VODACOM TANZANIA YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA NA WATEJA WAKE

 Mkuu wa kitengo cha maduka ya rejareja ya Vodacom Tanzania PLC, Brigita Stephen akikata utepe kuashiria uzinduzi wa dawati la huduma kwa wateja wa kampuni hiyo”Service desk”lililopo soko la makumbusho jijini Dar es Salaam katika kusherehekea wiki ya huduma kwa wateja inayoanza kufanyika leo dunia nzima,Wanaoshuhudia kutoka kushoto Meneja wa kampuni hiyo,Fredrick Laini,Mteja na mkazi wa Makumbusho,Alex Kisanga. Alex Kisanga(kulia)Ambaye ni Mteja wa kwanza kufika katika dawati la huduma kwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

WATEJA WA VODACOM TANZANIA WAPATIWA ELIMU YA M-PAWA KATIKA KUADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA DUNIANI

 Mkurugenzi wa Mauzo na Usambazaji wa Vodacom Tanzania , Hassan Saleh  akiongea na baadhi ya wafanyakazi wa kamapuni hiyo  Mlimani City jijini , wakati  wakijiandaa kuelekea sehemu mbalimbali za jijini la Dar es Salaam na Pwani kutoa elimu ya huduma ya M-pawa ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja  Duniani. Afisa Mkuu wa Idara ya Huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Harriet Lwakatare, akiongea na waandishi wa habari, kuhusiana na wafnayakzai wa kampuni hiyo kwenda...

 

4 years ago

Dewji Blog

Tigo yawatembeza wateja wake katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) katika kuhadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja

IMG_5019

Wateja wakisikiliza mazungumzo mojakwamoja Baina ya mteja na muhudumu wetu katika kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter)  IMG_5004 IMG_4911 Mkuu wa idara ya Huduma kwa wateja, Ndugu Zaeem Khan akikabidhi kadi za kipaumbele kwa wateja waliohudhuria hafla hiyo. IMG_5035 Wateja waliopata nafasi ya kutembelea kituo cha huduma kwa wateja kwa njia ya simu (Callcenter) wakipata maelekezo kuhusu huduma za Tigo. picha 02 Picha ya pamoja ya Wafanyakazi  na wateja wa Tigo waliotembelea kituo cha Huduma kwa...

 

2 years ago

Michuzi

Benki ya TIB Corporate yatumia wiki ya huduma kwa wateja kuboresha mahusiano na wateja wake

Katika kuadhimisha wiki ya Huduma kwa wateja Duniani,TIB Corporate Bank imekutana na wateja wake ili kujadili nafasi na mchango wa benki hiyo katika biashara huku ikitoa nafasi kwa wateja na wadau wa benki hiyo kutoa ushauri kuhusiana na huduma zake.
Akizungumza jijini Dar es Salaam jana wakati hafla fupi iliyoambatana na mazungumzo hayo, Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo, Bw Frank Nyabundege alisema maadhimisho hayo ambayo ni ya kwanza kufanywa na benki hiyo tangu ianzishwe mwaka 2015...

 

1 year ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB TAWI LA TEGETA WASHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUWAPA ZAWADI WATEJA WAKE.

 Keki ya wiki ya huduma kwa wateja ya benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo jijini Dar es Salaam.Meneja Mikopo Microfinance wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo, Thadeus Tumaini akimpa zawadi Mteja wa Benki ya CRDB tawi la Tegeta Kibo, William Silawe ikiwa kusheherekea wiki ya huduma kwa wateja ambayo hufanyika kila wiki ya kwanza ya mwezi Oktoba kila mwaka.katikati ni  Meneja Mikopo wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo, Martha Ngowi.  Meneja Mikopo wa Benki ya CRDB Tawi la Tegeta Kibo, Martha...

 

1 year ago

Michuzi

STARTIMES WASHEREKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA KWA KUZINDUA CHANELI MPYA KWA WATEJA WAKE
KATIKA kusherekea wiki ya huduma kwa wateja kampuni inayotoa huduma za ving'amuzi Tanzania Wamezindua chaneli mpya kwa wateja wake.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es aSalaam leo, Mkurugenzi wa uendeshaji wa Startimes, Carter Luoh amesema kuwa kampuni hiyo wameongeza chaneli mpya katika king'amuzi ambapo wanajisogeza karibu na wateja wake.
Pia amesema kuwa Startimes inafuraha kubwa kutoa huduma za kidijitali kwa mikoa 17 kwa kutoa huduma za ving'amuzi ambayo imewafikia wateja wa...

 

2 years ago

Michuzi

VODACOM TANZANIA YAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA DUNIANI

 Afisa Mkuu wa Idara ya huduma kwa wateja wa Vodacom Tanzania,Harriet Lwakatare akiongea na baadhi ya wateja waliofika kupata huduma mbalimbali katika duka la kampuni hiyo lililopo Mlimani city jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha wiki ya huduma kwa wateja duniani.

 Baadhi ya wateja wa Vodacom Tanzania waliofika kupata huduma mbalimbali katika duka la kampuni hiyo lililopo Mlimani city jijini Dar es Salaam leo wakichukua keki kutoka kwa Afisa Mkuu wa Idara ya huduma kwa...

 

3 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB TAWI LA MLIMANI CITY YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA


Mkurugenzi wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City, Allen Killango (katikati) akifurahia jambo na Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulikia Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhayay (kushoto). Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB anayeshughulikia Uendeshaji na Huduma kwa Wateja, Saugata Bandyopadhayay akisalimiana na Ofisa wa Benki ya CRDB tawi la Mlimani City.Keki.
KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

1 year ago

Michuzi

Airtel yasherehekea wiki ya huduma kwa wateja kwa kuzindua OFA KAMBAMBE

Airtel leo wamezindua shamra shamra za wiki ya huduma kwa mteja kwa kuwakaribisha wateja wake wote waliongia madukani kwao kwa kukata keki na kuzindua kifurushi maalum cha sh 1000 cha  OFA KABAMBE kinachodumu kwa siku tatu ikiwa ni  ishara yakuwashukuru wateja wote nchini.

Akiongea katika makao makuu ya Airtel Meneja wa Duka la Airtel Bi Celine Njunju alisema “tunawashukuru wateja na wananchi wote kwa ujumla katika wiki hii ya huduma kwa wateja inayoanza tarehe 2 hadi tarehe 6 mwezi Oktoba...

 

1 year ago

Michuzi

BENKI YA NMB ,TAWI LA NELSON MANDELA MJINI MOSHI YASHEREHEKEA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA.

Meneja wa NMB tawi la Nelson Mandela,Emmanuel Kishosha akimueleza jambo Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira wakati akimkaribisha kuzungumza na Wateja a Benki hiyo waliojumuika katika Chai ya asubuhi ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja.Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Anna Mghwira akizungumza na Wateja wa Benki ya NMB wakati wa Maadhimisho ya wiki ya Huduma kwa Wateja iliyoanza Oktoba Mosi.Baadhi ya Wateja wa Benki ya NMB pamoja na viongozi mbalimbali wakifuatilia...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani