Wadau wakubali mabadiliko, wasisitiza taratibu zifuatwe

WADAU wa michezo na wataalamu wa uchumi na biashara nchini wanaunga mkono mabadiliko katika klabu za soka ilimradi yafuate utaratibu na kuzingatia kanuni za utawala bora.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Mwananchi

Premji: Kanuni, taratibu zifuatwe ‘utumbuaji majibu’

Tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani chini ya Rais John Magufuli, imetawala vichwa vya habari vya kitaifa na kimataifa kuhusiana na namna inavyopambana na rushwa na ufisadi serikalini.

 

1 year ago

Channelten

Kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi, Waziri Mkuu Majaliwa apiga marufuku, ataka taratibu zifuatwe

WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepiga marufuku tabia ya baadhi ya viongozi katika maeneo mbalimbali nchini kuwakamata na kuwaweka ndani watumishi wakiwemo wauguzi bila ya kufuata taratibu.

Aidha amewataka wauguzi nchini kufanya kazi kwa weledi, uaminifu pamoja na kufuata maadili ya taaluma yao kwa kuwa maisha ya wagonjwa yako chini yao.

Waziri Mkuu ametoa agizo hilo wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 45 wa Chama cha Wauguzi Tanzania, mkoani Lindi.

Katika hatua nyingine Waziri Mkuu...

 

2 years ago

MwanaHALISI

Wadau wasisitiza kutunza amani Kenya

WITO wa amani umeendelea kutolewa kwa wananchi nchini Kenya kuelekea uchaguzi mkuu, ili kuepusha machafuko yaliyozuka katika uchaguzi wa mwaka 2007, anaandika Catherine Kayombo. Miongoni mwa waliotoa wito huo ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi na Mipaka nchini Kenya, Wafula Chebukati kufuatia kifo cha aliyekuwa kaimu mkurugenzi wa masuala ya teknolijia katika tume hiyo, Christopher ...

 

3 months ago

Michuzi

WANACHAMA WA YANGA KWA KAULI MOJA WAKUBALI MABADILIKO

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
Wanachama wa Yanga kwa kauli moja wamfikia hatua ya makubaliano kwenda katika mfumo wa mabadiliko ambao utaruhusu timu hiyo kuwa Kampuni.Yanga iliyofanya mkutano wake jana  Jijini Dar Es Salaam, ulianza kwa hotuba ya Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt Harrison Mwakyembe na kuwaasa wanachama wa Yanga wafanye maamuzi sahihi ili kuweza kuiweka timu yao katika dira nzuri.Dkt Mwakyembe amesema kuwa Yanga ni alama ya ukumbusho barani Afrika kama...

 

5 years ago

Michuzi

UMOJA WA MATAIFA WASISITIZA UMUHIMU WA KUWA NA UTAMADUNI MZURI WA KUENZI WANAWAKE WANAOLETA MABADILIKO KWENYE JAMII

DSC_0017 Pichani ni  Mwandishi wa habari na mpiga picha kutoka Ufaransa, Pierre-Yves Ginet akizungumza na wanafunzi wa shule za sekondari mbalimbali za jijini Dar es Salaam na kuwaonyesha picha na kuwapa ufafanuzi wa mambo mbalimbali ambayo wakinamama wamekuwa wakifanya kwa mustakabali kwa kuleta usawa na haki za wanawake duniani.

Shirika la Ufaransa la Alliance Francaise de Dar es Salaam liliandaa safari ya maonyesho iliyopewa jina “women in Resistance by the talented French photo-journalist...

 

5 years ago

GPL

UMOJA WA MATAIFA WASISITIZA UMUHIMU WA KUWA NA UTAMADUNI MZURI WA KUENZI WANAWAKE WANAOLETA MABADILIKO KWENYE JAMII‏

Picha juu na chini ni Mwandishi wa habari na mpiga picha kutoka Ufaransa, Pierre-Yves Ginet akizungumza na wanafunzi wa shule za sekondari mbalimbali za jijini Dar es Salaam na kuwaonyesha picha na kuwapa ufafanuzi wa mambo mbalimbali ambayo wakinamama wamekuwa wakifanya kwa mustakabali kwa kuleta usawa na haki za wanawake duniani.…

 

2 years ago

Mwananchi

Wasomi, wadau wakubali Lugha ya Kiswahili itumike nyanja zote nchini

Wanazuoni na wadau wa Kiswahili hivi karibuni walikutana na kufanya mdahalo wa kihistoria kuhusu matumizi ya Kiswahili nchini katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). Kwa pamoja, walitazama kama ni wakati muafaka kwa Kiswahili kutumika katika nyanja mbalimbali nchini.

 

3 years ago

Michuzi

TPBC yawataka wadau wa mchezo wa ngumi kufuata sheria na taratibu.


Na Daudi Manongi,MAELEZO

KAMISHENI ya mchezo wa ngumi za kulipwa Tanzania (TPBC) imevitaka vikundi na asasi zinazojishughulisha na usimamizi na utaribu wa mchezo wa ngumi za kulipwa nchini kuacha mara moja kwani ni kinyume na sheria,kanuni na taratibu za mchezo huo.

Hayo yamesemwa leo na Rais wa Kamisheni ya ngumi za kulipwa Tanzania (TPBC) Bw.Chaurembo Palasa wakati alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam.

“Kumekuwa na vyama, asasi na vikundi ambavyo...

 

2 years ago

Michuzi

NBS YAWATAKA WADAU WA TAKWIMU KUFUATA SHERIA NA TARATIBU ZA UTOAJI TAKWIMU


Na Bushiri Matenda Na Agness Moshi - MAELEZO
Ofisi ya Taifa ya Takwimu Tanzania (NBS) imetoa rai kwa wadau wa Takwimu Nchini kufuata kanuni na taratibu za utoaji takwimu ili kuepusha sintofahamu baina yao, wapokeaji taarifa na Taasisi husika .
Rai hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa NBS Dkt. Albina Chuwa wakati akiongea na Waandishi wa Habari Jijini Dar es Salaam leo kufuatia taarifa zisizo sahihi zilizotolewa na Kampuni ya Utafiti ya Geopoll yenye ofisi ya Kanda ya Afrika, mjini...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani