WAJASIRIAMALI WADOGO NA WAKATI WAPATIWA MAFUNZO CHUO KIKUU DAR ES SALAAM

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Shule Kuu ya Biashara (UBDS) kupitia Kituo cha Ubunifu na Ujasiriamali cha Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDIEC) kwa kushirikiana na ufadhili wa European Investment Bank (EIB) kimetoa mafunzo kwa wajasiriamali wadogo na wakati juu ya ufahamu kwenye biashara na mipango kabla ya kuanza biashara.
Miongoni mwa masuala waliyofundishwa ni pamoja na kujua mipango ya kibiashara, vyanzo vya fedha, kujua masoko, namna ya kuwa na bidhaa bora na jinsi ya kuuza kwa faida...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

Kampuni ya Uchimbaji Madini ya Acacia yafadhili ziara ya mafunzo kwa wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Wanafunzi 42 wa mwaka wa tatu kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wanaosomea fani za Uhandisi Migodi na Uhandisi Uchenjuaji Madini, wakiambatana na wahadhiri wao walipata fursa ya kutembelea migodi ya dhahabu ya Bulyanhulu na Buzwagi inayomilikiwa na kampuni ya uchimbaji ya Acacia.
Katika ziara hiyo ya mafunzo iliyofanyika tarehe 11 na 12 mwezi huu, wanafunzi hao pamoja na wahadhiri wao walijionea shughuli za uchimbaji wa madini wa chini ya ardhi katika Mgodi wa Bulyanhulu (Underground...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS MSTAAFU DKT. JAKAYA KIKWETE AONGOZA MAHAFALI YA 10 YA CHUO KIKUU KISHIRIKI CHA ELIMU (DUCE) CHA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM


NA K-VIS BLOG/Khalfan Said
MKUU wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Rais Mstaafu wa awamu ya Nne, Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete, (pichani juu), ameongoza mahafali ya kumi (10), ya Chuo kikuu kishiriki cha Elimu (DUCE)cha Chuo kikuu Dar es salaam kwenye viwanja vya chuo hicho, Chang’ombe jijini Dar es Salaam jana Novemba 15, 2017.
Katika mahafali hayo zaidi ya wanachuo 1,443 waliochukua mafunzo ya Shahada ya Elimu ya Jamii na Elimu, (BAED), Shahada ya Elimu ya Sayansi na Elimu, (Bsc) na Shahada ya...

 

2 years ago

Channelten

Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam TUDARCo na chuo kikuu cha Finland cha TURK wamezindua mradi wa matumizi ya taarifa

IMG_8614

Chuo Kikuu cha Tumaini Dar es salaam TUDARCo na chuo kikuu cha Finland cha TURK wamezindua mradi wa matumizi ya taarifa ili kuleta ubunifu kwenye sekta isiyo rasmi, ikihusisha jamii katika masuala ya ujasiriamali ili kuiwezesha kunufaika na ubunifu wa ujasiriamali na kuhimili ushindani.

**Maafisa kutoka vyuo vikuu vya TUDARCo na TURK wamesema mradi huo utaangalia changamoto zinazowakabili wajasiriamali na kuzitafutia ufumbuzi lengo likiwa kuwezesha wanafunzi, vijana na wanawake ambao wapo...

 

3 years ago

Ippmedia

Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimemsimika rasmi Dk. Jakaya Kikwete kuwa mkuu wa chuo

Chuo kikuu cha Dar es Salaam kimemsimika rasmi rais wa serikali ya awamu ya nne Dk.Jakaya Kikwete kuwa mkuu mpya wa chuo hicho baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo na rais wa Dk.John Pombe Magufuli Januari mwaka huu.

Day n Time: Jumamosi saa 2:00 UsikuStation: ITV

 

5 years ago

Tanzania Daima

Wajasiriamali 700 Iringa wapatiwa mafunzo

ZAIDI ya wajasiriamali 700 waliopatiwa mafunzo ya kutengeneza batiki, sabuni na keki wametakiwa kutumia elimu hiyo kwa vitendo ili wajikwamue kimaisha na kuongeza pato la taifa. Wito huo umetolewa juzi...

 

1 year ago

Michuzi

JK Aongoza Mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu Dar es Salaam

 Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimtunuku Shahada ya Uzamivu katika Uchumi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt. Lameck Mwigulu Nchemba katika mahafali ya 47 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam  Jijini Dar es Salaam jana Waziri wa Katiba na Sheria ambaye pia alikuwa amidi wa shughuli za sherehe za chuo Kikuu cha Dar es Salaam akimkabidhi mrithi wake Profesa Boniventure Rutinwa zana ya kutumikikia nafasi hiyo wakati wa mahafali ya 47 ya Chuo hicho...

 

3 years ago

Dewji Blog

Mafunzo ya Tehama kwa walimu chini ya UNESCO yazinduliwa Chuo Kikuu Huria, Dar

MAFUNZO kwa walimu watakaotumia teknolojia ya mawasiliano na habari (Tehama) kufundisha masomo ya sayansi ikiwamo hesabu yamefunguliwa katika maabara za Chuo Kikuu Huria jijini Dar es salaam.

Mafunzo hayo yanayohusisha walimu kutoka Vyuo vya Monduli, Tabora na Morogoro yamelenga kuoanisha ufundishaji na matumizi ya Tehama katika program ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO) ya kuboresha  elimu Tanzania kupitia ufadhili wa taifa la China.

Programu hiyo...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani