Waafrika wanaopigania ndoto zao katika Olimpiki

Mkenya Sabrina Simader, raia wa Madagascar Mialitiana Clerc na Mathilde-Amivi Petitjean raia wa Togo walikwea milima kupigania ndoto zao za Olimpiki.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Kamisheni ya Ardhi Zanzibar yawaliza wanawake wanaopigania haki zao

 

Wanawake wa Mkoa wa kusini wamesema hali gumu ya maisha na kutokuwa na kipato cha uhakika ndio chanzo kinachowakwamisha kutokumiliki hati miliki ya mali zao.

Wakizungumza na Waandishi wa habari katika ziara iliyoandaliwa na Tamwa chini ya ufadhili wa foundation  for  civil  society na Mfuko wa kusaidia  miradi mdogomidogo kutoka Canada walalamikia wingi wa fedha wanazotozwa na kusema kutokana na kipato chao kuwa duni wanawake waliowengi watashindwa kumiliki  hati miliki  kwa ajili ya mali...

 

4 years ago

Michuzi

Watoto wanaolelewa katika kituo cha mwandaliwa waazimia kutimiza ndoto zao

Tunu Jamal (17) hivi sasa anasoma kozi ya kutimiza ndoto yake ya kuwa Ofisa Ugavi katika Chuo cha Kilimanjaro Institute of Technology na ameanzia   ngazi ya cheti ili akifanya vizuri aweze kujiendeleza zaidi.
Mbali na kozi hiyo  anaungana na wenzake wanne wanaolelewa pamoja katika kituo cha Mwandaliwa kusoma kozi ya ushonaji ili ndoto yake isipotimia awe na ujuzi mbadala wa  kuendesha biashara ya ushonaji.
“Nachukua  mafunzo ya ushonaji wa nguo ili nisipofanikiwa katika fani ya ndoto yangu au...

 

4 years ago

GPL

WATOTO WANAOLELEWA KATIKA KITUO CHA MWANDALIWA WAAZIMIA KUTIMIZA NDOTO ZAO‏

Tunu Jamal (17) hivi sasa anasoma kozi ya kutimiza ndoto yake ya kuwa Ofisa Ugavi katika Chuo cha Kilimanjaro Institute of Technology na ameanzia   ngazi ya cheti ili akifanya vizuri aweze kujiendeleza zaidi. Mbali na kozi hiyo  anaungana na wenzake wanne wanaolelewa pamoja katika kituo cha Mwandaliwa kusoma kozi ya ushonaji ili ndoto yake isipotimia awe na ujuzi mbadala wa  kuendesha biashara ya ushonaji. “Nachukua ...

 

2 years ago

Habarileo

Medali ndoto Olimpiki-Mkuu wa Msafara

MKUU wa msafara wa timu ya Tanzania itakayoshiriki Michezo ya 31 ya Olimpiki itakayofanyika Rio, Brazil amesema kuwa, hakuna matumaini ya kurudi na medali.

 

3 years ago

Dewji Blog

Tamasha la Msafara lafana Ifakara, vijana wengi wajengewa uwezo wa kutimiza ndoto zao

 Baadhi ya vijana wakiwa wanaendelea kufanya usafi maeneo ya Uwanja wa Taifa wa Ifakara eneo ambapo Tamasha hilo la Msafara lilifanyika.

 Katibu Tawala wa Wilaya ya Kilombero Bw. Yahya Naniya(aliyevaa miwani) akiwa katika ushiriki wa kufanya usafi kaika uwanja wa Taifa wa Ifakara

 Mwenyekiti wa Maandalizi wa Msafara kutoka TYDC James Isdore akielezea maana ya msafara kwa wakazi wa Ifakara

  Baadhi ya wakazi wa Ifakara wakiendelea kusikiliza kinacho endelea 

Mbunge wa Kilombero...

 

2 years ago

BBCSwahili

Waafrika wanauzwa Libya katika biashara ya Utumwa

Wahamiaji walio na ujuzi kama vile upakaji rangi au ukulima, wanauzwa kwa bei ya juu, kiongozi mkuu wa shirika hilo la IOM nchini Libya ameiambia BBC

 

7 months ago

BBCSwahili

Kwa nini Waafrika hawafanikiwi katika uogeleaji?

Licha ya mataifa ya Afrika kuwa na ufuo wa bahari, mito na maziwa, waogeleaji kutoka bara hili mara nyingi hushindwa kufanikiwa katika mashindano ya kimataifa.

 

1 year ago

Michuzi

Asasi za Kiraia ziomba serikali kutatua changamoto zinazowakbili watoto wa kike kushindwa kutimiza ndoto zao

Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii
Asasi za kiraia na wadau wa elimu pamoja na Afya wameiomba serikali kutatua changamoto za watoto wa kike zinazofanya washindwe kutimiza ndoto mbalimbali ikiwemo ndoa za utotoni zinazotokana na mila potofu zinazoendelea katika jamii.
Akizungumza na waandishi habari wakati akimkabidhi mapendekezo ya wadau kwa  Afisa wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu, Dora Meena,Meneja wa Miradi ya Utetezi na Sera wa Taasisi ya Healthy...

 

8 months ago

Michuzi

GLOBAL EDUCATION LINK WATOA USHAURI NASAHA WA KITAALUMA KWA WANAFUNZI ILI KUTIMIZA NDOTO ZAO

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiKAMPUNI ya Global Education Link imeamua kutoa ushauri nasaha wa kitaaluma kwa wanafunzi wa shule za sekondari mbalimbali nchini ili kuhakikisha wanafunzi wanafanikiwa kutimiza ndoto zao.
Imefafanua imeamua kutoa ushauri huo baada ya kuona wanafunzi wengi nchini hawana taarifa rasmi kuhusu vyuo vikuu na imesababisha wengi wao kushindwa kuchagua nini asome ili afanikishe malengo yake na matokeo kusababisha soko la ajira kuwa gumu.
Pamoja na hayo kampuni hiyo...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani