Wabunge watwangana makonde ukumbini

Wabunge nchini Uganda wamepigana ndani ya ukumbi wa bunge

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Tanzania Daima

Waumini watwangana makonde msikitini

WAUMINI wa Kiislamu wanaoswali katika Msikiti wa Mji wa  Zamani uliopo Mtaa wa Mji Mwema, wilayani Mpanda, wamepigana  makonde ndani ya msikiti  katika suala la kuamua nani  awe imamu wa...

 

5 years ago

GPL

Simba, Mbeya City watwangana makonde

Na Richard Bukos, Mbeya
MABAUNSA wa Mbeya City na wa Simba, juzi Jumamosi walizichapa kavukavu kwenye mlango wa kubadilishia nguo wachezaji, baada ya Mbeya City kuwatuhumu Simba kufanya ushirikina kwa kumwaga dawa kwenye mlango wa kuingilia vyumbani. Katika sakata hilo lililotokea kwenye Uwanja wa Sokoine jijini hapa katika mtanange wa Ligi Kuu Bara ulioisha kwa sare ya 1-1, mama mmoja mtu mzima… ...

 

4 years ago

Michuzi

WAPIGA PICHA ZA PASSPORT MJINI MOSHI WATWANGANA MAKONDE

Wapiga picha katika eneo la Kilima cha Mawenzi wakioneshana uwezo wa kupigana masumbwi hata hivyo chanzo cha ugomvi huo hakikuweza kufahamika mara moja.
Video na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.

 

5 years ago

Mwananchi

Chadema ngoma nzito,wafuasi watwangana makonde mahakamani

>Vurugu za aina yake zimezuka katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam, baada ya watu wanaodhaniwa kuwa wanachama wa Chadema  kumzomea aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho,  Zitto Kabwe.

 

4 years ago

Dewji Blog

Exclusive: Wafanyabiashara ndogo ndogo Posta mpya watwangana makonde live

DSC_1999Baadhi ya wafanyabiashara hao wadogowadogo wakiwa katika ugomvi huo ambao ulidumu zaidi ya dakika 10, huku kila mmoja akimshambulia mwenzake kwa kile kilichosemekana kugombea eneo la kupanga bidhaa zao hizo. (Picha zote na Andrew Chale wa modewjiblog).

Na Andrew Chale, modewjiblog

(Ilala-Dar es Salaam) Wafanyabiashara wadogowadogo maarufu Machinga  asubuhi ya leo wameweza  kusimamisha baadhi ya shughuli  eneo la kituo cha mabasi cha Posta mpya baada ya  kutokea ugomvi baina ya wao kwa wao...

 

1 year ago

BBCSwahili

Wabunge wapigana makonde Uganda

Wabunge nchini Uganda wamepigana ndani ya ukumbi wa bunge wakiwa katika siku ya pili ya kikao cha kujadili wa muswada wa kuondoa ukomo wa miaka ya kugombea nafasi ya urais

 

3 years ago

BBCSwahili

Wabunge warushiana makonde Afrika Kusini

Wabunge nchini Afrika Kusini wamerushiana makonde bungeni baada ya spika kuamuru maafisa wa usalama kuwaondoa kwa lazima wabunge wa upinzani ambao walimbeza rais Jacob Zuma

 

2 years ago

Bongo5

Wabunge wa Kenya wadaiwa kuchapana makonde Bungeni

Wabunge wa upinzani nchini Kenya wametoka bungeni kwa hasira katika mji mkuu wa Nairobi, wakisema kuwa baadhi yao walinyanyaswa bungeni mapema asubuhi.

Kikao hicho maalum ambacho vyombo vya habari havikuruhusiwa kuingia kilitarajiwa kupigia kura marekebisho ya sheria ya uchaguzi ambayo inaruhusu kuhesabiwa kwa kura moja baada ya nyengine katika uchaguzi wa urais mwaka ujao.

Serikali inataka mfumo ambao utasaidia shughuli ya kuhesabu kura iwapo mfumo wa kielektroniki utafeli lakini upinzani...

 

3 years ago

CCM Blog

JUKWAA LA HURU LA WAZALENDO TANZANIA LATOA TAMKO KUHUSU MWENENDO WA BUNGE, LASIKITIKA WABUNGE WA BAADHI YA VYAMA VYA UPINZANI KUTOKA UKUMBINI, LAAFIKI VIKAO KUTOONYSHWA LIVE, LAIOMBA SERIKALI PIA KUTOONYESHA SHUGHULI ZAKE LIVE ZAIDI YA ZILE ZINAZOHUSIANA

Katibu wa Jukwaa Huru la Wazalendo Tanzania, Mtela Mwampamba akizungumza na waandishi wa habari leo, Ubungo mjini Dar es Salaam, kuhusu mwenendo wa Bunge la Bajeti na hatua ya Wabunge wa baadhi ya Vyama Vya upinzani kutoka nje ya ukumbi na kutotoa bajeti mbadala ya Kambi ya Upinzani. Kulia ni Mwanachama wa Jukwaa hilo, Simon Simalenga (Picha na Bashir Nkoromo). TAARIFA KAMILI NI IFUATAYO KAMA ILIVYOTOLEWA NA MWAMPAMBAJUKWAA HURU LA WAZALENDO TANZANIA (JUHWATA)

TAMKO JUU YA MWENENDO WA...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani