Waarabu wanne waitaka Yanga

YANGA ikiipiga Mbao kesho Jumamosi jijini Mwanza itakuwa rasmi kwamba ni mabingwa wa Tanzania hata kama Simba itakuja kushinda rufaa yake iliyoko Fifa.

Mwanaspoti

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

GPL

Yanga SC yawaotea Waarabu

Wachezaji wa Yanga wakishangilia goli. KOCHA wa Yanga, Hans van Der Pluijm, jeuri sana, kwani amefanya mazoezi mara mbili na kikosi chake kisha akawasisitizia wachezaji wake kwamba, wote lazima wakabe kisawasawa kuanzia mwanzo hadi mwisho katika mchezo wao dhidi ya Etoile du Sahel leo Jumamosi usiku. Yanga ipo jijini hapa tangu juzi kujiandaa na mchezo wake wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Etoile du Sahel...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Yanga kuwasikilizia Waarabu Bagamoyo

WAWAKILISHI wa Tanzania katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Yanga wanatarajiwa kuwasili nchini leo kutoka visiwani Comoro na watakwenda kujichimbia kambini Bagamoyo mkoani Pwani. Yanga juzi ilifanikiwa kusonga mbele baada ya...

 

2 years ago

Mtanzania

Yanga yawakimbiza vibaya Waarabu

Untitled-2JUDITH PETER NA THERESIA GASPER, DAR

WAWAKILISHI wa Tanzania katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika, Yanga wanakutana na miamba ya soka barani Afrika, Al Ahly kwenye hatua ya 16 bora, huku wakionekana kuwazidi katika idara ya ushambuliaji kutokana na wingi wa mabao Wanajangwani hao waliyonayo.

Kwa kulinganisha viwango vya soka vya timu hizo, Al Ahly wamewazidi kwa mbali Yanga kutokana na kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Afrika mara nane huku Yanga wakiwa hawana historia ya kunyakua taji...

 

1 year ago

Mwananchi

Waarabu sasa waitisha Yanga

Mabingwa wa Ligi Kuu Bara, Yanga inaomba dua katika ratiba ya timu 32 bora za Kombe la Shirikisho Afrika ikipangwa leo, isipangwe na timu nane za kutoka Kaskazini mwa Afrika.

 

1 year ago

Habarileo

Yanga kwa Waarabu tena

BAADA ya Yanga kutolewa kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika sasa imeangukia mikononi mwa Waarabu, MC Alger ya Algeria katika mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika.

 

1 year ago

Mwanaspoti

Waarabu waipuuza Yanga vibaya

YANGA na MC Alger zinacheza Aprili 8 kwenye Uwanja wa Taifa katika mechi ya kwanza ya mtoano wa Kombe la Shirikisho kuelekea hatua ya makundi ya michuano hiyo.

 

1 year ago

Global Publishers

Waarabu Wanaijua Vizuri Yanga

Wilbert Molandi na Musa Mateja | CHAMPIONI| Dar es Salaam

WAPINZANI wa Yanga katika Kombe la Shirikisho Afrika, MC Alger wametua nchini juzi usiku halafu jana jioni wakafanya mazoezi na kupiga mkwara mzito wakidai wanawajua vizuri Wanajangwani.

Timu hiyo, ilitua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Alhamisi saa 5:00 usiku ikitokea kwao Algeria kwa ndege ya kukodi.

Yanga wanatarajiwa kuvaana na MC Alger leo saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Taifa jijini...

 

1 year ago

Mwanaspoti

Waarabu waingia mkenge Yanga

KAMA rekodi zitazungumza, Yanga ina nafasi kubwa ya kufuzu hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika, lakini haina budi kufanya kazi moja muhimu kwa kuimarisha upigaji wa mikwaju ya penalti kwa mastaa wake.

 

1 year ago

Global Publishers

Yanga Yawabadilishia Mbinu Waarabu


Wilbert Molandi, Dar es Salaam, Championi Ijumaa
KOCHA Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi, amesema ili wapate ushindi wa ugenini, basi lazima
wawafunge wapinzani MC Alger ndani ya dakika 15 za mwanzoni kwa lengo la kuwapa presha.
Yanga wanatarajiwa kujitupa kwenye Uwanja wa Stade 5 July 1962 uliopo kwenye Mji wa Ben Aknoun, Algeria unaoingiza mashabiki 64,000 kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika.Mchezo wa awali uliopigwa Uwanja wa Taifa, Dar, Yanga ilipata ushindi wa bao 1-0, mfungaji...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani