WAJUMBE KAMATI ZA BAJETI NA UONGOZI WASHAURIANA NA SERIKALI KUHUSU HOJA ZENYE MASLAHI KWA TAIFA


 Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Bajeti na Mbunge wa Mtwara Vijijini, Mhe. Hawa Ghasia akizungumza wakati wa Mashauriano kati ya kamati ya Bajeti, kamati ya Uongozi  na Serikali kuhusu Hoja zenye Maslahi kwa Taifa zilizojitokeza wakati wa Bajeti za Wizara kwa Mwaka 2017/2018 na Makadirio ya Bajeti kwa Mwaka wa Fedha 2018/2019 yaliyofanyika leo katika Ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Bajeti na Mbunge wa Babati Vijijini Mhe. Jitu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Michuzi

MAJIBU YA SERIKALI YA HOJA ZA WABUNGE KUHUSU MPANGO WA MAENDELEO WA TAIFA NA MWONGOZO WA BAJETI YA SERIKALI KWA MWAKA 2017/2018

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (MB), (kushoto), akijibu hoja mbalimbali za Waheshimiwa wabunge kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2017/2018 na Mwongozo wa Kuandaa Mpango wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2017/2018, Bungeni Mjini Dodoma.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

5 years ago

Michuzi

KAMATI YA UONGOZI YA BUNGE YAKUTANA NA SERIKALI PAMOJA NA KAMATI YA BUNGE YA BAJETI MJINI DODOMA LEO

 Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya Bunge ya Bajeti ikiwa ni kikao cha maridhiano kuhusu Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2014/2014. kikao hicho kiliudhuriwa pia na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Kayanza Pinda, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Fedha Mhe. Saada Mkuya. Picha kwa hisani ya Bunge  Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiongoza kikao cha pamoja baina ya Serikali, Kamati ya Uongozi pamoja na Kamati ya...

 

5 years ago

Michuzi

RIPOTI YA KAMATI YA BARAZA LA WAWAKILISHI KUHUSU MPANGO WA MAENDELEO NA BAJETI YA SERIKALI


SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar imetakiwa kutoa elimu kwa wananchi ili kujua umuhimu wa utalii nchini na kuhakikisha kuwa sekta hiyo inatoa  huduma iliyobora   na kuimarisha uchumi wa Taifa.
Akiwasilisha Ripoti ya Kamati ya Wenyeviti wa Baraza la Wawakilishi  Zanzibar kuhusu Hali ya Uchumi na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka 2014/2015 Mwenyekiti wa Wenyeviti Hamza Hassan Juma amesema ni muhimu kwa Serikali kuimarisha ulinzi kwenye maeneo yote ya utalii na kuondosha vitendo vya uahalifu ili...

 

2 years ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI YA UONGOZI NA KAMATI YA BAJETI LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati) akiongoza kikao cha kamati ya Uongozi na kamati ya Bajeti leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. kulia kwake ni Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaliwa na Kushoto kwake ni Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah na anaefuata ni Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson

(PICHA NA OFISI YA BUNGE) 

 

2 years ago

Michuzi

WAJUMBE WA KAMATI YA HESABU ZA SERIKALI (PAC) WAPIGWA MSASA KUHUSU MAJUKUMU YA BENKI KUU YA TANZANIA (BOT)

Mwenyekiti wa Kamati ya Hesabu za Serikali (PAC), Mhe. Naghenjwa Livingstone Kaboyoka (Mb) (Kulia) akiwaeleza Wajumbe wa Kamati yake kuhusu mada zinazojadiliwa katika Mafunzo ya kuwajengea Uwezo kwa wajumbe hao kuhusu majukumu ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT) yaliyowakutanisha wajumbe wa Kamati hiyo leo 13 Januari, 2017 katika Ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) jijini Dar es Salaam.Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Dkt. Natu Mwamba (mwenye kilemba) akiwafafanulia Wajumbe wa Kamati ya...

 

3 years ago

Dewji Blog

Ufafanuzi kuhusu mabadiliko yaliyofanywa na Spika kwa baadhi ya Wajumbe wa Kamati za Bunge

Kufuatia Mabadiliko ya Wajumbe kwenye Kamati za Kudumu za Bunge yaliyofanywa na Mhe. Job Ndugai (Mb) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jana tarehe 22 Machi, 2016; baadhi ya Vyombo vya Habari na Mitandao ya Kijamii imenukuliwa ikihusisha mabadiliko hayo kuwa yamefanywa kutokana na tuhuma za rushwa kwa baadhi ya Kamati za Bunge kufuatia ripoti ya chombo kimoja cha Habari. Soma ufafanuzi kwenye taarifa  iliyotolewa na Kitengo cha Habari, Elimu na Mawasiliano Ofisi za Bunge hapa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani