WAKALA WA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR NA WADAU WA AFYA WAJADILI MUONGOZO WA DAWA WA AFRIKA MASHARIKI

Na Miza Kona Maelezo ZanzibarWakala Chakula na Dawa imeanza kujadili muongozo maalum uliotolewa na Jumuiya ya Afrika Mashariki wenye lengo la kuinusuru jamii na athari zitakanazo na matumizi ya dawa ambayo hatimae husababisha madhara mbalimbali kwa wananchi.
Hayo yameelezwa na Afisa kutoka Wakala wa Dawa na Chakula Mohammed Omar kwenye Ukumbi wa Malaria Mwanakwerekwe katika kikao cha wadau kinachojadili hatua zinazofaa kuepukana na madhara ya dawa na vifaa tiba.
Amesema lengo la kikao...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Zanzibar 24

Waziri wa afya Z’bar azindua bodi ya ushauri ya wakala wa chakula dawa na vipodozi zanzibar (ZFDA)

Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar ZFDA umetakiwa kuendeleza juhudi za kuleta ufanisi katika majukumu yake ili kuzidi kujenga imani na kupata sifa za kimataifa.

Sifa hizo zitaepelekea Wadau kutoka nje ya Zanzibar kuja kujifunza namna Wakala huo unavyofanya kazi za kulinda na kuimarisha afya ya jamii kwa maslahi mapana ya taifa.

Waziri wa Afya Hamad Rashid Mohamed ameyasema hayo wakati akizindua Bodi ya Ushauri wa Wakala huo  katika ofisi za ZFDA Mombasa mjini Zanzibar.

Amesema...

 

4 years ago

Vijimambo

BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA TANI 8.5 ZA DAWA NA VYAKULA.

Baadh ya Maboksi ya dawa mbalimbali ambazo zimemaliza muda wake na hatari kwa matumizi ya Binaadamu, yakiangamizwa na katika viwanja vya kibeli nje ya mji wa Zanzibar Wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakiteremsha baadhi ya maboksi ya dawa mbalimbali, vipodozi, mchele, na tende zilizoharibika kwaajili ya kuviangamizwa.Mafisa wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar wakisimamia zoezi la uteketezaji wa dawa, vipodozi, mchele, na tende ambavyo vitu vyote hivyo...

 

3 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR WAPATIWA MAFUNZO JUU UFUATILIAJI DAWA SOKONI

Mratibu wa uwiano wa matumizi ya Dawa Afrika mashariki kwa upande wa Zanzibar Bi. Hidaya Juma Hamadi akisoma utaratibu wa mafunzo ya wiki mbili ya ufuatiliaji wa dawa katika soko kwa wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar. Mkufunzi wa mafunzo ya ufuatiliaji wa Dawa katika soko Bi. Kisa Mwamwitwa akitoa mafunzo kwa wafanyakazi wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar katika ukumbi wa ofisi za malaria Mwanakwerekwe Mjini Zanzibar. Baadhi ya wafanyakazi wa Bodi ya...

 

4 years ago

StarTV

Mawaziri wa Afya Afrika Mashariki wajadili viwango vya matumizi ya dawa yanayokubalika

 

Wadau wa uzalishaji dawa kwenye ukanda wa Afrika Mashariki wanakutana jijini Dar es Salaam kwa mara ya kwanza kujadili muongozo wa utumiaji wa dawa unaozingatia viwango vinavyokubalika kimataifa ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya mkutano wa kisekta uliokutanisha mawaziri wa masuala ya afya wa ukanda huo.

Ajenda kuu, ni namna nchi zote tano za Afrika Mashariki zinavyoweza kuwa na matumizi sawa na viwango vinavyofanana vya dawa pamoja na kuhamasisha uwekezaji zaidi kwenye uzalishaji wa...

 

1 year ago

Michuzi

BODI YA WAKALA WA CHAKULA NA DAWA ZANZIBAR WATEKETEZA DAWA ZA MENO

Na Maryam Kidiko – Maelezo Zanzibar.

Wafanyakazi kutoka Bodi ya Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar wameangamiza Tani tisa za Dawa ya meno aina ya Aloe zilizoharibika katika jaa la Kibele Wilaya ya Kati Unguja
Dawa hizo ziliingizwa nchini na Kampuni ya Bacelona Interprises Limited zikiwa zimeharibika baada ya kontena lilikuwa na dawa hizo kuinga maji wakati wa kusafirishwa kuja Zanzibar .
Mkaguzi Mkuu wa Wakala wa Chakula Dawa Zanzibar Mwadini Ahmadi Mwadini alisema walibaini kuwa dawa hizo...

 

2 years ago

Michuzi

BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAFANYA UKAGUZI WA KUSHTUKIZA KATIKA MADUKA YA DAWA KUANGALIA UHALALI WA MADUKA NA UTAALAMU WA WAFANYAKAZI WAKE

 Mkaguzi Mkuu wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Mwadini Ahmada Mwadini (kushoto) akifanya ukaguzi katika moja ya Duka la dawa kuangalia usalama wa dawa zinazouzwa na duka hilo lililopo mtaa wa kilimani. Mkaguzi Mkuu wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Mwadini Ahmada Mwadini (kushoto) akifanya ukaguzi katika moja ya Duka la dawa kuangalia usalama wa dawa zinazouzwa na duka hilo lililopo mtaa wa kilimani.Maafisa ukaguzi kutoka Bodi ya Chakula, Dawa na vipodozi wakiangalia...

 

2 years ago

Zanzibar 24

Bodi ya chakula, dawa na vipodozi Zanzibar yafanya ukaguzi wa kushtukiza

Mkaguzi Mkuu wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Mwadini Ahmada Mwadini (kushoto) akifanya ukaguzi katika moja ya Duka la dawa kuangalia usalama wa dawa zinazouzwa na duka hilo lililopo mtaa wa kilimani.

 

Mkaguzi Mkuu wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar Mwadini Ahmada Mwadini (kushoto) akifanya ukaguzi katika moja ya Duka la dawa kuangalia usalama wa dawa zinazouzwa na duka hilo lililopo mtaa wa kilimani.

 

Maafisa ukaguzi kutoka Bodi ya Chakula, Dawa na vipodozi...

 

4 years ago

Michuzi

BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA KONTENA TANO ZA BIDHAA ZILIZOHARIBIKA.

Vijana wakitoa bidhaa zilizoharibika kwenye Kontena tayari kwa kwenda kuangamizwa.Vijana wakimwaga sukari iliyoharibika katika eneo la mashimo ya kifusi Kibele Wilaya ya Kati Unguja.Gari la Kijiko likiharibu pipi zilizo haribika katika Kijiji cha Kibele Wilaya ya Kati. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.

 

2 years ago

Michuzi

BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YANGAMIZI ZAIDI YA TANI 62 ZA BIDHAA ZILIZOHARIBIKA

Na Ramadhani Ali/Maelezo Zanzibar   .                Bodi ya Chakula Dawa na Vipodozi Zanzibar (ZFDB) imeangamiza zaidi ya tani 62 za vyakula vibovu na vilivyopitwa na wakati katika zoezi lililofanyika Kibele Mkoa Kusini Unguja.

Mkuu wa Idara ya Biashara na Uendeshaji wa ZFDB Ndugu Abdulaziz Shaib  Mohd amesema bidhaa hizo mbovu zinatokana na tabia ya baadhi ya wafanyabiashara kujenga matumaini ya kuingiza faida kwa  bidhaa wanazouza bila kuangalia usalama wa bidhaa hizo kwa afya za...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani