Wacha maneno weka Simba kaua Yanga

KAMA ingekuwa ni muziki wa msanii wa kizazi kipya Darasa ungesema wacha maneno weka muziki lakini kwa vile ni mpira, unaweza sema wacha maneno weka Simba kaua Yanga.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Bongo5

Dear Harmorapa, Acha Maneno Weka Muziki!

Harmorapa kwa sasa siyo jina geni tena katika masikio ya mashabiki wa muziki na burudani Tanzania, japo kutokueleweka kasi ya kupenya katika kipindi kifupi.

Rapper huyo kwa sasa amekuwa machachari huku akiteka vichwa vya habari kila kukicha, huku akiendelea kujitengenezea fan base.

Napenda kuzungumzia jinsi harmorapa huenda akapotea, endapo ataendelea kufanya hiki anchokifanya sasa hivi, ingawa ni dhahiri ana watu wenye nguvu ya fedha nyuma yake na upeo mkubwa wa tasnia ya muziki akiwemo...

 

2 years ago

MillardAyo

Maneno ya Vodacom kuelekea mchezo wa Yanga na Simba October 1 2016

001-ligi

Akiongea na Ayo TV kwa niaba ya Vodacom Tanzania ambao ndio wadhamni wakuu wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara, Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa kampuni hiyo,Nandi Mwiyombella, amesema wakiwa kama wadhamini wakuu wa ligi ya Vodacom Tanzania bara. Vodacom wanazitakia kila la kheri timu za Yanga na Simba katika mzunguko wa kwanza […]

The post Maneno ya Vodacom kuelekea mchezo wa Yanga na Simba October 1 2016 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Dewji Blog

Manara ang`ata maneno kwa mashabiki wa Simba kuishangilia Yanga

Baada ya jana Jumatano Afisa Habari wa Yanga, Jerry Muro kuwaomba wapinzani wao Simba kuwashangilia katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly, wapinzani wao Simba wamezungumzia ombi hilo.

Akizungumza na E Fm katika kipindi cha E Sports, Simba kupitia kwa msemaji wake, Haji Manara wamesema wao hawawezi kuwaambia mashabiki wao kuwashangalia Yanga au kuacha kuwashangilia.

Manara amesema mashabiki wa Simba wataenda uwanjani kuangalia mpira kama mashabiki wengine na maamuzi ya...

 

2 years ago

Habarileo

Simba weka mbali na watoto

SIMBA jana iliendelea kuwapa raha mashabiki wake baada ya kuifunga Toto Africans mabao 3-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

 

2 years ago

Dewji Blog

Simba yaifumua Mbeya City, Ajibu, Kichuya weka mbali na watoto

Mchezo wa VPL kati ya Mbeya City iliyokuwa mwenyeji wa Simba umemalizika kwa Simba kuendeleza rekodi ya kutokupoteza mchezo wowote kwa msimu wa 2016/2017 na kuibuka na ushindi wa goli 2-0.

Magoli ya Simba yamefungwa na Ibrahim Ajibu katika dakika ya sita ya mchezo huo kwa kupiga mpira wa faulo uliotinga moja kwa moja nyavuni na goli la pili likifungwa na Shiza Kichuya baada ya kuwapita wachezaji Mbeya City na kupiga mpira ambao uliingia moja kwa moja golini.

Kwa matokeo hayo Simba inaendelea...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Simba Pungufu yaikatalia Yanga Taifa: Ubaoni Yanga 1-1 Simba

Imewachukua Simba dakika 61 kuwarejesha mashabiki wake mchezoni kufuatia kukata tamaa baada ya Amis Tambwe kuwafungia goli Yanga dakika ya 26 goli ambalo Amis Tambwe alicheza mpira kwa mkono na baadae kufunga hali iliyoibua hasira za mashabiki wa Simba.

Shiza Ramadhan Kichuya akitambua kuwa wapo pungufu kufuatia kadi nyekundu ya nahodha Jonas Mkude na jahazi kuongozwa na Mwinyi Kazimoto alikimbilia kupiga kona iliyokwenda mojakwamoja nyavuni na kubadili matokeo, kitaaluma Kichuya alipiga In...

 

4 years ago

Bongo Movies

Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.

Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.

Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.

Unahisi nani ataibuka kidedea...

 

3 years ago

Vijimambo

2 years ago

MillardAyo

Mume kaua mke alafu kajipeleka mwenyewe Polisi Dar.. (Hekaheka +Audio)

Hekaheka ya Geah Habib leo kakutana nayo maeneo ya Kivule, inahusu ugomvi wa mume na mke uliosababisha kifo cha mwanamke. Majirani walishuhudia ugomvi lakini hawakujua sababu ya ugomvi kwa sababu mume na mke walikuwa wanapigana huku wakijibizana kilugha. Stori ambayo imewafikia majirani hao wanasema huenda ugomvi ulisababishwa na kugombea mali, mume alioa mwanamke mwingine baada […]

The post Mume kaua mke alafu kajipeleka mwenyewe Polisi Dar.. (Hekaheka +Audio) appeared first on...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani