Wagombea Urais wa Jumuiya ya Watanzania DMV MArekani Waongea Baada ya Matokeo ya Uchaguzi

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

Mdahalo Wakuwania Uongozi wa Urais Jumuiya ya Watanzania DMV, Marekani

Huu ni Mdahalo wa Sehemu ya kwanza kati ya mbili zijazo, wa kugombania kinyang'anyiro cha uchaguzi wa Urais kupitia Jumuiya ya Watanzania waishio DMV, ulioandaliwa na Tume ya Uchaguzi, Siku ya Jumamosi March 3, 2018 katika ukumbi wa Indiana Springs Terrance Local Park Sliver Spring Maryland Nchini Marekani.

 

2 years ago

Channelten

Baada ya matokeo ya Urais kufutwa Kenya, Wagombea wote wa urais wakutana na tume ya uchaguzi

uhuru_kenyatta_and_raila_odinga-600x315

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga amefika kwenye mkutano ulioitishwa na tume ya uchaguzi na mipaka nchini Kenya IEBC katika ukumbi wa Bomas of Kenya mjini Nairobi.

Rais Uhuru Kenyatta ambaye naye alialikwa kwenye mkutano huo na IEBC alitarajiwa kufika katika mkutano huo ambao tume ilitisha mkutano na wagombea hao wakuu wa urais kabla ya uchaguzi wa tarehe 26 mwezi huu, kujadiliana kuhusu maandalizi ya uchaguzi huo.

Wakati huo huo Chuo Kikuu cha Nairobi kimefungwa kwa muda...

 

2 years ago

Michuzi

AZAM TV NA BBC SWAHILI WAONGEA NA WATANZANIA WASHINGTON, DC KUHUSU UCHAGUZI WA MAREKANI

Mtagazaji wa BBC Swahili Zuhra Yunus (kushoto) akifanya mahojiano na mkazi wa DMV Asha Hariz Siku ya Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika mgahawa wa Swahili Village. Kulia ni Mtangazaji wa luniga wa Azam Tv Charles Hillary akifanya mahojiano na Iddi Ligongo (kushoto) na Mzee Boaz siku ya Jumanne Novemba 8, 2016 ya uchaguzi wa rais wa Marekani katika mgahawa wa Swahili Village.Kutoka kushoto ni Nambai mkazi wa DMV akifanyiwa mahojiano na mtangazaji wa siku nyingi...

 

4 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA WATANZANIA DMV KUUNGURUMISHA SHEREHE ZA MUUNGANO DMV- SATURDAY APRIL 25, 2015

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania wa DMV unapenda kuwajulisha watanzania wote kukaa mkao wa kula , kwa ajili ya sherehe za muungano zitakazofanyika, Jumamosi April 25, 205.
Jiandaeni kwa Hafla na Vivutio mbali mbali. Michezo, Utamaduni, Nyama Choma nk. DMV Patakuwa Hapatoshi.
Wadhamini WanakaribishwaWasiliana na uongozi kupitia
President: Iddi Sandaly 301-613-5165
Vice President: Harriett Shangarai 240-672-1788
Secretary: Saidi Mwamende 301-996-4029Assistant Secretary: Bernadetta Kaiza...

 

3 years ago

Channelten

Idadi ya Kura za Awali Uchaguzi wa Urais Marekani zinaonekana Kuelemea kwa Wagombea hawa

20042016104811_88802114_88802112-1000x0

Zaidi ya nusu ya kura zilizohesabiwa katika uchaguzi wa awali wa urais nchini marekani katika mji wa New york,zinaonesha kwamba Donald Trump na Hillary Clinton wamepata ushindi mkubwa Zaidi ndani ya vyama vyote viwili.

Hillary Clinton ambaye amemshinda mpinzani wake Bernie Sanders kwa ushindi mkubwa ameeleza katika hotuba yake kuwa ushindi wa chama chake cha Democratic umeweza kuwaunganisha zaidi wapinzani wake kuwa wamoja zaidi ya kuwagawa.

Hata hivyo New York inatajwa kuwa ngome nyingine...

 

3 years ago

CCM Blog

DK. MAGUFULI NA RAIS KIKWETE IKULU BAADA YA KUIBUKA KIDEDEA URAIS KATIKA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU LEO

ma1Rais Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang’anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa  Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva  kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii mag2Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsomea sms za pongezi kutoka kila pembe ya dunia  mshindi wa ...

 

4 years ago

Vijimambo

KAMATI YA MAANDALIZI NA MAPAMBO YA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV


 Kamati ya maandalizi na mapambo ikipata picha ya pamoja baada ya kupamba ukumbi wa Oxford uliopo Lanham, Maryland katika kujiandaa kusherehekea kuuaga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2015

 

5 years ago

Michuzi

Sera za Libe Mgombeya wa Jumuiya ya waTanzania DMV

Kutakuwa na Mkutano wa Sera za Mkombea wa Jumuiya ya waTanzania DMV Bwna Liberatus Mwang'ombe Atakachoongea katika mkutano wake ni  Kuhusu Elimun Diversity visa Lotterry/ YOUNG African Leaders Initiatives Jumiaya na Afya, Baraza la ushauri, Darasa la Kiswahili. Ushirikiano na umoja, Jumuiya na wajasiriamali, Jumuia na vyanzo vya mapato, Jumuiya na mrejesho wa ubalozi, "Power of attorney" , Mkutano huo utafanyika Siku ya Jumamosi, June 28, 2014 kuanzia saa 10 Alasiri (4pm)...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani