Waegesha Ndege wa JNIA Wapigwa Msasa

WAEGESHA ndege 10 wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA), leo walianza mafunzo ya siku saba ya uegeshaji ndege kutoka kwa wakufunzi wa Kiwanja cha Ndege cha Hague cha Uholanzi yanayofanyika katika Chuo cha Usafiri wa Anga (CATS) jijini Dar es Salaam.
Akifungua mafunzo hayo Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAA, Bw. Richard Mayongela amesema kuwa mafunzo hayo ni muhimu kwani yatazidi kuwajengea uwezo na uzoefu washiriki hao.
Bw. Mayongela amewasisitiza washiriki hao kuzingatia kila...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Dewji Blog

Ndege ya Shirika la Ndege la Mauritius yatua rasmi uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere, (JNIA)

Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini, TAA, kupitia uwanja wake wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, imeongeza idadi ya mashirika ya ndege yanayotumia uwanja huo
baada ya ndege ya kwanza ya Shirika la Ndege la Mauritius (Mauritus Airlines),
kutua kwenye uwanja huo leo Mei 6, 2016.

Ndege hiyo aina ya Boeng Airbus 319, yenye kubeba abiria 130, ilitua kwenye uwanja
huo majira ya saa 5;20 asubuhi ambapo kama ilivyoada ya kupokea ndege mpya
inayoanza shughuli zake kwenye uwanja huo, magari...

 

4 years ago

Michuzi

WANAHABARI NCHINI WAPIGWA MSASA

 Mhariri wa Gazeti ya Citizen la hapa nchini,Bw. Richard Mbamba ambaye ni mmoja kati wanahabari waliowahi kushinda tuzo za "CNN MultiChoice African Journalist of the Year 2008" akisisitiza jambo wakati wa Semina ya simu moja kwa wanahabari wa Tanzania juu ya namna wanavyopaswa kufanya kazi zao,iliyofanyika leo katika Hoteli ya New Afrika,jijini Dar es Salaam.Semina hiyo imekuja ikiwa ni siku moja kabla ya kufanyika wa shughuli ya utoaji tuzo hizo za "CNN MultiChoice African Journalist of the...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Maofisa takwimu wapigwa msasa

MAOFISA 50 kutoka idara za takwimu katika wizara, taasisi na vyuo vikuu vya serikali wanakutana jijini Arusha kupata mafunzo ya jinsi ya kuchambua takwimu za sensa ya watu na makazi...

 

4 years ago

Dewji Blog

Wanawake Vodacom wapigwa msasa

003 NBC

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu, akizungumza na baadhi ya wafanyakazi wanawake wa kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wakati wa kongamano la kubadilishana uzoefu na kujengeana uwezo, lililofanyika katika Makao makuu ya Kampuni hiyo. Mkurugenzi huyo ametoa wito kwa jamii ya Watanzania kuendelea  kuthamini mchango wa Mwanamke wa Kitanzania ndani ya jamii.

004 NBC

002 NBC

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC, Mizinga Melu, akisikiliza swali kutoka kwa mfanyakazi wa kampuni ya...

 

4 years ago

Tanzania Daima

Ma-RC, DC wapigwa msasa sera ya madini

WIZARA ya Nishati na Madini imefaya mkutano wake wa kwanza uliowashirikisha wakuu wa mikoa, wilaya na taasisi za dini, ili kukumbushana na kujenga uwezo katika kujua sera ya madini ya...

 

2 years ago

Michuzi

Wahandisi Temesa wapigwa msasa

Na Raymond Mushumbusi MAELEZO
Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wanaendesha mafunzo ya wiki mbili kwa Wahandisi na mafundi wa Temesa ili kuwajengea uwezo katika kutumia teknolojia ya umeme wa nishati ya jua.
Akifungua mafunzo hayo leo Jijini Dar es Salaam Kaimu Mtendaji Mkuu TEMESA Mhandisi Manase Ole Kujan amesema lengo la mafunzo hayo ni kuwaongezea uwezo wahandisi na mafundi ili kuweza kutumia teknolojia ya umeme wa nishati ya jua ambao...

 

2 years ago

Channelten

Walimu Wapigwa Msasa Ruangwa

ruangwa

Kufuatia Kushuka kwa Ufaulu kwa masomo ya Kiingereza,Sayansi na Hisabati katika Wilaya za Nachingwea na Ruangwa Mkoani Lindi Mamlaka ya Elimu Tanzania(TEA) kwa kushirikiana na Wizara ya Elimu,Sayansi,na Teknolojia,Pamoja na Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) imewezesha awamu ya pili ya Programu ya kujenga uwezo wa walimu na wanafunzi,kwa walimu mahiri (Msingi) wa masomo ya Hisabati, Kiswahili na Kiingereza wilayani Ruangwa

Lengo la mafunzo hayo ni kuwawezesha...

 

2 years ago

Mtanzania

WADAU AZAKI WAPIGWA MSASA

Mwenyekiti wa Shirika lisilo la Serikali la Utetezi wa Haki za Binadamu, (THRDC), Onesmo Olengurumwa

Mwenyekiti wa Shirika lisilo la Serikali la Utetezi wa Haki za Binadamu, (THRDC), Onesmo Olengurumwa

NA HARRIETH MANDARI-DAR ES SALAAM

MWANASHERIA Horace Adjolohoun amewataka wadau wa Asasi za Kiraia  (Azaki) kuhakikisha wanapata elimu ya kutosha juu ya taratibu za kisheria zitakazowasaidia kutoa msaada.

Kauli hiyo aliitoa Dar es Salaam jana, alipofungua mafunzo ya haki za binadamu kwa Azaki kuhusu kutumia njia mbalimbali za kikanda kutetea haki za binadamu.

“Nchi nyingi za Bara la Afrika...

 

1 year ago

MwanaHALISI

Madiwani Manyoni wapigwa msasa

MADIWANI 28 toka Kata 19 za Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni wamepatiwa mafunzo maalum ya Uongozi, Maadili na Utawala Bora, Mafunzo, anaandika Dany Tibason. Mafunzo hayo ya siku mbili yameanza Aprili 5 hadi 6 Aprili, mwaka huu katika Ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Manyoni kwa lengo la kuwajengea uwezo. Mkuu wa Wilaya ...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani