Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) Rais Dk John Pombe Magufuli kwa kutimiza mwaka moja wenye mafanikio makubwa

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

3 years ago

Vijimambo

WAKALA WA JIOLOJIA TANZANIA (GST) WAFANYA MAFUNZO YA AWALI

Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) yafanya mafunzo ya awali kwa baadhi ya waajiriwa wapya juu ya sheria , maadili , kanuni na taratibu za kazi kwa mtumishi wa Umma ,Pichani mbele ni Kaimu Mtendaji Mkuu wa GST , Bi Augustine Rutaihwa , Meneja Rasilimali watu na Maendeleo wa GST , Bw . Gabriel Kasase na Bw. Rodney F. Matalis ambaye ni muwezeshaji wa mafunzo hayo kutoka Tume ya Usuluhishi na Upatanishi (CMA) kanda ya Kati - DODOMA.

 

2 years ago

Michuzi

Wataalam wa Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) Watambulika SADC

Na Samwe Mtuwa – GST
Watalaam watatu wa Taaluma ya Sayansi ya Miamba na Madini kutoka Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) ambao ni Alphonce Michael Bush, Masota Matthew Magigita na Zortosy Mpangile Maganga, wametambuliwa rasmi na Taasisi ya Japan, Oil, Gas, and Metal Cooperation (JOGMEC) ambapo sasa wanaweza kutoa mafunzo ya Utalaam wa Utafiti wa Rasilimali Madini kwa kutumia   Visawe vya Mbali (Remote Sensing) katika nchi za Ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC).
Mmoja wa Wataalam hao ambaye ni...

 

2 years ago

Michuzi

JAJI MKUU WA TANZANIA MHE. MOHAMED CHANDE OTHMAN AMSHUKURU RAIS MHE. DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KWA KUTIMIZA AHADI YAKE

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kwa kutimiza ahadi yake ya kuipatia Mahakama kiasi cha shilingi Bilioni 12.3 alizoahidi wakati wa maadhimisho ya Siku ya Sheria Februari 4, 2016 jijini Dar es salaam.

Amesema Fedha hizo zitatumika  katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo uboreshaji wa miundombinu ya Mahakama na ujenzi wa Mahakama mpya katika maeneo mbalimbali nchini.

Akitoa shukrani...

 

10 months ago

Michuzi

FATILIA HAPA MOJA KWA MOJA, RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AKIPOKEA RIPOTI YA KAMATI YA PILI YA KUCHUNGUZA MADINI

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI KUPOKEA RIPOTI YA KAMATI YA PILI YA KUCHUNGUZA MADINI.
BOFYA HAPA KUFATILIA LIVE

 

10 months ago

Channelten

Rais Dk John Pombe Magufuli ameiagiza kupitiwa upya kwa sheria ya Madini ya Mwaka 2010

magufuli

Rais Dk JOHN POMBE MAGUFULI ameiagiza kupitiwa upya kwa sheria ya Madini ya Mwaka 2010 ili kuondoa kasoro zote zilizomo kwenye sheria hiyo ambapo pia ameagiza mawaziri wa nishati na madini, manaibu wake, Makamishna wa Madini na wanasheria wa serikali waliohusika kwenye kusaini mikataba ya madini wahojiwe dhidi ya tuhuma za kijinai za kuisababishia hasara serikali.

Hatua hiyo inakwenda sambamba na kupitia sheria ya usimamizi wa mapato ya mafuta na gesi ya 2015 pamoja na kuzuia usafirishaji...

 

2 years ago

CCM Blog

RAIS JOHN POMBE MAGUFULI KUHAMIA DODOMA MWAKA 2020


RAIS JOHN POMBE MAGUFULI
Na Nassir Bakari

Leo Septemba 16, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha mkutano wa nne kwa Bunge la 11 uliodumu kwa muda wa wiki mbili, amesoma ratiba ya serikali kuhamia Dodoma.

“Ili kufanikisha azma ya Serikali kuhamia Dodoma, tayari imeandaliwa ratiba itakayowezesha Serikali kuhamia Dodoma kwa awamu, kuanzia mwezi Septemba, 2016 hadi mwaka 2020, bila ya kuathiri bajeti yetu ya mwaka 2016/2017 kama ifuatavyo”–

1. Septemba 2016 – Februari...

 

2 years ago

Michuzi

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI CHATO MKOANI GEITA KWA MARA YA KWANZA TANGU ACHAGULIWE KUWA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Geita Meja Jenerali Mstaafu Ezikiel Elias Kyunga kulia ,Mbunge wa Geita Vijijini Joseph Kasheku Msukuma kushoto na Naibu waziri wa Nishati na Madini ambaye pia ni mbunge wa Chato Dkt. Medard Kalemani watatu kutoka kulia wakielekea kwenye uwanja wa Mkutano wa mazaina kwa ajili ya kuwasalimia mamia ya wakazi wa Chato Mkoani Geita. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipiga...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani