Wajasiriamali 700 Iringa wapatiwa mafunzo

ZAIDI ya wajasiriamali 700 waliopatiwa mafunzo ya kutengeneza batiki, sabuni na keki wametakiwa kutumia elimu hiyo kwa vitendo ili wajikwamue kimaisha na kuongeza pato la taifa. Wito huo umetolewa juzi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

WAJASIRIAMALI WANAWAKE 200 MKOANI KIGOMA WAPATIWA MAFUNZO KUWAIMARISHA KIUCHUMI

Na Rhoda Ezekiel, Kigoma

WANAWAKE 200 ambao ni wajasiriamali mkoani Kigoma wanataraja kupata mafunzo yatakayosaidia kuwaimarisha kiuchumi na lengo ni kuhakikisha wanapata maendeleo katika mkoa huo na Taifa kwa ujumla hasa kipindi hiki cha kutekeleza sera ya Tanzania ya viwanda.

Awali akifungua rasmi mafunzo hayo jana mkoani humo na yanatarajiwa kudumu kwa siku 10 katika halmashauri zote mkoani hapa Katibu Tawala Msaidizi wa Mkoa wa Kigoma Gaden Machunda ametoa msisitizo kwa akina...

 

2 weeks ago

Michuzi

WAJASIRIAMALI WADOGO NA WAKATI WAPATIWA MAFUNZO CHUO KIKUU DAR ES SALAAM

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Shule Kuu ya Biashara (UBDS) kupitia Kituo cha Ubunifu na Ujasiriamali cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDIEC) kwa kushirikiana na ufadhili wa European Investment Bank (EIB) kimetoa mafunzo kwa wajasiriamali wadogo na wakati juu ya ufahamu kwenye biashara na mipango kabla ya kuanza biashara.
Miongoni mwa masuala waliyofundishwa ni pamoja na kujua mipango ya kibiashara, vyanzo vya fedha, kujua masoko, namna ya kuwa na bidhaa bora na jinsi ya kuuza kwa faida...

 

2 years ago

Michuzi

Wanawake wajasiriamali wa Kisiwa cha Zanzibar wapatiwa mafunzo ya ujasiliamali na Benki ya KCB Tanzania.


Ofisa Mawasiliano ya Umma wa Benki ya KCB Tanzania Aziza Mkwizu, (aliyekaa kulia), Ofisa biashara wa benki ya KCB Tawi la Stone Town Zanzibar Lutfy Said (aliyekaa wapili kulia), Ofisa biashara wa Tawi la Stone Town Zanzibar wa Benki ya KCB, Rashid Mshana (aliyekaa wapili kushoto) na Ofisa mawasiliano ya Umma wa Benki hiyo Margaret Makere (aliyekaa watatu kushoto) wakiwa kwenye picha ya pamoja na wanawake wajasiriamali wa Zanzibar.
Ofisa Biashara wa Tawi la Stone Town Zanzibar wa Benki...

 

4 years ago

Vijimambo

WANAWAKE WA MKOA WA IRINGA WAPATIWA MAFUNZO JUU YA SHERIA YA UMILIKI WA ARDHI NA UONGOZI

Wanawake wa wilaya za Iringa, Mufindi na Kilolo mkoani Iringa wapatiwa mafunzo juu ya ushawishi na utetezi wa haki za wanawake na sheria ya umiliki wa ardhi ya mwaka 1999. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Shirika la Land O'Lakes chini ya ufadhili wa Shirika la Misaada la Marekani (USAID). Mratibu Msaidizi wa Programu wa Shirika la Land O’Lakes Tanzania, Mary Kafanabo alisema kuwa mafunzo hayo yametolewa kufuatia uelewa mdogo wa sheria za umiliki wa ardhi na sheria ya ardhi kwa ujumla.
Alisema...

 

5 years ago

Tanzania Daima

700 wapatiwa elimu ya uzazi wa mpango

JUMLA ya wasichana 700 wenye umri kati ya miaka 10 hadi 19 waliokatisha masomo katika shule za msingi na sekondari wilayani Kahama kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kubeba mimba wamejitokeza...

 

2 years ago

Channelten

Mafunzo ya nadharia na vitendo, Wakufunzi 32 kutoka mikoa 17 wapatiwa mafunzo

sido

Serikali kupitia shirika la viwanda vidogo sido imetoa mafunzo ya nadharia na vitendo kwa wakufunzi 32 kutoka mikoa 17 ya Tanzania wa usindikaji na uhifadhi wa vyakula pamoja na ujasiriamali ili wawe ze kuanzi sha viwanda vidogo na kuisamb aza elimu hiyo kwa jamii ili waweze kujikwamua kiuchumi waondokane na umask ini.

Mkurugenzi mkuu wa SIDO Silvester Mpamduji katika hotuba yake wakati wa ku funga mafunzo hayo ya wiki nne yaliyofanyika Moshi mkoani Kilimanjaro amese ma asilimia 70 ya...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Wajasiriamali wapatiwa mitaji

BENKI ya Covenant kwa kushirikiana na Umoja wa wafanyakazi wasio katika sekta rasmi wamewawezesha wajasiriamali zaidi ya 60 kwa kuwapatia mikopo ya mitaji ambayo imejumuisha basi za abiria, Bajaj na...

 

5 years ago

Tanzania Daima

Wajasiriamali Mkata wapatiwa elimu

SHIRIKA la Atomtek Nuclear Energy limetoa msaada wa kielimu kwa kikundi cha kinamama wajasiriamali kilichopo Kata ya Mkata, Mkoa wa Tanga kwa lengo la kuwainua kiuchumi na kuondokana na umasikini....

 

1 year ago

Michuzi

WAJASIRIAMALI JIJI LA ARUSHA WAPATIWA MKOPO WA MILIONI 605


Na Mahmoud Ahmad,Arusha.
Jumla ya Shilingi milioni 605 zimetolewa kama mkopo wa kuwanufaisha wajasiriamali walioko kwenye vikundi vya kinamama na vijana pamoja na walemavu waliopo katika Halmashauri ya Jiji la Arusha.
Akizungumzia mikopo hiyo inayotolewa na Halmashauri Afisa Ustawi wa Jamii Jiji la Arusha, Hanifa Ramadhani amesema kuwa mikopo hiyo inatolewa ili kuwawezesha kinamama na vijana kuondokana na hali ngumu za kiuchumi zinazowakabili ili kuinua uchumi .
Mkuu wa Wilaya ya Arusha...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani