Vodacom yaongeza muda wa kuuza hisa

Akiongea jijini Dar es Salaam mapema leo, Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia amesema “Vodacom Tanzania PLC inatarajia kupokea maombi mengi ya kununua hisa katika kipindi cha wiki hii.
Pia kutokana na ushauri kutoka Serikali ya Tanzania na  makundi mbalimbali muhimu ya kijamii yanayohitaji kuwekeza wakiwemo Wabunge, makundi ya watumishi wa kada mbalimbali wa serikali na maofisa wa vyama  vya Ushirika kutoka sehemu mbalimbali za nchi, tumewasilisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Bongo5

Sasa ni rasmi Vodacom Tanzania kuanza kuuza hisa zake kwa wawekezaji

Kampuni ya simu za mkononi nchini Vodacom Tanzania itakuwa kampuni ya kwanza inayotoa huduma za mawasiliano kuuza hisa zake katika soko la hisa la Dar es Salaam maarufu kama “DSE”.

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Vodacom Tanzania, Ian Ferrao

Hii inafuatia rasimu ya waraka wa matarajio (Prospectus) na maombi yaliyotumwa kwenye Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA) kukubaliwa. CMSA ndiyo mamlaka inayosimamia masoko ya mitaji na dhamana nchini.

Uuzaji wa hisa za awali wa Vodacom...

 

4 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB KUUZA HISA ZAKE KATIKA SOKO LA HISA LA NAIROBI

Benki ya CRDB inatarajia kuuza Hisa zake katika Soko la Hisa la Nairobi, fursa ambayo itatoa wigo mpana zaidi wa biashara ya hisa za Benki hiyo katika soko la Afrika Mashariki.
Hayo yalisemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei wakati wa siku ya kwanza ya mkutano mkuu wa wanachama wote unaofanyika hapa jijini Arusha.
Kimei alisema uuzaji wa hisa katika Soko la Hisa la Nairobi utafanya bei ya hisa za benki ya CRDB kupanda kutokana na ukweli kwamba katika soko la Dar...

 

2 years ago

Habarileo

Tanesco haina mpango kuuza hisa

SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema halina mpango wa kuuza hisa za Tanesco kwa umma na kwamba sasa shirika hilo, linatekeleza Mkakati wa Mageuzi wa kuboresha shirika hilo (ESI-RSR) 2014 – 2025).

 

2 years ago

Habarileo

Kampuni za simu zakumbushwa kuuza hisa

BAZARA la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) limeziasa na kuzikumbusha kampuni za simu za mkononi nchini kukamilisha taratibu za kisheria za masoko ya mitaji na hisa kwa kutoa asilimia 25 katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) ili kuwawezesha wananchi kununua hisa hizo na kuwa sehemu ya wamiliki wa kampuni.

 

4 years ago

Mwananchi

Faida na hasara za kuuza hisa wakati wa gawio

Kuanzia mwezi ujao kampuni nyingi ambazo zimeorodheshwa katika Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) zitaanza kutoa taarifa zao za fedha kwa umma kupitia magazeti mbalimbali, taarifa hizo zinakuwa ni za kuanzia mwaka wa fedha ulioishia 31 Desemba 2013.

 

1 year ago

Raia Mwema

Mamia washindwa kuuza hisa zao DSE

Afisa Mtendaji wa DSE Moremi Marwa

Mamia ya wawekezaji kwenye Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) wanashindwa kuuza hisa zao kutokana na kukosekana kwa wanunuzi, hasa kipindi hiki cha mwanzo wa mwaka, ambapo wanunuzi wengi wanakabiliwa na mahitaji mengine ya kifedha.

Ripoti za soko la hisa kwa wiki jana zilionyesha kwamba, kulikuwepo na idadi kubwa ya hisa zilizohitaji kuuzwa, ikilinganishwa na idadi idadi ya mahitaji ya hisa kwa wawekezaji wanaotaka kununua.

Raia Mwema imebaini...

 

3 years ago

Michuzi

Benki ya CRDB kuanza kuuza Hisa Stahili leo

 Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akifungua mkutano wa wanahisa wa benki hiyo katika Hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam. Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambwa akizungumza wakati wa mkutano wa wanahisa uliofanyika katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam.Mwenyekiti wa Bodi yaWakurugenzi ya Benki ya CRDB, Martin Mmari akizungumza katika mkutano huo. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei, akizungumza na baadhi ya...

 

3 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB KUANZA KUUZA HISA STAHILI JUNI 26

 Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akifungua mkutano wa wanahisa wa benki hiyo katika Hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam. Katibu wa Benki ya CRDB, John Rugambwa akizungumza wakati wa mkutano wa wanahisa uliofanyika katika hoteli ya Sea Cliff jijini Dar es Salaam. Baadhi ya maofisa wa benki hiyo pamoja na wanahisa wakimsikiliza Dk. Dk. Charles Kimei.Meza Kuu.

 KWA PICHA ZAIDI BOFYA HAPA.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani