumewe na kupokewa na Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika wizara ya Mambo ya Nje ya Tanzania Bw Magubile Murabi.

Kwa miaka minne iliyopita balozi Wang Ke...

 

5 years ago

Mwananchi

Ni ‘vita’ baina ya serikali na wananchi na siyo upinzani

>Tangu kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini   mwaka 1992, hali ya kisiasa imekuwa ni ya mvurugano. Watawala, CCM wamekuwa wakilinda nafasi yao ili isichukuliwe na wapinzani.

 

2 years ago

Raia Mwema

Vita baridi baina ya Urusi na nchi za Magharibu yaibuka upya

Kirkenes, Norway (CNN)

KIFARU cha Jeshi la Wanamaji wa Marekani, US Marines kinavunja ukimya wa msitu na barafu, huko kaskazini zaidi ya mstari wa Aktiki, huku ndege zisizoendeshwa na rubani (drones) zikiwa zinazunguka juu na moshi wa njano na kijani ukisambaa kwenye hewa yenye baridi kali.

Wanaelekea wapi? Kwenye handaki mbele zaidi, likiwa limekaliwa na wanajeshi wa Norway, nchi mshirika wa karibu wa Marekani na mwanachama wa Umoja wa Kujihami wa Magharibi, NATO. Milipuko inavuma...

 

5 years ago

Michuzi

Isomeni Katiba Mpya Inayopendekezwa sura kwa sura na ibara kwa ibara ili muweze kupata uelewa - Dkt. Migiro

Na Magreth Kinabo
WANANCHI   wameshauriwa kuisoma Katiba Mpya Inayopendekezwa  sura kwa sura na ibara kwa ibara ili waweze kupata uelewa wa masuala mbalimbali yaliyomo ndani ya Katiba hiyo na kuacha kusikiliza maneno  ya watu yenye nia ya kupotosha ukweli.
Kauli hiyo ilitolewa jana  na  Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha   Rose Migiro wakati  wa sherehe za mahafali ya pili ya Shule ya Sekondari ya Wasichana  wanaoishi katika mazingira hatarishi  ya WAMA  Nakayama, iliyopo  wilayani Rufiji...

 

2 years ago

Mwananchi

Vikwazo viondolewe Afrika iimarishe biashara baina ya mataifa yake

Ushirikiano wa biashara baina ya mataifa ya Afrika bado ni wa kiwango cha chini licha ya bara hili kujivunia zaidi ya miongo sita ya uhuru wa bendera.

 

2 years ago

Raia Mwema

Mazungumzo ya simu baina Trump na rais wa Taiwan yalipanga kuiudhi China

Rais Tsai Ing-wen akizungumza na Rais Mteule wa Marekani Donald Trump kwa njia ya simu.

Rais Tsai Ing-wen akizungumza na Rais Mteule wa Marekani Donald Trump kwa njia ya simu.

Washington, D.C.

SIMU iliyovunja itifaki ya Rais Mteule wa Marekani Donald Trump kiongozi wa Taiwan ilikuwa ni uchokozi wa makusudi  ambao unamfanya kiongozi huyo anayefuata wa Marekani kuachana na utamaduni uliozoeleka, kulingana na mahojiano na watu wanaohusika na mpango huo.

Mawasiliano ya kihistoria – ya kwanza baina ya viongozi wa Marekani na Taiwan tokea mwaka 1979 – yalikuwa ni zao la miezi...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani