Vitu vya kushangaza vilivyopewa jina la Barack Obama

Rais Barack Obama anapojiandaa kustaafu nchini Marekani wiki ijayo, hapa tunaorodhesha vitu vya kushangaza ambavyo vimepewa jina lake.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Mtanzania

VITU VILIVYOPEWA JINA LA OBAMA ILI KUMUENZI

shule

Na MWANDISHI WETU,

BARACK Obama amestaafu nchini Marekani akiwa ameacha vitu kama maktaba, barabara na shule vikiwa vimepewa jina lake ikiwa ni ishara ya heshima aliyopewa na Wamarekani.

Kutakuwa na Maktaba ya Rais Barack Obama mjini Chicago. Pia kuna shule nyingi zilizopewa jina la kiongozi huyo wa kwanza Mwamerika Mweusi nchini humo.

Mbali na hayo, kuna vitu vingi ambavyo huwezi kutarajia vilivyopewa jina lake ikiwamo vimelea na buibui.

 Kimelea

Kuna mnyoo aina ya Baracktrema obamai,...

 

2 years ago

Raia Mwema

Mtaa wa Ikulu kupewa jina la Barack Obama ni kujitukana wenyewe

MAKALA yangu ya wiki jana ilimalizika kwa kujadili masuala mawili ambayo nilikusudia kuendelea ku

Jenerali Ulimwengu

 

3 years ago

Bongo5

Ujio wa Obama nchini Kenya waacha historia, watoto waliozaliwa siku aliyowasili waitwa Barack Obama na wengine ‘AirForceOne’

Ujio wa Rais wa Marekani, Barack Obama umeacha historia ya mambo mengi kwa wananchi wa Kenya. Baadhi ya wazazi wa watoto waliozaliwa siku ambayo Obama alitua nchini Kenya Ijumaa ya July 24, wamewapa watoto wao majina yanayohusiana na Rais huyo. Mzazi mmoja aliyejifungua mtoto wa kiume siku hiyo aliamua kumpa mtoto wake jina la Rais […]

 

4 years ago

Public Radio International

Where have all the honeybees gone? Barack Obama wants to know


Public Radio International
Where have all the honeybees gone? Barack Obama wants to know
Public Radio International
A honeybee takes nectar from a flower in Tanzania, while pollen attaches to its body. US President Barack Obama on Friday created a presidential commission to study the collapse of honeybee colonies and other pollinators across the country. There's fear ...

 

1 year ago

Mtanzania

KWAHERI BARACK OBAMA LAKINI…

150723174958-obama-family-christmas-2014-restricted-super-169

NA MARKUS MPANGALA,

ZIMESALIA siku nne tu Rais wa Marekani, Barack Obama, kung’atuka madarakani.

Rais huyo anatarajia kumkabidhi Ikulu ya Marekani Rais mteule, Donald Trump, Ijumaa wiki ijayo.

Kabla ya tukio hilo kufanyika hivi karibuni Rais Obama alitoa hotuba ya kuaga taifa hilo akiwa mjini Chicago, nchini humo.

Kama kawaida yake, aliongea kwa pozi, sentensi moja na nyingine zilitawaliwa na tuo, alivuta pumzi, akatuliza kichwa.

Midomo yake ilitamka maneno yanayowavuta wapigakura,...

 

1 year ago

BBCSwahili

Barack Obama avunja ukimya

Ofisi ya rais wa zamani wa Marekani Barack Obama imetoa tamko na kusema kwamba raisi huyo wa zamani anakerwa na na maandamano yanayoendelea nchini humo.

 

3 years ago

Daily News

Barack Obama set to get 'kifimbo' from Tanzania


Barack Obama set to get 'kifimbo' from Tanzania
Daily News
US President Barack Obama will soon receive a 'leadership wand' similar to the one which was used by Tanzania's first president, Mwalimu Julius Nyerere, from the same sculptor who made the latter's banter. Speaking in Arusha, renowned artist, sculptor ...

 

3 years ago

BBCSwahili

Barack Obama ataka amani Nigeria

Raisi Barack Obama ametoa mwito kwa wa Nigeria kusitisha vurugu kuelekea uchaguzi mkuu wa nchi hiyo mapema mwishoni mwa wiki hii.

 

3 years ago

BBCSwahili

Rais Barack Obama aizungumzia Iraq

Rais Obama amesema awamu ya kwanza ilikuwa ni kwa ajili ya kuandaa serikali ya pamoja na yenye kuaminika nchini Iraq.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani