Vita ya Lwandamina, Omog yaja

MAHASIMU wa jadi Simba na Yanga zinatarajiwa kushuka dimbani Februari 18 katika mchezo wa marudiano wa Ligi Kuu Tanzania bara.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Mwananchi

Omog, Lwandamina viroho kwatu, watano waumia

Matokeo ya mechi za kwanza za mzunguko wa pili yamepokewa kwa hisia tofauti na makocha wa Simba, Yanga, Azam kwa upande mmoja na kuwaacha wenzao watano wakilia.

 

1 year ago

Michuzi

YANGA YAWAFUATA SINGIDA, NI VITA YA LWANDAMINA NA PLUIJM

KIKOSI cha Yanga kimeondoka leo kuelekea Singida kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya wenyeji, Singida United Jumamosi Uwanja wa Namfua.
Yanga imeondoka bila kuwa na Lwachezaji wake wanne tegemeo ambao ni beki Juma Abdul, kiungo Thabani Kamusoko, washambuliaji Mzimbabwe mwenzake, Donald Ngoma na Mrundi, Amissi Tambwe.Kikosi hicho kinachonolewa na Mzambia George Lwandamina kitavaana na Singida wanaonolewa na aliyewahi kuwa kocha mkuu wa timu hiyo Hans Van De...

 

1 year ago

MwanaHALISI

‘Vita nyingine’ ya uchaguzi mdogo yaja

KIPYENGA cha uchaguzi mdogo wa ubunge katika majimbo matatu ya Tanzania Bara na kata sita, kimepulizwa rasmi, imefahamika, anaandika Faki Sosi. Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Mkuu mstaafu wa Zanzibar, Hamid Mahmoud Hamid, ametaja majimbo kutakakofanyika uchaguzi kuwa ni Singida Kaskazini, Longido na Songea Mjini. Uchaguzi katika jimbo la Singida ...

 

4 years ago

Bongo Movies

Bomu Jipya: Hii ni Vita ya Utamaduni, Ni Vita ya Kutawaliwa Kiakili

AWALI kuna wale waliolalamikia kuhusu maadili hasa pale filamu za kitanzania zilipozuiliwa na watayarishaji wetu wakashindwa kujenga hoja kwa kuuliza kwanini sinema zao zikitamka tu neno la Shoga wanaambiwa watoe lakini za kutoka nje Mashoga wanaonekana, hapa kuna maswali mengi sana.

1. Kwanini balozi wa Korea kwa niaba ya nchi yake alikuwa anatoa tamthilia za kikorea zionyeshwe ITV bure?
2. Kwanini serikali ya China inaingia gharama za kutafsiri tamthilia zao kwa kiswahili na kuzitoa...

 

1 year ago

Channelten

Vita ya unyanyasaji watoto wa Kike, Polisi Lindi watangaza vita

IMG_9597

Jeshi la polisi mkoani Lindi limetangaza mapambano dhidi ya watu wanaonyanyasa watoto wa kike ikiwemo kuwafanyia vitendo vya udhalilishahaji na kuwakatisha masomo yao.

Kauli hiyo imetolewa na kamanda wa Polisi mkoa wa Lindi, Renata Mzinga, wakati alipokuwa akiwavalisha nishani wanachama wapya 230 wa skauti wa kike kutoka chama cha Tanzania Girl Guides.

Grace shaba ni katibu mkuu wa chama cha Girl Guides Tanzania,ambaye amesema lengo la kuanzisha chama hicho ni kumfundisha mtoto wa kike kuwa...

 

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: ‘Ukombozi wowote una vita, vita hii isituumize’ – Nape Nnauye

Mbunge wa Mtama Nape Nnauye ni miongoni mwa Wabunge waliosimama bungeni Dodoma leo May 17 2017 ambapo moja ya alivyosema ni ‘naipongeza Serikali ya awamu ya 5 kwa juhudi ambazo zimeanza kuonekana za kufufua viwanda’ ‘Jimboni kwangu kuna kiwanda imefufua na maeneo mengine tumeanza kuona juhudi hizi zinakwenda na hatua mlizoanza zinakwenda vizuri’ Hii video hapa chini […]

The post VIDEO: ‘Ukombozi wowote una vita, vita hii isituumize’ – Nape Nnauye appeared first on...

 

3 years ago

Vijimambo

Makongoro: Lowassa sikumuona Vita ya Kagera, Labda alikuja baada ya vita kuburudisha wanajeshi

MAKONGORO: Tupimwe afya kwani tunataka kwenda kuchezea Real Madrid au Manchester United? 
CHARLES Makongoro Nyerere (CMN) ni miongoni mwa wanachama wa CCM waliotangaza nia ya kutaka kuchaguliwa kuwania urais kupitia chama hicho mwaka huu. Raia Mwema lilifanya naye mahojiano wiki hii nyumbani kwake jijini Dar es Salaam. Endelea
-RAIA MWEMA: Kwanini wana CCM wanatakiwa wakuchague wewe uwe mgombea wao na si mwingine miongoni mwa wenzako 41 waliojitokeza kuwania nafasi hiyo?MAKONGORO: Mimi si...

 

1 year ago

BBCSwahili

Stanislav Petrov, aliyezuia vita vya nyuklia wakati wa Vita Baridi afariki akiwa na miaka 77

Afisa wa zamani wa jeshi la Muungano wa Usovieti ambaye anasifiwa sana kwa hatua yake ambayo huenda ilizuia vita vya nyuklia kati ya Marekani na muungano huo wakati wa Vita Baridi amefariki dunia akiwa na miaka 77.

 

1 year ago

Channelten

Vita ya maneno kati ya Marekani na North Kores, Korea kaskazini yasema ujumbe wa Trump unaashiria tangazo la Vita

korea kikosi

Mwanadiplomasia wa ngazi ya juu wa Korea Kaskazini amesema kuwa ujumbe wa Rais Donald Trump wa mwishoni mwa wiki katika ukurusa wa twitter ulikuwa unaashiria “tangazo la vita.”.

Mwanadiplomasia huyo amesema licha ya ujumbe huo, Trump pia alidai kuwa uongozi wa Korea Kaskazini hautasalia madarakani kwa muda mrefu na mwishoe akatoa kauli kama hiyo ya kuashiria vita dhidi ya nchi hiyo.

Amesema kwa vile ujumbe huo unatoka kwa Rais wa sasa wa Marekani basi wao Korea Kaskazini wanaona kuwa hilo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani