Wabunge njaa kali, Spika alalama

WAKATI Serikali ikipongezwa kupunguza madeni ya walimu, imetakiwa pia kulipa madeni ya wabunge ambayo wanadai muda sasa. Kauli ya kuitaka Serikali kuwalipa wabunge ilitolewa jana mjini hapa na Naibu Spika,...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MwanaHALISI

Njaa kali yaja

SABABU ya Rais John Magufuli kusema hatagawa chakula kwa wananchi watakaokumbwa na njaa, ni kutokana na serikali kutokuwa na akiba ya kutosha, anaandika Shaaban Matutu. Rais Magufuli ametoa agizo kwa wananchi kuzalisha chakula cha kutosha lakini David Kafulila, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigoma Kusini amefichua uhaba wa chakula mwishoni mwa wiki katika kongamano lililokuwa ...

 

2 years ago

BBCSwahili

Nigeria yakumbwa na njaa kali

Njaa kali inawakabili watoto waliozingirwa katika vita kitambo kirefu katika ngome ya zamani ya kundi la dola ya kiislamu Kiislam, Boko Haram.

 

2 years ago

Habarileo

Njaa Kali moto kwa Lugalo

TIMU ya soka ya FC Lugalo juzi ilikiona cha moto baada ya kupokea kichapo cha mabao 3-1 katika mchezo wa michuano ya Kombe la Ujirani Mwema uliochezwa kwenye Uwanja wa Maungani.

 

1 year ago

Mwanaspoti

Mchezo wa Washua, ila njaa kali

MIAKA zaidi ya kumi iliyopita kila ulipokatisha kona ya Jiji la Dar es Salaam hasa siku za wikiendi, ilikuwa lazima usikie mchezo wa kikapu ukizungumzwa. Hii ni kwa sababu uliteka akili za watu wengi ukiweka kandom soka na Dar ndio ulikuwa mkoa pekee unaotoa wachezaji wengi katika timu ya taifa ya mchezo huo kutokana na ubora wa ligi yake kwa miaka hiyo.

 

1 year ago

Malunde

KAULI YA SPIKA WABUNGE LA TANZANIA BAADA YA KUPOKEA BARUA YA WABUNGE 8 KUFUKUZWA UANACHAMA CUF

Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema amepokea barua kutoka kwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba ya kuwafukuza uanachama wabunge wanane wa chama hicho.
Katika taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari leo Jumanne, Julai 25, Spika amesema suala la kuwaondoa wanachama ni la utashi wa vyama vyenyewe na kila chama kina utaratibu wake.
“Hivyo bado naendelea kuitafakari barua hiyo na taarifa rasmi kuhusu maamuzi yangu kwa wabunge waliofukuzwa nitaitoa hapo baadaye,” amesema.
Wabunge...

 

2 years ago

BBCSwahili

Sudan Kusini Hali si shwari, njaa kali

Ukubwa wa janga la njaa katika Jimbo la Unity nchini Sudan Kusini hali hii imebainishwa na kitenga cha umoja wa mataifa cha usambazaji misaada pamoja na familia ambao wameweza kufikiwa

 

1 year ago

RFI

UN yasema Sudan Kusini sasa haikabiliani na njaa kali

Umoja wa Mataifa unasema taifa la Sudan Kusini sasa halikabiliani tena na baa kubwa la njaa.

 

3 years ago

Mwananchi

Mkionyesha njaa mtajishushia heshima - Spika

Dodoma. Wakati Muswaada wa Sheria ya Fedha wa mwaka 2015 ukipitishwa jana bungeni, Spika, Anne Makinda ameitaka Serikali na wabunge kuwa na nidhamu kwenye matumizi ya fedha za umma, kwani itawajengea heshima.

 

2 years ago

CCM Blog

SPIKA WA BUNGE JOB NDUGAI "AFUNGUKA" KUHUSU MVUTANO WA WABUNGE WA UPINZANI NA NAIBU SPIKA

Spika wa Bunge Jog NdugaiSPIKA wa Bunge, Job Ndugai asema bunge la Septemba atawaomba wabunge kujadiliana ili kuona wapi wanakosea ili “songombingo” iliyotokea bungeni iweze kumalizika.
Alisema anasikitishwa na bunge la sasa ambalo si moja limekuwa vipande vipande na kuelezea hali hiyo si dalili nzuri.
Spika Ndugai aliyasema hayo kwenye kipindi cha asubuhi cha Funguka, kinachopeperushwa na runinga ya Azam TV na kuongozwa na mtangaazaji Tido Mhando asubuhi Agosti 14, 2016.
Spika Ndugai ambaye...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani