Wafanyakazi wa kituo cha mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege jijini Dar Es Salaam watekeleza agizo la Rais kwa kufanya usafi

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mafuta cha Puma cha  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Brown Francis akishiriki kufanya usafi katika kituo hicho ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dk.John Magufuli kuwa maadhimisho ya Siku ya Uhuru 2015 yatumike kwa kufanya usafi nchini kote.

Meneja wa Kituo hicho, Shadrack Mwamaso naye akishiriki kufanya usafi.

Hapa usafi ukiendelea.

Hapa ni kazi usafi ukifanyika.

Ni kama anaongea ‘Ngoja nikazitupe taka taka hizi eneo...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

WAZIRI MPANGO AKIFUNGIA KITUO CHA MAFUTA CHA GBP ENEO LA UWANJA WA NDEGE DAR ES SALAAM


Benny Mwaipaja, WFM, Dar es Salaam 

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, amefanya ziara ya kushitukiza katika eneo la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam na kuamuru kituo cha Mafuta cha GBP kifungwe hadi hapo kitakapo funga mashine maalumu za kutolea risiti baada ya kubainika hakitumii ipasanyo mashine za kieletroniki za kukusanyia kodi (EFD) 

Dkt. Mpango amechukua hatua hiyo baada ya kujionea kituo hicho kikiwa na  pampu nne za mafuta lakini kuna...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA PUMA ENERGY TANZANIA YAZINDUA VILAINISHI VYA CASTROL NA KITUO CHA MAFUTA CHA OYSTERBAY, DAR

Meneja wa Usalama wakati wa Kazi wa Kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Jonathan Mmari akizungumza machache. Walioko mbele kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Dkt. Ben Moshi na  Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya PUMA Energy Tanzania, Bw. Phillipe Corsaletti wakiwa na wageni waalikwa wakati wa uzinduzi wa Vilainishi vya Castrol vilivyoendana na uzinduzi wa kituo kipya cha Mafuta kilichopo Oysterbay jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya...

 

3 years ago

Michuzi

MAHAFALI YA 28 YA KIDATO CHA SITA NA 29 YA KITUO CHA UALIMU CHA KIISLAMU CHA AL HARAMAIN JIJINI DAR ES SALAAM

Mgeni rasmi katika Mahafali ya 28 ya Kidato cha Sita na ya 29 ya Kituo cha Ualimu cha Al Haramain, Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi, akizungumza na wahitimu wakati wa mahafali hayo.Mhitimu wa kidato cha sita Sabrina Hamad, akikabidhiwa vyeti vya kufanya vizuri katika masomo ya Chemistry na Physics na mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Ramond Mushi.Mhitimu wa kidato cha sita Suleiman Chanzi akikabidhiwa cheti cha kufanya vizuri katika somo la English na mgeni rasmi Mkuu wa Wilaya ya...

 

2 years ago

Malunde

PICHA: KITUO CHA MAFUTA TEGETA JIJINI DAR ES SALAAM CHATEKETEA KWA MOTO

Kituo cha mafuta kilichopo eneo la Tegeta Azania jijini Dar as Salaam kineteketea kwa moto.Chanzo cha ajali hiyo ni gari lililokuwa likishusha shehena ya mafuta kushika moto.

 

1 year ago

Michuzi

KIWANDA CHA MAFUTA CHA MURZAH CHATEKETEA KWA MOTO JIJINI DAR ES SALAAM

 Sehemu ya Kiwanda cha  Mafuta cha MURZAH kikiteketea kwa moto huku baadhi ya ya Magari ya Askari wa kikosi cha Zima Moto wakijitahidi kuzima moto huo ambao mpaka sasa chanzo chake hakijajulikana.  Sehemu ya Kiwanda Cha  Mafuta cha MURZAH kikiteketea kwa moto huku baadhi ya ya Magari ya Askari wa kikosi cha Zima Moto wakijitahidi kuzima moto huo ambao mpaka sasa chanzo chake hakijajulikana. Askari wa Jeshi la Zima Moto wakijaribu kuudhibiti moto ambao ulikuwa unarukia upande wa pili wa...

 

2 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS WA JICA ATEMBELEA KITUO CHA KUPOZA NA KUSAMBAZA UMEME CHA ILALA-MCHIKICHINI JIJINI DAR ES SALAAM

 Mkurugenzi Mtendaji wa Tanesco, Mhandisi Felchesmi Mramba, (kushoto),  akimwelezea jambo Makamu wa Rais wa Shirika la  Serikali ya Japan, linaloshughulikia uratibu wa misada ya maendeleo ya kimataifa, (JICA), Suzuki Noriko,  kuhusu hatua iliyofikiwa na TANESCO katika uboreshaji wa miundombinu ya kupoza na kusambaza umeme alipotembelea kituo cha kupoza na kusambaza umeme cha Ilala-Mchikichini jijini Dar es Salaam, ambapo JICA inashirikana na serikali katika kukiboresha kituo hicho.NA K-VIS...

 

2 years ago

Ippmedia

Moto wateketeza kituo cha mafuta cha Petro Tegeta Dar es Salaam

Day n Time: Breaking NewsStation: ITV

 

3 years ago

Michuzi

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KIONGOZI WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI CHA CHINA LUO ZHIJUN IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Kiongozi  wa Chama cha Kikomunisti cha China Luo Zhijun  kutoka jimbo la Jiangsu nchini China, ikulu jijini Dar es Salaam.  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Balozi wa China hapa nchini lu youqing aliyeambatana na Kiongozi huyo wa chama cha Kikomunisti cha China, Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli...

 

3 years ago

CCM Blog

RAIS MHE. JOHN POMBE MAGUFULI AKAGUA NA KUWEKA JIWE LA MSINGI KATIKA UJENZI WA KITUO CHA KUFUA UMEME CHA KINYEREZI II JIJINI DAR ES SALAAMRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Japan nchini Masaharu Yoshida, Waziri wa Nishati na Madini Profesa Sospeter Muhongo, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Dar es Salaam CCM, Ramadhan Madabida, Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya  Nishati na Madini Dkt. Juliana Palangyo wakikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa Ujenzi wa Kituo cha Kufua umeme cha Kinyerezi II nje kidogo ya jiji la Dar es Salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani