Wabunge wadai urasimu unawakimbiza wawekezaji Tanzania

Wabunge nchini Tanzania wamesisitiza kuwekwa utaratibu usio na urasimu kwa wawekezaji kutokana na utaratibu wa sasa kuwa na vikwazo vingi vinavyokimbiza wawekezaji.

VOASwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 months ago

RFI

Tanzania: Serikali ya sasa haina urasimu kwa wawekezaji

Serikali ya Tanzania kupitia vizara ya viwandam biashara na uwekezaji, imewatoa hofu wawekezaji wa kigeni ambapo imewataka waende kuwekeza kwa uwingi nchini humo kwa kuwa mazingira ya sasa yanaruhusu.

 

3 years ago

Habarileo

Urasimu wakwamisha wakimbiza wawekezaji

Godfrey SimbeyeMKURUGENZI Mtendaji wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini (TPSF), Godfrey Simbeye amesema kuwa urasimu mkubwa uliopo katika kusimamia masuala ya uwekekezaji umechangia kuwakimbiza wawekezaji.

 

2 years ago

Mtanzania

Maurice: Urasimu ni kikwazo kwa wawekezaji wazawa

0D6A8334NA FARAJA MASINDE, DAR ES SALAAM

TANZANIA ni nchi iliyobarikiwa kuwa na maeneo mazuri ambayo ni rafiki kwa kufanya kila aina ya uwekezaji, kwa kuliona hilo wadau mbalimbali hususan wapenda maendeleo wamekuwa mstari wa mbele kutaka kutumia fursa hiyo kwa kuifanya iwe sehemu yenye ustawi mzuri na mazingira safi ya kuishi.

Lakini hayo yote yamekuwa si kitu rahisi kwa wawekezaji wazalendo kupata nafasi ya kufanya maendeleo ikilinganishwa na ile nafasi wanayoipata wawekezaje kutoka nje ya...

 

1 year ago

Mtanzania

WABUNGE WADAI NJAA INAWANYEMELEA

kiswaga

Na JUDITH NYANGE – MWANZA

MBUNGE wa Magu, Boniventura Kiswaga, amesema Mkoa wa Mwanza unanyemelewa na njaa kali kutokana na upungufu wa chakula uliopo nchini  uliosababishwa na ukame na kuchangia  kupanda kwa bei za vyakula.

Akizungumza juzi wakati wa kikao cha Kamati ya Ushauri ya Mkoa (RCC), Kiswaga, alisema baadhi ya gharama za vyakula mkoani Mwanza ikiwemo mahindi zimeanza kupanda kwa kasi na sasa gunia moja la mahindi linauzwa kati ya Sh 95,000 hadi 100,000.

“Kupanda kwa bei ya vyakula...

 

9 months ago

MwanaHALISI

Wabunge wadai bima ya maisha

WABUNGE wameshangazwa kitendo cha ofisi ya bunge kupitia Jumuiya ya Madola (CPA) kushindwa kuwakatia bima ya maisha wabunge ambao wanamaliza muda wao kama umoha huo unavyotaka, anaandika Dany Tibason. Mbunge wa Mwibala, Kangi Lugola (CCM) ndiye aliyekuwa wa kwanza kuibua mjadala huo bungeni wakati walipokuwa wakichangia muda mfupi baada ya wawasilisha mada kutoka CPA. Naye ...

 

2 years ago

Mwananchi

Wabunge CCM wadai Dk Mpango amewatega

Wabunge wa CCM wamezidi kulia na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mipango wakidai kitendo cha kutaka kukata kodi za kiinua mgongo cha wabunge ni mtego wa kuwachonganisha na wananchi.

 

3 years ago

Mwananchi

Hapatoshi:Wabunge wa upinzani wadai ripoti imechakachuliwa

Hali ni tete. Ndiyo neno ambalo unaweza kulizungumza kuhusu kashfa ya Akaunti ya Tegeta Escrow.

 

10 months ago

VOASwahili

Wamiliki wa malori Tanzania wakerwa na urasimu

Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Malori (Tatoa), Angelina Ngalula amelalamikia juu urasimu uliopo bandari ya Dar es Salaam ambao unafanya mzigo kukaa bandarini siku kumi hadi 13 huku nchi nyingine wakitumia siku tatu hadi nne.

 

7 months ago

Malunde

KAULI YA SPIKA WABUNGE LA TANZANIA BAADA YA KUPOKEA BARUA YA WABUNGE 8 KUFUKUZWA UANACHAMA CUF

Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema amepokea barua kutoka kwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba ya kuwafukuza uanachama wabunge wanane wa chama hicho.
Katika taarifa yake aliyoitoa kwa vyombo vya habari leo Jumanne, Julai 25, Spika amesema suala la kuwaondoa wanachama ni la utashi wa vyama vyenyewe na kila chama kina utaratibu wake.
“Hivyo bado naendelea kuitafakari barua hiyo na taarifa rasmi kuhusu maamuzi yangu kwa wabunge waliofukuzwa nitaitoa hapo baadaye,” amesema.
Wabunge...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani