WAGANGA TIBA ASILI NJOMBE WAIOMBA SERIKALI KUDHIBITI 'WAGANGA' MATAPELI


BAADHI ya Waganga wa Tiba asili mkoani Njombe wameiomba Serikali ya mkoa huo kuchukua hatua kali dhidi ya watu ambao wanajifanya waganga nakwenda kufanya utapeli kwa waganga kinyume cha Sheria ya Tiba asili na mbadala Na 23 ya 2002.
Wamesema kuwa kwa muda mrefu katika mkoa pamekuwepo na watu ambao wanajifanya waganga wa tiba asili na kupita kwa waganga kufanya utapeli kwa kisingio kuwa waganga hao wanafanya kazi wakiwa hawana vyeti vya baraza la tiba asili au vyama husika.
Akizungumzia hali...

Michuzi

Read more


Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani