Wadau wamsifu JPM ajira za madaktari, wamtaka aongeze

Uamuzi wa Rais John Magufuli kuagiza Wizara ya Afya iajiri madaktari 258 umeungwa mkono na wadau wa sekta hiyo wakisema utasaidia kupunguza tatizo la upungufu wa matabibu hao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Mwananchi

Wakenya wamsifu JPM kukomesha ufisadi

Makamu mkuu wa  Shule Kuu ya Biashara ya Strathmore (SBS) ya jijini Nairobi, Dk Vincent Ogutu amesema Wakenya wamefurahi kuona namna Rais John Magufuli anavyopinga ufisadi kwa kusimamia sheria.

 

1 year ago

Mtanzania

 Maaskofu wamtaka  JPM atumie busara

Pg 1NA BENJAMIN MASESE, MWANZA

BARAZA la Maaskofu Tanzania (TEC), limemtaka Rais Dk. John Magufuli atende haki na atumie busara na akili   anapochukua hatua mbalimbali za utendaji zikiwamo za kupambana na ufisadi.

Kauli hiyo ilitolewa   na Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Method Kilaini kwa niaba ya TEC, alipozungumza na waandishi wa habari   Mwanza jana.

Askofu Kilaini na wenzake wako jijini hapa   kuhudhuria kongamano la tatu la  taifa la Ekaristi Takatifu litakalofanyika   kuanzia...

 

8 months ago

Mwananchi

Wamachinga wamgomea Makonda, wamtaka JPM

Lile agizo la wafanyabiashara ndogondogo mijini kutoondolewa walipo mpaka watafutiwe maeneo mazuri ya biashara lililotolewa na Rais John Magufuli, limeibua mazito baada ya kutishia kugoma kuondoka katikati ya Jiji la Dar es Salaam.

 

8 months ago

Mtanzania

ACT-Wazalendo wamtaka JPM kusogeza Muswada wa Habari

Rais Dk. John Magufuli

Rais Dk. John Magufuli

Na Patricia Kimelemeta – dar es salaam

SIKU moja baada ya kuwapo taarifa za Rais Dk. John Magufuli kutaka kuzungumza na wahariri na waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari leo, Chama cha ACT-Wazalendo kimemtaka kiongozi huyo kusikiliza ombi la kusogeza mbele Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari wa mwaka 2016 hadi Februari mwakani.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, Katibu wa Itikadi, Mawasiliano na Uenezi wa ACT-Wazalendo, Addo Shaibu, alisema...

 

3 months ago

Bongo5

Madaktari 159 wa Tanzania wachangamkia ajira Kenya

Wakati Chama cha Madaktari (MAT) kikikataa kutoa madaktari kwa ajili ya kwenda kuhudumu nchini Kenya, Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imesema tayari imepokea maombi 159 kwa walio tayari.

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema serikali ya Kenya na nchini Tanzania tayari zimekaa pamoja na kupanga mikakati mbalimbali kuhusu usalama na malipo ya madaktari watakaopatiwa ajira nchini humo.

Aidha Mwalim alisema licha ya upungufu wa madaktari nchini bado serikali ina uwezo...

 

1 year ago

Michuzi

TAARIFA YA KUKANUSHA UVUMI WA KUWEPO NA AJIRA ZA MADAKTARI JWTZ

Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaoeleza kuwa JWTZ limetoa nafasi za kazi kwa vijana wenye fani ya Udaktari na kuwataka vijana hao kuripoti Makao Makuu na vyeti vyao kwaajili ya usaili.
Habari hizo si za kweli,JWTZ kama zilivyo taasisi nyingine za serilikali lina mfumo rasmi wa kutangaza habari zake hivyo jeshi linawaomba wananchi wazipuuzie taarifa hizo.
Aidha JWTZ linawataka wamiliki wa mitandao ya kijamii kutotoa taarifa za jeshi bila kuwasiliana na Makao Makuu ya jeshi kinyume na...

 

2 months ago

Mwananchi

Madaktari 258 walioomba ajira Kenya kuajiriwa serikalini

Rais John Magufuli amesema kati ya madaktari 500 walioonyesha nia ya kwenda kufanya kazi nchini Kenya watachaguliwa 258 na kuajiriwa na serikali ya Tanzania mara moja kuanzia sasa.

 

2 months ago

Mwananchi

Madaktari 258 walioomba kazi Kenya, wapewa ajira, watakiwa kuripoti

Ajira 258 za madaktari walioomba kwenda kufanya kazi nchini Kenya, zimetolewa asubuhi hii na wanatakiwa kuripoti kwenye vituo vyao vya kazi siku 14 kuanzia tangazo hilo kutoka.

 

2 years ago

Mwananchi

Maprofesa, madaktari watawala baraza la JPM

Rais John Magufuli amekamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri ambalo asilimia 53 ya wajumbe wote ni wasomi na wataalamu wa nyanja mbalimbali za kitaaluma.

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani