Vodacom Tanzania ilivyowarusha wateja wake kila kona ya jiji la Dar

Mfalme wa muziki wa taarabu na kiongozi wa kundi la Jahazi Modern taarabu Mzee Yusuf akitoa burudani kwa mashabiki wa muziki huo katika Tamasha la Wafalme lililofanyika Dar Live na kudhamiwa na Vodacom Tanzania hapo jana katika kusherehekea sikukuu ya Krismasi.Gwiji wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz akiwapagawisha mashabiki wa muziki wake katika Tamasha la Wafalme lililofanyika Dar Live na kudhamiwa na Vodacom Tanzania hapo jana katika kusherehekea sikukuu ya Krismasi.Msanii wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 years ago

GPL

VODACOM TANZANIA ILIVYOWARUSHA WATEJA WAKE KILA KONA YA JIJI LA DAR‏

Mfalme wa muziki wa taarabu na kiongozi wa kundi la Jahazi Modern taarabu  Mzee Yusuf  akitoa burudani kwa mashabiki wa muziki huo katika Tamasha la Wafalme lililofanyika Dar Live na kudhaminiwa na Vodacom Tanzania hapo jana katika kusherehekea sikukuu ya Krismasi.…

 

9 months ago

Michuzi

VODACOM TANZANIA YAFUTURISHA WATEJA WAKE JIJINI DAR

Mkurugenzi wa Wateja wa Mikataba (Business Enterprise Unit) Vodacom Tanzania, Arjun Dhillon akitoa neno la shukrani kwa baadhi ya wateja wa Vodacom Tanzania walioudhuria kwenye futari hiyo iliyoandaliwa na mtandao huo jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa wateja kutoka Vodacom Tanzania, Bakari Kamenge akizungumza na baadhi ya wateja wa Vodacom Tanzania jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki, wakati mtandao huo ulipoandaa futari mahsusi kwa wateje hao ili kuongeza ukaribu na ...

 

4 years ago

Dewji Blog

Exclusive mvua ya siku 3 Dar: Jiji lasimama, miundombinu kero tupu kila kona

Na Andrew Chale, Modewji blog

Kufuatia mvua kubwa  inayoendelea kunyesha kwa siku ya tatu leo imeendelea kusababisha uharibifu wa miundombinu  mingi ya jiji la Dar es Salaam kuharibika vibaya huku mingine ikifungwa kwa kushindwa kutumika hasa kwa magari yaingiayo katikati ya jiji la Dar es Salaam.

Modewji blog  imeshuhudia maeneo kadhaa  katikati ya jiji na maeneo  mengineo ya nje ya jiji yakiwa katika ubovu mkubwa hata magari kupita kwa taabu na mengine kuzama katika madimbwi.

 Baadhi ya...

 

1 year ago

Michuzi

VODACOM TANZANIA YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA NA WATEJA WAKE

 Mkuu wa kitengo cha maduka ya rejareja ya Vodacom Tanzania PLC, Brigita Stephen akikata utepe kuashiria uzinduzi wa dawati la huduma kwa wateja wa kampuni hiyo”Service desk”lililopo soko la makumbusho jijini Dar es Salaam katika kusherehekea wiki ya huduma kwa wateja inayoanza kufanyika leo dunia nzima,Wanaoshuhudia kutoka kushoto Meneja wa kampuni hiyo,Fredrick Laini,Mteja na mkazi wa Makumbusho,Alex Kisanga. Alex Kisanga(kulia)Ambaye ni Mteja wa kwanza kufika katika dawati la huduma kwa...

 

4 years ago

Michuzi

Wateja wote wa Vodacom Tanzania kuperuzi intaneti bure kwa masaa 2 kila siku asubuhi

 Zaidi ya watumiaji milioni 13 wa mtandao wa simu za mkononi kuanzia leo wataweza kuperuzi internet inayofikia MB100 kwa masaa mawili bure kuanzia saa 12 alfajiri hadi saa 2 asubuhi kutokana na ofa inayojulikana kama "Good Morning Tanzania" inayotolewa na Vodacom Tanzania.

Promosheni hii imeanzishwa kutokana na kuonenakana kuwepo kwa mahitaji makubwa ya matumizi ya data katika kupata  taarifa kupitia mtandao wa intaneti.Vodacom Tanzania siku zote imekuwa mstari wa mbele kubuni huduma...

 

4 years ago

GPL

KAENI CHONJO OFM YATEGA KAMERA KILA KONA YA JIJI!

Mwandishi Wetu
KITENGO maalum cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM) cha Global Publishers ambacho kimeendelea kujiimarisha kiutendaji, katika kuhakikisha kinafanya kazi yake ipasavyo, sasa imetega kamera kupitia mapaparazi wake ambao watakuwa wakizunguka kila kona ya Jiji la Dar es Salaam na vitongoji vyake, Risasi Mchanganyiko linakubapa kinaga ubaga. Padri wa Moshi alipofumaniwa na kitengo maalum cha Oparesheni Fichua Maovu...

 

3 years ago

MillardAyo

Vodacom Tanzania kugawa bilioni 25 bonasi kwa wateja wake

voda....

Wateja wapatao milioni 11 wa Vodacom Tanzania wanaotumia huduma ya M-Pesa kuanzia leo wataanza kupatiwa mgao wa bonasi kutoka kwenye fungu la shilingi bilioni 25 zilizohifadhiwa kwenye akaunti maalumu ya M-Pesa kwenye mabenki mbalimbali nchini. Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao amesema……>>> “Mgao wa fedha hizi kwa wateja wetu ni mwendelezo wa kugawa fedha za bonasi ya […]

The post Vodacom Tanzania kugawa bilioni 25 bonasi kwa wateja wake appeared first on...

 

2 years ago

MillardAyo

Vodacom Tanzania wamezitenga mil 300 kwa ajili ya wateja wake

vvvvv

Mtu wangu unaambiwa Vodacom Tanzania wakishirikiana na Benki ya CBA walizindua promosheni kubwa inayojulikana kama “Jiongeze na M- Pawa’‘ ambayo inawawezesha watumiaji wa huduma ya M-Pawa kujishindia zawadi ya fedha taslimu. Jumla ya shilingi milioni 300 zimetengwa kwa ajili ya promosheni hiyo na mshindi mmoja wa droo kubwa atajishindia kitita cha shilingi milioni 100 na […]

The post Vodacom Tanzania wamezitenga mil 300 kwa ajili ya wateja wake appeared first on...

 

3 years ago

Global Publishers

Vodacom Tanzania Kugawa Bonasi ya Bil 25 Kwa Wateja Wake Kupitia M-Pesa

Wateja wapatao milioni 11 wa Vodacom Tanzania wanaotumia huduma ya M-Pesa kuanzia leo wataanza kupatiwa mgao wa bonasi kutoka kwenye fungu la shilingi bilioni 25 zilizohifadhiwa kwenye akaunti maalumu ya M-Pesa kwenye mabenki mbalimbali nchini.

Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania, Ian Ferrao alisema, “Mgao wa fedha hizi kwa wateja wetu ni mwendelezo wa kugawa fedha za bonasi ya M-pesa ambao ni utaratibu wetu. Hapo awali tuligawa takriban bilioni 20; awamu hii inayoanza leo tutagawa bilioni 25...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani