WABUNGE MTULIA WA KINONDONI NA MOLLEL WA SIHA WAAPISHWA

 Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akimwapisha, Godwin Aloyce Mollel kuwa mbunge wa Siha kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Mheshimiwa Godwin Aloyce Mollel akiapa kuwa mbunge wa Siha kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018.   Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu akimwapisha, Maulid Mtulia kuwa mbunge wa Kinondoni kwa tiketi ya CCM, bungeni mjini Dodoma Aprili 3, 2018.  Mheshimiwa Maulid Mtulia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Malunde

WABUNGE WA CCM,MTULIA NA MOLLEL WAAPISHWA BUNGENI

Naibu Spika, Tulia Ackson, leo amewaapisha wabunge wawili, Dk Godwin Mollel wa Siha na Maulid Mtulia wa Kinondoni, leo Aprili 3,2018.

Wabunge hao wameapishwa baada ya kufanyika kwa uchaguzi mdogo katika majimbo ya Siha na Kinondoni, baada ya wabunge wa maeneo hayo kuhamia CCM.

Mtulia, alikuwa mbunge wa Kinondoni (CUF), kabla ya kuhamia CCM na kugombea tena jimbo hilo kwa kupitia CCM.

Kadhalika Mollel, alikuwa mbunge wa Siha, (Chadema) kabla ya kuhamia CCM na kugombea tena jimbo hilo kwa tiketi...

 

2 years ago

Channelten

Wafugaji Siha watakiwa kuzingatia elimu, Mbunge wa Jiombo la Siha Dk. Godwin Mollel atoa wito

Screen Shot 2017-07-22 at 3.48.39 PM

Mbunge wa jimbo la Siha dokta Godwin Mollel ameitaka jamii ya kimasai kuhakikisha inazingatia elimu kwa kuwa mataifa mengi yaliyofanikiwa duniani ni kutokana na wazazi kuzingatia elimu bora kwa watoto wao.

Dakta Mollel anatoa rai hiyo wakati wa sherehe za mila za rika la IRIKIPONI iliyofanyika katika kijiji cha Lekrumuni SIHA mkoani Kilimanjaro ambapo kundi hilo sasa linafikia rika la utu uzima lakini kwa mujibu wa mila hizo sasa wanaruhusiwa kula nyama na wake zao jambo ambapo kabla ya...

 

1 year ago

Michuzi

WABUNGE CCM WAMIMINIKA KUMUOMBEA KURA MTULIA UBUNGE JIMBO LA KINONDONI

Na Said Mwishehe,Globu ya jamii
CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kupitia viongozi wake wa ngazi mbalimbali wameendelea kunadi sera za maendeleo na kumuombea kura mgombea wao wa ubunge kwenye uchaguzi mdogo wa Jimbo la Kinondoni jijini Dar es Salaam huku baadhi yao wakisema uchaguzi huo ni sawa na usajili wa dirisha dogo.
Hivyo wanatumia usajili huo kwa ajili ya kumpata Mtulia ambaye wanaamini ni mtu sahihi kwa maendeleo ya wananchi wa Kinondoni kwani alikokuwa awali hakuwa nafasi ya kushirikiana na...

 

1 year ago

AllAfrica.Com

Tanzania: Mtulia, Mollel Sworn in As MPs On CCM Ticket


Tanzania: Mtulia, Mollel Sworn in As MPs On CCM Ticket
AllAfrica.com
Dodoma — Two newly-elected Members of Parliament (MPs) were sworn in once again on Tuesday, April 3, 2018 as legislators on the ruling party's ticket. Maulid Mtulia, who was sworn in almost two years ago as an MP for Kinondoni on the ticket of the ...

 

1 year ago

Michuzi

DKT. MOLLEL ASHINDA UBUNGE SIHA MKOANI KILIMANJARO

Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia mgombea wake Dkt Godwin Mollel kimeshinda kiti cha ubunge katika jimbo la Siha baada ya kupata kura 25,611 sawa na asilimia 80 akimshinda mpinzani wake Elvis Mosi (Chadema) aliyepata kura 5,905 sawa na asilimia 18.5.
Akizungumza kabla ya kukabidhi Cheti cha uthibitisho kwa kuchaguliwa kwake,Msimamizi wa Uchaguzi katika jimbo hilo Valerian Juwal amesema mgombea Tumsifueli Mwanry (CUF)  amepata kura 274 sawa na asilimia 0.9 huku mgombea wake chama cha Sauti ya...

 

1 year ago

Malunde

CCM YAIBUKA MSHINDI UCHAGUZI SIHA,,,MOLLEL NDIYE MBUNGE Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeibuka kidedea katika uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo la Siha mkoani Kilimanjaro baada ya Tume ya Uchaguzi (Nec), kumtangaza Dk Godwin Mollel kuwa mshindi wa kiti hicho.Nec imemtangaza rasmi Dk Mollel kuwa mshindi wa uchaguzi huo baada ya kupata kura 25,611 huku akiwaacha mbali wapinzani wake,  Elvis Mosi wa Chadema, Elvis Mosi aliyepata kura 5,905 na mgombea wa CUF, Tumsifueli Mwanri aliyepata kura 274 huku Mdoe Azaria wa Sau akiambulia kura 170.Kwa upande wa...

 

3 years ago

Mwananchi

Ma-DC Kinondoni, Musoma waapishwa

Wakuu wa wilaya za Kinondoni na Musoma wameapishwa leo baada ya kuteuliwa mapema wiki hii na Rais John Magufuli.

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mtulia ambwaga Mwalimu Jimbo la Kinondoni

Mgombea wa CCM Jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia ameibuka mshindi katika uchaguzi mdogo wa ubunge uliofanyika jana Februari 17,2018.

Msimamizi wa uchaguzi ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Manispaa ya  Kinondoni, Aron Kagurumjuli ametangaza matokeo hayo leo Februari 18,2018.

Amesema Mtulia ameshinda kwa kupata kura 30,247 akifuatiwa na Salum Mwalimu wa Chadema aliyepata kura 12,353 na Rajab Salum wa CUF aliyepata kura 1,943.

“Kwa matokeo hayo na kwa mujibu wa mamlaka...

 

4 years ago

Mwananchi

Mtulia wa CUF awaomba radhi wana kinondoni

Mgombea ubunge wa Jimbo la Kinondoni kwa tiketi ya Chama cha Wananchi (CUF) Mtulia Said ameomba radhi kwa wananchi wa jimbo hilo baada ya kuchelewa kuanza kampeni akidai kwamba ni kutokana na pingamizi.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani