Wachimbaji wawili wafia ndani ya mgodi

Iringa. Wachimbaji wawili wa madini katika kijiji cha Masuluti mkoani hapa, Haus Kaijage (32) mkazi wa Bukoba na James Mlawa(22) mkazi wa Magulilwa, Iringa wamefariki dunia baada ya kukosa hewa ndani ya mgodi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Habarileo

Wachimbaji watano wafia ndani ya mgodi uliofungwa

WATU watano wamekufa na wengine sita kujeruhiwa vibaya baada ya kuangukiwa na mwamba wa mawe katika shimo la mgodi mkubwa wa zamani wa Resolute wilayani hapa.

 

1 year ago

Channelten

Wachimbaji wawili wadogo wa madini Iringa wamefariki dunia baada ya kukosa hewa ndani ya mgodi

DSC_0434

WACHIMBAJI wawili  wadogo wa madini katika kijiji cha Masuluti kata ya Magulilwa tarafa ya Mlowa wilaya ya Iringa mkoani Iringa wamefariki dunia baada ya kukosa hewa ndani ya mgodi.

Kwa muji wa taarifa kutoka eneo la tukio Afisa Mtendaji  wa kijiji cha Masulutu BwVenjaslaus Kiunosile amesema kuwa tukio hilo  limetokea leo Majira ya saa  5 asubuhi na alipata kujua juu ya tukio hilo baya baada ya kwenda kuwajulia hali wachimbaji hao kama ilivyokawaida yao ya kila siku.

Kamanda wa polisi wa...

 

3 years ago

Habarileo

Wachimbaji wadogo 19 wafia mgodini

Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Benson MpesyaWACHIMBAJI wadogo wa dhahabu mkoani Shinyanga, maarufu ‘manyani’, wamekufa katika machimbo madogo ya Kalole wilayani Kahama, baada ya kufukiwa na kifusi usiku wa kuamkia jana.

 

2 years ago

Mwananchi

Watoto wawili wafia kwenye shimo la maji

Watoto wawili wakazi wa Kange Kasera mkoani hapa wamefariki baada ya kutumbukia kwenye shimo la maji lililopo nje ya nyumba ya jirani yao.

 

2 years ago

Mtanzania

Watatu wafia ndani ya shimo Wilayani Chunya

chini-ya-ardhiNa Eliud Ngondo, Mbeya

WATU watatu wamefariki dunia baada ya kukosa hewa ndani ya shimo lenye urefu wa zaidi ya mita 30 walipokuwa wakichota maji ya kusafishia dhahabu katika Kijiji cha Itumba wilayani Chunya, mkoani Mbeya.

Akithibitisha kutokea tukio hilo jana, Mkuu wa Wilaya ya Chunya, Rehema Madusa, alisema watu hao walikuwa wakichota maji  ndani ya shimo ambalo awali lilikuwa likifanyika shughuli za uchimbaji wa madini ya dhahabu.

Aliwataja waliofariki ni Zawadi Soda (28), Wilson Soda...

 

11 months ago

Mwananchi

Watoto wanne wafia ndani ya gari Zanzibar

Simanzi na maswali yameibuka baada ya watoto wanne kukutwa wakiwa wamekufa ndani ya gari lililokuwa limeegeshwa eneo la Jang’ombe, Mkoa wa Mjini Unguja.

 

1 year ago

BBCSwahili

Wachimbaji mgodi 15 waokolewa Tanzania

Wachimba mgodi wote 15 wameokolewa baada ya mgodi kuporomoka katika eneo la Nyarugusu wilayani Geita kaskazini mashariki mwa Tanzania.

 

4 years ago

Tanzania Daima

Wachimbaji wadogo waomba eneo la mgodi

WACHIMBAJI wadogo wa dhahabu katika machimbo madogo ya Mwanshina katika Kijiji cha Nhobola wilayani Nzega mkoani Tabora, wameiomba serikali kuwapatia kibali cha kuchimba dhahabu pembezoni mwa mgodi mkubwa wa Resolute...

 

4 years ago

BBCSwahili

Wachimbaji sita wa mgodi watoka shimoni

Wachimbaji sita waliokuwa wamenasa shimboni nchini Afrika kusini watoka shimoni na kukwepa kukamatwa

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani