Wabunge Afrika Mashariki watembelea Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSuBa)

 Spika wa Bunge la Jumuiya ya AfrikaMashariki (EALA) Mhe. Margareth Zziwa (Kulia) akikabidhi kitabu cha mpango mkakati wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe Ahmed Chipozi jana wilayani Bagamoyo wakati wa ziara ya Wabunge wa Afrika Mashariki katika taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSuBa). Anayeshuhudia katikati ni Waziriwa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara (MB).

 Spika wa Bunge la Jumuiya ya AfrikaMashariki (EALA) Mhe. Margareth Zziwa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

Tamasha la utamaduni la Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa) laanza kwa kishindo

NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Annastazia Wambura amewataka vijna kutumia fursa ya Tamasha la Kimataifa la 35 la Sanaa na Utmaduni Bagamoyo kuonesha vipaji kwa ajili ya kujiletea maendeleo ya kiuchumi.Akifungua Tamasha hilo juzi ambalo mwaka huu limeshirikisha vikundi 65 vya sanaa na utamaduni kutoka nchini na nje ya nchi, Naibu Waziri huyo alisema sanaa ni ajira yenye uhakika kama wasanii watafanya kazi zao kwa uadilifu.Mhe. Wambura amesema anafahamu changamoto...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA SANAA NA UTAMADUNI BAGAMOYO (TaSUBa) THE 33RD BAGAMOYO INTERNATIONAL FESTIVAL OF ARTS AND CULTURE 22 28 SEPTEMBER, 2014 CALL FOR ARTISTS

Dear Artists,
We would like to invite you (individual artist/groups) to apply for the participation and performance in the 33th Bagamoyo International Festival of Arts and Culture which will take place at the institute (TaSUBa - Bagamoyo) from 22 - 28 September 2014.

The aim of this festival is to support and expose activities of the artists, encourage cooperation and friendship of both local and international artists, promote mutual cultural exchange, share experiences 
and give the...

 

3 years ago

Dewji Blog

Denmark yatoa msaada wa vifaa vya muziki kwa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBA)

KITUO cha Utamaduni na Maendeleo cha Denmark (CKU), kimetoa msaada wa vifaa vya muziki katika Tasisi ya sanaa na utamaduni Bagamoyo (TASUBA) vyenye thamani ya shilingi milioni 80 za kitanzania.

Mbali na kununua vifaa vya muziki,sehemu ya fedha hizo pia zitatumika katika matengenezo na usimamizi wa vifaa hivyo kwa kipindi cha mwaka mmoja wa mradi huo.

Akizungumza jana wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani Msimamizi wa program CKU hapa Nchini,Mandolin Kahindi anasema kuwa ni moja fursa ya...

 

3 years ago

Michuzi

Dkt. Herbert Makoye ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa)


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Mosses Nnauye amemteua Dkt. Herbert F. Makoye (pichani) kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo (TaSUBa). 

Uteuzi huu umefanywa chini ya Kifungu Na. 9 (1) cha Sheria ya Wakala wa Serikali (Executive Agencies Act) iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2009 ambacho kinampa Waziri mamlaka ya kufanya uteuzi huo. Uteuzi huu utaanza tarehe 01/07/2016.
Dkt. Makoye anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Bw. Juma Bakari...

 

4 years ago

Dewji Blog

TaSUBa watambulisha rasmi Tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo

DSC_0016Mwenyekiti wa Kamati kuu wa tamasha  la 34 la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo, Bw. John Mponda (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (Hawapo pichani) katika ukumbi wa MAELEZO mapema leo 8.14.2015. Wengine ni Mwalimu Christa Kombo ambaye ni Mwenyekiti wa Maonyesho (kulia) na kushoto ni Bw. Frank Sika ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Majukwaa na Ufundi wa tamasha hilo ambalo linatarajia kufanyika mwishoni mwa mwezi Septemba  mwaka huu (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog)

TAASISI...

 

2 years ago

Michuzi

Taasisi ya Sanaa na Utamaduni (TaSUBA) pamoja na Short Stature of Kenya zikionyesha maigizo Tamasha la JAMAFEST

 Kikundi cha burudani ya Uchekeshaji kutoka nchini Kenya maarufu kama Short Stature Society of Kenya kikitoa igizo lake la kuchekesha mbele ya washiriki mbalimbali wa Tamasha la Utamaduni na Sanaa Afrika Mashariki (JAMAFEST) toka nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki 12 Septemba, 2017 Mjini Kampala, Uganda.Kikundi cha Sanaa cha Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Tanzania (TaSUBA) kikionyesha igizo lake mbele ya washiriki mbalimbali toka nchi wanachama wa Tamasha la Utamaduni na Sanaa...

 

3 years ago

Dewji Blog

Wabunge wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania watembelea The Guardian

Wabunge wa bunge la Arika Mashariki, (EALA), kutokaTanzania, wameendelea na ziara yao ya kutembelea vyombo vya habari hapa nchini, ikiwa ni mkakati wa Jumuiya hiyo, kushirikisha vyombo vya habari ili kuwafahamishawananchi wa nchi hizo manufaa ya jumuiya hiyo kwao.

Aprili 13, 2016, wabunge hao wakiongiozwa na Mwenyekiti wao Mh. Makongoro Nyerere, wametembelea kampuni ya The Guardian, wachapishaji wa magazeti ya The Guardian, Nipashe na Lete Raha na kupata fursa ya kuelezwa shughuli zifanywazo...

 

2 years ago

Michuzi

WABUNGE WA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI WATEMBELEA IDARA YA UHAMIAJI


Kaimu Kamishna Utawala na Fedha wa Idara ya Uhamiaji, Naibu Kamishna Abbas Irovya, akizungumza wakati wa mkutano na Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki waliotembelea idara ya Uhamiaji kujadili shughuli zinazofanywa na idara hiyo, ikiwa ni ziara yao ya kujifunza mambo mbalimbali yanayohusiana na nchi za Afrika Mashariki ikiwemo suala la pasi za kusafiria katika nchi hizo.Ziara hiyo imefanyika jijini Dar es Salaam.( Picha na Abubakari Akida) Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki,...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani