Waasi 15 wa kundi la ADF wameuwawa na jeshi la Congo, DRC (FARDC) katika misitu ya Beni

Waasi 15 wa kundi la ADF wameuwawa na jeshi la Congo, DRC (FARDC) katika misitu ya Beni wakati wa mapigano makali yalioyo chukuwa siku mbili katika barabara ya Mbau Kamango

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

VOASwahili

Mapigano Virunga nchini DRC kati ya waasi na jeshi la Congo FARDC

Jeshi la Congo la FARDC limeanza msako wa kupambana na waasi huko Virunga ambako kuna waasi wa maimai, nyatura na wapiganaji wa FDLR. Austere Malivika yuko katika uwanja wa mapambano.

 

1 year ago

VOASwahili

Kundi la waasi - ADF lahusishwa na mauaji ya walinda amani DRC

Kikundi cha waasi wa Alliance of Democratic Forces (ADF) kimetajwa na ripoti maalum ya uchunguzi uliofanywa na Umoja wa Mataifa kuwa kilihusika na mauaji ya askari wa Tanzania nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

 

1 year ago

BBCSwahili

Jeshi la Uganda ladai kuwaua waasi wa ADF DR Congo

Jeshi la Uganda linasemekana kushambulia kambi kadhaa za waasi mashariki mwa Congo.

 

1 year ago

RFI

DRC: Jeshi la Uganda latekeleza mashambulizi dhidi ya kundi la waas wa ADF

Jeshi la Uganda limesema limetekeleza mashambulizi kulenga kambi za waasi mashariki mwa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, ambako wapiganaji wenye silaha waliwaua wanajeshi 14 wa kulinda amani wa umoja wa Mataifa.

 

2 years ago

VOASwahili

Vita inayoendelea kati ya FARDC na waasi nchini DRC.

Austere Malivika yuko katika uwanja wa mapambano huko DRC ambapo anatutaarifu hali inayoendelea wakati mapambano yakiendelea baina ya jeshi la DRC FARDC na wapinzani. Hivi leo kundi la waasi wa maimai limechoma kambi ya jeshi ya FARDC lakini mapambao yanaendelea.

 

5 years ago

BBCSwahili

Waasi wa ADF washambulia DRC

Jeshi la DRC linasema kuwa watu 26 wameuawa nchini humo katika shambulizi liliofanywa mjini Beni na waasi wa ADF.

 

5 years ago

BBCSwahili

Waasi wa ADF wadaiwa kuwaua watu 20 DRC

watu wanaokisiwa kuwa wanachama wa kundi la waasi kutoka Uganda wamefanya mashambulizi nchini DRC na kuwaua watu 20

 

2 years ago

VOASwahili

Jeshi la Congo FARDC yapambana na wapiganaji M23

Wanajeshi wa FARDC wawafurusha wapiganaji wa M23 kutoka mashariki ya nchi

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani