WAFANYABIASHARA WATOA NENO USITISHWAJI WA MIFUKO YA PLASTIKI

Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii
WAFANYABIASHARA wadogo na wauzaji wa vifungashio na mifuko mbadala wameiomba Serikali kutoa maelekezo maalumu ni wapi watapata mifuko mbadala baada ya matumizi ya mifuko ya plastiki kusitishwa kuanzia Juni mosi mwaka huu.

Wakizungumza  na Blogu ya jamii kwa nyakati tofauti wafanyabiashara katika soko la Kariakoo jijiji Dar es Salaam wamesema kuwa wamelipokea suala hilo kwa mikono miwili kwa kuwa matumizi ya mifuko ya plastiki athari zake zimeonekana hivyo ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

4 days ago

Michuzi

Wafanyabiashara Jijini Dodoma Waunga Mkono Katazo la Matumizi ya Mifuko ya Plastiki


Baadhi ya wafanyabiasha katika Jiji la Dodoma wametoa maoni yao kuhusu katazo la matumizi na biashara ya mifuko ya plastiki ifikapo tarehe 1 Juni 2019 nakusema kuwa katazo hilo limekuja wakati sahihi.

Akizungumza na mwandishi wetu Katibu Mkuu wa Soko Kuu la Majengo, Jijini Dodoma, Eliamani Mollel amesema kuwa wao kama viongozi wamepokea na kuunga mkono marufuku ya kutotumia na kufanya biashara ya mifuko ya plastiki, Serikali ina nia ya dhati kabisa kukataza hii mifuko kutokana na ...

 

3 years ago

Habarileo

Watengeneza mifuko ya plastiki watahadharishwa

OFISI ya Makamu wa Rais imetoa miezi minne kuanzia Agosti 18, mwaka huu kwa wamiliki wa viwanda vyote vinavyozalisha mifuko ya plastiki nchini kuchukua hatua stahiki kusitisha uzalishaji wa mifuko ya plastiki na kuwekeza katika mifuko mbadala na urejeleshaji wa taka za plastiki.

 

3 years ago

Mwananchi

Mifuko ya plastiki mwishi mwakani

Serikali imepiga marufuku viwanda kuzalisha mifuko ya platiki kuanzia Januari mwakani.

 

3 years ago

Mtanzania

Lumbesa, mifuko ya plastiki yadhibitiwa

mifukoNa UPENDO MOSHA, MOSHI

BARAZA la Madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro, limepitisha sheria mbili za kudhibiti utumiaji wa mifuko ya plastiki pamoja na kudhibiti ufungaji wa mazao kwa mtindo wa lumbesa.

Akizungumza katika kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika jana mjini Moshi wakati wa mjadala wa kupitisha sheria hizo, Meya wa Manispaa hiyo, Raymondy Mboya, alisema sheria  ya kudhibiti matumizi ya mifuko ya plastiki ina lengo la kulinda mazingira na afya za...

 

3 years ago

Mwananchi

Serikali yaondoa marufuku ya mifuko ya plastiki

Serikali imetengua amri ya kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki nchini baada ya kubaini kuwa itapunguza kasi ya uwekezaji na kuziweka rehani ajira za watumishi wa viwanda vinavyozalisha bidhaa hizo

 

3 years ago

Habarileo

Serikali yapiga marufuku mifuko ya plastiki

SERIKALI imepiga marufuku uzalishaji na matumizi ya mifuko ya plastiki, kuanzia Januari Mosi mwakani.

 

3 years ago

Habarileo

Makonda apiga marufuku mifuko ya plastiki

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa siku 90 kwa viwanda vinavyozalisha mifuko ya plastiki, kutozalisha mifuko hiyo kwa kuwa imekuwa ikichangia katika uchafuzi wa mazingira. Pia amewataka wazalishaji wa mifuko hiyo, kuiga mfano wa Zanzibar, ambayo imefanikiwa kudhibiti matumizi ya mifuko hiyo.

 

2 years ago

BBCSwahili

Mifuko ya plastiki kupigwa marufuku Kenya

Serikali ya Kenya imetangaza kwamba itapiga marufuku uzalishaji na matumizi ya mifuko ya plastiki nchini humo.

 

2 years ago

VOASwahili

Kenya kupiga marufuku mifuko ya plastiki

Na BMJ Muriithi Marufuku ya mifuko ya plastiki katika eneo la Afrika Mashariki huenda ikaanza kutekelezwa hivi karibuni, baada ya Kenya, ambayo ilikuwa haijatia saini makubaliano kuhusu marufuku hiyo, kutangaza rasmi kwamba imefanya hivyo. Waziri wa Kenya wa Mazingira, Judy Wakhungu, amesema kwamba makubaliano hayo yataanza kutekelezwa miezi sita baada ya utiaji saini wa mkataba huo, ambao umechapishwa katika gazeti rasmi la serikali, Kenya Gazette. Mifuko hiyo imetajwa na wataalam wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani