Wachamungu Mbao waliwa na Simba kwa goli la usiku: Ubaoni Simba 1-0 Mbao

Timu ya Mbao ilijizatiti vilivyo, ilionyesha kiwango bora na kuwafanya Simba wasubiri dakika za usiku kuweza kujihakikishia pointi tatu.

Muzamiru Yassin dakika 88 aliifungia Simba goli pekee katika mchezo huo na kuifanya Simba itoke viwanja vya uhuru ikiwa kifua mbele na pointi tatu pamoja na kuendeleza rekodi ya kutokufungwa tokea ligi imeanza.

Kwa Matokeo hayo wekundu wa Msimbazi wameendelea kung’ang’ania kileleni wakiwa na pointi zao 24 wakati timu ya Mbao Fc imeshuka hadi nafasi ya 11 ya...

Zanzibar 24

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

MillardAyo

VIDEO: Goli la mechi ya Simba vs Mbao FC October 20, Full Time 1-0

img_4517

October 20 2016 kwa wekundu wa Msimbazi Simba waliwaalika Mbao FC ya Mwanza kucheza mchezo wao wa 10 Ligi Kuu Tanzania bara uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, katika mchezo huo Simba imefanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 lililofungwa na Mzamiru Yassin dakika ya 86. Video kwa hisani ya Azam TV ALL GOALS: Yanga […]

The post VIDEO: Goli la mechi ya Simba vs Mbao FC October 20, Full Time 1-0 appeared first on millardayo.com.

 

2 years ago

Mwananchi

Mbao: Simba ijiandae kwa kimbunga

Mbao FC wamesema baada ya Simba kukumbwa na dhoruba ya Kagera Sugar sasa wajiandae kukabiliana na kimbunga cha Mwanza.

 

2 years ago

Mwanaspoti

Mbao yaikamia Simba

Kocha Mkuu wa Mbao FC, Ettiene Ndayiragije amesema wanahitaji kulipa kisasi dhidi ya Simba kwa kuhakikisha wanashinda nyumbani.

 

2 years ago

Mwananchi

Simba yaipania Mbao

Simba Sc ikiwa na kumbukumbu ya kipigo ilichopata kutoka kwa Kagera Sugar leo watakuwa wageni wa Mbao FC  kwenye Uwanja wa CCM Kirumba,  Mwanza.

 

2 years ago

Habarileo

Simba hata Mbao wanakulaga

SIMBA jana ilizidi kujiimarisha kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu baada ya kuifunga Mbao FC bao 1-0 katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam.

 

2 years ago

Mwananchi

Simba SC kamili kuikabili Mbao FC

Simba imesema kikosi chao kipo kamili kuivaa Mbao FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu utakaopigwa kesho kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini hapa.

 

2 years ago

Mwananchi

Mbao yashikilia rufaa ya Simba

Rufaa ya Simba dhidi ya Kagera Sugar inaweza kuwa na kuongezeka au kupoteza thamani yake kutokana na matokeo yatakayopatikana leo dhidi ya Mbao FC kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

 

2 years ago

Mwananchi

Mbao yaitia presha Simba

Mwanza. Simba italazimika kukaza msuli ili kupata nafasi ya kushiriki mashindano ya kimataifa mwakani baada ya Mbao FC kuitoa Yanga kwa kuifunga bao 1-0 katika mchezo mkali wa nusu fainali uliofanyika kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.

 

2 years ago

Mwananchi

Simba, Mbao FC malengo tofauti

Safari ya kimataifa imeanza kwa Simba kujificha Morogoro ili kuiwinda Mbao FC, siku nne kabla ya timu hizo kukutana kwenye mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) kwenye Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani