WADAU WA MARADHI YASIYOAMBUKIZA ZANZIBAR WAJADILI HUDUMA BORA ZA MARADHI HAYO

Na Ramadhani Ali – Maelezo ZanzibarHali ya kiuchumi inayowakabili wagonjwa wengi wa maradhi yasiyoambukiza Zanzibar imetajwa kuwa ni changamoto kubwa katika kupata chakula sahihi cha kupunguza makali ya maradhi hayo.
Akitoa matokeo ya utafiti uliofanywa na Kitengo cha maradhi yasiyoambukiza katika mkutano wa wadau wa maradhi hayo, Mratibu wa Kitengo hicho Omar Mwalimu alisema wagonjwa wa maradhi hayo wanatakiwa kula zaidi matunda na mboga mboga na kupunguza kutumia mafuta na vyakula vya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Zanzibar 24

Madaktari bingwa wa maradhi ya moyo kutoka Israel wapo Zanzibar kuwafanyia vipimo watoto wanaosumbuliwa na maradhi hayo

Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na madaktari wa maradhi ya moyo kutoka Israel ambao wapo nchini kuwafunyia uchunguzi watoto wenye m.aradhi hayo ambao baadhi watapelekwa Israel kufanyiwa upasuaji.

 

Dkt. Yifat Brosh kutoka Shirika la Save a Child Heart la Israel akimfanyia vipimo mmoja ya watoto wanaosumbuliwa na maradhi ya moyo katika Hospitali Kuu ya Mnazimmoja.

 

Waziri wa Afya Mahmoud Thabi Kombo akipata maelezo kutoka kwa Dkt. Alona Roucher kuhusu matatizo ya moyo...

 

3 years ago

Zanzibar 24

Kitengo cha maradhi yasiyoambukiza Zanzibar chaandaa mdahalo wa wanafunzi kuhusu maradhi ya kisukari kuadhimisha siu ya ugonjwa huo

20Jaji Mkuu wa mdahalo wa maadhimisho ya siku ya kisukari Duniani uliowashirikisha wanafunzi kutoka Wilaya nane za Unguja Dkt. Faiza Kassim Suleiman akiwa na wasaidizi wake akitoa matokeo ya washindi wa mdahalo huo.19Viongozi wa meza kuu wakifuatilia mdahalo wa maadhimisho ya siku ya kisukari Duniani uliofanyika katika Ukumbi wa Jengo la Utamaduni Rahaleo Mjini Zanzibar.17Mmoja wa washiriki wa mdahalo wa maadhimisho ya siku ya kisukari Duniani kutoka Wilaya ya Mjini akitoa mchango wake kuunga...

 

2 years ago

Michuzi

MADAKTARI BINGWA WA MARADHI YA MOYO KUTOKA SHIRIKA LA SAVE A CHILD HEART KUTOKA ISRAEL WAPO ZANZIBAR KUWAFANYIA VIPIMO WATOTO WANAOSUMBULIWA NA MARADHI HAYO

Waziri wa Afya Mahmoud Thabi Kombo akipata maelezo kutoka kwa Dkt. Alona Roucher kuhusu matatizo ya moyo yanayomkabili Muslim Muhd Ali kutoka mtaa wa Jangombe ambae ni mmoja kati ya watoto watakaopelekwa Israel kwa matibabu.Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akizungumza na madaktari wa maradhi ya moyo kutoka Israel ambao wapo nchini kuwafunyia uchunguzi watoto wenye m.aradhi hayo ambao baadhi watapelekwa Israel kufanyiwa upasuaji.Dkt. Yifat Brosh kutoka Shirika la Save a Child Heart la...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Ongezeko la maradhi yasiyoambukiza limefikia 33% Zanzibar – ZNCDA

Jamii imetakiwa kujenga mazoea  ya kufika katika vituo vya afya mara kwa mara  kwa kupima  afya zao  pia   kujiunga na vikundi vya kufanyia mazoezi  ili kujiepusha na maradhi yasiyoweza kuambukiza.

Akizungumza na vikundi vya mazoezi pamoja na wananchi wa jimbo la Mpendae Mwakilishi wa jimbo hilo Saidi  Mohammed Dimwa wakati alipokuwa katika maadhimisho ya siku maradhi ya moyo duniani.

Alisema  hivi sasa takribani duniani kuna wimbi kubwa la maradhi yasiyoambukiza ikiwemo shindikizo la damu,...

 

5 years ago

Michuzi

ZANZIBAR YAANZA MATAYARISHO YA UZINDUZI WA JUMUIYA YA MARADHI YASIYOAMBUKIZA

 Mratibu wa Jumuiya ya Maradhi Yasiyoambukiza Zanzibar (Z-NCDA) Omar Abdallah Ali akitoa muhtasari wa majukumu ya Jumuiya yao kwa Wandishi wa habari hawapo pichani katika Ofisi yao Mpendae Mjini Zanzibar.  Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maradhi Yasiyoambukiza Zanzibar (Z-NCDA) Ali Mansour Vuai akielezea matayarisho ya Uzinduzi wa Jumuiya yao utakaofanyika Machi 1 katika Viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar  Baadhi ya Waandishi wa habari wakimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maradhi...

 

3 years ago

Dewji Blog

Zanzibar yaadhimisha siku ya afya Duniani kwa kutoa elimu ya maradhi yasiyoambukiza

Wizara ya Afya Zanzibar imeadhimisha siku ya afya Duniani kwa kutoa elimu ya maradhi yasiyoambukiza katika skulini mbali mbali visiwani humo.

02Baadhi ya wanafunzi wa Skuli ya Mwanakwerekwe C wakimskiliza kwa makini mtoa elimu ya maradhi yasiyo ambukiza Bi. Mwanaharusi Shaaban (hayupo pichani) wakati wa sherehe za siku ya Afya Duniani zinazoadhimishwa kila ikifika tarehe 7 kila mwaka.

03Mwanafunzi Shadia Issa Juma akiuliza swali kwa Muuguzi kitengo cha wagonjwa wa kisukari Bi. Mwanaharusi...

 

1 year ago

Zanzibar 24

Mkurugenzi kinga na elimu ya afya Zanzibar asisitiza elimu zaidi katika mapambano dhidi ya maradhi yasiyoambukiza

Licha ya mikakati inayoendelea kuchukuliwa na Serikali na Taaisi za kiraia kuelimisha jamii madhara yanayosababushwa  na maradhi yasiyoambukiza, juhudi zaidi inahitajika katika kutoa elimu ya maradhi hayo.

Mkurugenzi Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Fadhil Abdalla alisema kuwa kuna haja kubwa elimu ya maradhi yasiyoambukiza ikaanzia kwa wanafunzi maskulini na katika vikundi na mikutano ya kijamii.

Dkt. Fadhil alitoa ushauri huo Ofisi ya Malaria Mwanakwerekwe katika mkutano wa wadau wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani