Vitendo vya Udhalilishaji na mimba za umri mdogo bado ni tatizo

Vitendo vya Udhalilishaji na mimba za umri mdogo  bado vimekuwa  vikiathir jamii na kusababisha wananfunzi  kushindwa kuendelea na masomo yao.

Akizungumza na zanzibar24 nje ya kongamano la kuwaelimusha wananfunzi kujiepusha na vitendo hivyo Mkuu wa Wilaya ya Magarib A Kapten Khatib Khamis Mwadini amesema licha ya serikali kuweka azma ya kuwachukulia hatua wafanyaji wa vitendo hivyo lakini bado kuna baadhi ya watu wanaendelea.

Aidha ametowa wito kwa wananchi kuendelea kuripoti kesi za...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Uelewa mdogo wa sheria wachangia uongezekaji vitendo vya udhalilishaji

IMEELEZWA kuwa uelewa mdogo wa sheria kwa jamii ndio sababu inayopelekea kuongezeka kwa migogoro na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia katika jamii.

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mipango Sera na Utafiti kutoka Afisi ya Rais Sheria Katiba na Utawala Bora wakati akifungua Kongamano la Kitaifa la Wasaidizi wa Kisheria Pamoja na Wadau wengine Zanzibar huko katika Ukumbi wa Sanaa Rahaleo Zanzibar.

Alisema kuwa uelewa mdogo unachangia kwa kiasi  kikubwa kwa vitendo vya udhalishaji...

 

4 years ago

Habarileo

‘Vitendo vya ukeketaji bado tatizo sugu’

VITENDO vya ukeketaji bado ni tatizo sugu, kutokana na baadhi ya watoa huduma za afya kushiriki kusaidia jambo hilo.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Tatizo la Mimba za utotoni bado ni kubwa katika visiwa vya Zanzibar

Tatizo la Mimba za utotoni bado ni kubwa katika visiwa vya Zanzibar na kusababisha kukatisha ndoto za maisha ya  baadae  kwa watoto wakike.

Akizungumza na Zanzibar24  na Mama mzazi wa Mtoto aliyepata mimba wakati alipokuwa anasoma na kushindwa kuendelea na haki yake ya kielimu amesema tatizo hilo  linahitaji mashirikiano ya pamoja ili kuweza kulipatia  ufumbuzi kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi hasa wakike kuweza kusoma.

Amesema ndoto na malengo ya mtoto wake yamevunjika baada ya kupata...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Udhalilishaji bado ni tatizo Pemba

Jeshi la polisi limetakiwa kutozifumbia macho kesi za ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto ambazo zimeonekana kushamiri siku hadi siku.

Wito huo umetolewa na Naibu Waziri Wizara ya Afya Zanzibar Mh. Harusi Saidi Suleiman katika maadhimisho ya 16 za kupinga ukatili wa kijinsia dhidi ya wanawake na watoto  yaliofanyika katika Viwanja vya Jamhuri Wete kusini Pemba.

Naibu Waziri Wizara ya Afya Zanzibar Mh. Harusi Saidi SuleimanNaibu Waziri Wizara ya Afya Zanzibar Mh. Harusi Saidi Suleiman

Amesema  jamiii  inashindwa kupeleka kesi hizo mahakani ...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Udhalilishaji wa watoto bado Tatizo

Dawati la kijinsia linaloshughulikia  kesi za ukatili na udhalilishaji katika kituo cha polisi muembe madema limesema halitamvumilia  mtu  atakaemdhalilisha na kumfanyia ukatili mtoto ili kupunguza  ongezeko la vitendo hivyo.

Akizungumza na Zanzibar24 huko ofisini kwake muembe madema  Msaidizi mkuu wa dawati la kijinsia muembe madema Zahor Faki Mjaka amesema  kesi za udhalilishaji na ukatili wanavyofanyiwa  watoto  zinaongezeka siku hadi siku hivyo haitawafumbia macho katika kuwafikisha...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mimba za umri mdogo zashika kasi Pemba

Imeelezwa kuwa mimba za umri mdogo zaongezeka kisiwani pemba hasa katika kipindi cha sikukuu ukilinganisha na miezi mengine.

Akithibitisha kutokea kwa matokeo tofauti katika mkoa wa Kusini Pemba kamanda wa polisi wa mkoa hua Shehan Mohammed Shehan amesema katika kipindi hicho matokeo kadhaa hujitokeza yakiwemo ya ubakaji, utoroshaji na mimba za umri mdogo.

Shehan amesema katika matokeo hayo tofauti kwa upande wa mimba za umri mdogo kwa mwaka 2017  katika maeneo ya Mazingwa Chakechake kijana...

 

3 years ago

Global Publishers

Enock kuoa no! umri bado mdogo

Enock Yamoto (1)  Enock Bella wa Ya Moto Band akiwa ametulia nyumbani.

MAMBO vipi mpenzi msomaji wangu, leo katika safu yetu hii tunaye Enock Bella ambaye ni mmoja wa memba wa Ya Moto Band anayezidi kujizolea umaarufu mkubwa kutokana na sauti yake ya besi huku mwenyewe akiwa na umri mdogo pamoja na mwili mdogo.

Enock Yamoto (3)Mpaka Home ilitinga mpaka kwenye kambi ya Mkubwa na Wanawe iliyopo Temeke Mwembe Yanga anakoishi mkali huyo, kujua mengi zaidi twende pamoja:

Maisha yake ya kila siku yakoje?

“Maisha yangu ni ya...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Mama Mwanamwema Sheini akemea vitendo vya udhalilishaji

MKE wa Rais wa  Zanzibar Mama Mwanamwema Shein amesema suala la udhalilishaji wa kijinsia, hasa kwa wanawake na watoto limekuwa sugu katika jamii  kutokana na kusikika kila kukicha, hali ambayo  haitoi picha nzuri katika jamii.

 Mama Shein aliyasema hayo jana  katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la zamani wakati akifungua Kongamano la siku moja lililozungumzia Unyanyasaji wa Wanawake na Watoto, Kongamano ambalo limetayarishwa na Taasisi ya Mwanaharakati Bibi Siti Bint Saad.

Katika hotuba...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Serikali yatakiwa kutovifumbia macho vitendo vya udhalilishaji

Wazee  wanaoishi katika nyumba za kulelea wazee Sebleni wameitaka serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kutovifumbia macho vitendo vya udhalilishaji vinavyojitokeza mara kwa mara dhidi ya wanawake na watoto.

Wakizungumza katika Viwanja vya kuchezea watoto kariakoo  ambapo  walikwenda kufurahika ikiwa na  lengo la kuadhimisha siku ya wanawake duniani wamesema wanaodhalilika na vitendo vya udhalilishaji ni wanawake na watoto hivyo ipo haja ya kuweka adhabu kali  kwa wanaofanya vitendo hivyo ili...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani