WAKALA WA MISITU TANZANIA WAZUNGUMZIA UMUHIMU WANANCHI KUTUNZA MITI YA MIKOKO

Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiMTENDAJI Mkuu wa Wakala wa Misitu Tanzania(TFC) Profesa Dos Santos Silayo amesema ipo haja kwa Watanzania kuhakikisha wanatunza mikoko na kufafanua kuwa mikoko imekuwa ikichukua hewa ukaa mara 10 zaidi ya mimea mingine.
Ametoa kauli hiyo leo wakati wa upandaji miti ya mikoko katika eneo la Mbweni jijini Dar es Salaam na kufafanua Wakala wa Misitu Tanzania wataangalia namna ya kufanya kwa kushirikiana na wadau wengine ili kwenye maeneo ya mikoko wananchi ambao...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Channelten

Wakala wa misitu nchini (TFS) kupitia Mfuko wa Misitu Tanzania umewahimiza wananchi kujitokeza kuomba ruzuku

20151117_164358

Wakala wa misitu nchini (TFS) kupitia Mfuko wa Misitu Tanzania umewahimiza wananchi kujitokeza kuomba ruzuku ya kati ya shilingi milioni tano hadi 50, ili waweze kufanya shuguli mbalimbali za uhifadhi wa rasilimali za misitu nchini Tanzania.

Wito huo umetolewa mjini Dodoma kwenye maonyesho ya wakulima ya nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya Nzuguni, na Afisa Mipango na Miradi wa Mfuko wa Misitu Bibi. Tedy Paulo, ambaye ameweka wazi kuwa mtu binafsi au kikundi anaweza kuomba ruzuku...

 

2 years ago

Michuzi

WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU NCHINI WATOA MICHE YA MITI 600 KUUNGA MKONO KAMPENI YA UPANDAJI MITI JIJINI DAR ES SALAAM

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano, Luhaga Mpina akipanda mti katika Shule ya Sekondani ya Mama Salma Kikwete, Jijini Dar es Salaam leo ikiwa ni kuunga mkono kampeni ya upanadaji miti Jijini Dar es Salaam iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa huo Paul Makonda, Kampeni hiyo ijulikanayo kama "Mti Wangu"  itazinduliwa kesho Oktoba Mosi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania umechangia miche ya miti...

 

5 years ago

Michuzi

WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) YANYA ZIARA NA WAANDISHI WA VYOMBO VYA HABARI KUJIONEA UTUNZAJI WA MISITU YA CHOME, SHENGENA-KILIMANJARO

 Meneja wa Usimamizi Endelevu wa Mazingira asilia Chome,William Nambiza akiwaonesha waandishi eneo lilillovamiwa na wachimbaji Madini na baadae walifanikiwa kuwaondoa, kwa siku walikuwa wanaingia zaidi ya 600,000 wakichanganyika na wa nchi jirani.  Waandishi wa vyombo mbalimbali vya habari waliofanya ziara ya kuona mazingira ya mto Chome ambalo ni chanzo cha maji yanayokwenda mto Saseni na kutoa maji kwa wakazi wa Same na kumwaga maji Bonde la umwagiliaji Ndungu,Ruvu na Pangani.  ...

 

3 years ago

Michuzi

NEWZ ALERT:WAZIRI WA MALIASILI PROF. JUMANNE MAGHEMBE AMSIMAMISHA KAZI MKURUGENZI WA MIPANGO WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) NA MAOFISA MISITU WA MIKOA YOTE NCHINI LEO

Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe (kulia) akizungumza katika kikao na Idara ya Misitu na Nyuki pamoja na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) katika ukumbi wa Ngorongoro Makao Makuu wa Wizara hiyo Mpingo House Jijini Dar es Salaam leo tarehe 05 Januari, 2015. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Meja Jenerali Gaudence Milanzi.Waziri wa Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe (kulia) akizungumza katika kikao na Idara ya Misitu na Nyuki pamoja na Wakala wa Huduma za...

 

4 years ago

Michuzi

MKOA WA KAGERA WAADHIMISHA SIKU YA KUPANDA MITI KITAIFA WILAYANI ‘MISSENYI MISITU NI MALI PANDA MITI'

Aprili Mosi kila mwaka huwa ni siku ya kupanda miti kitaifa na mwaka huu 2015 mkoa wa Kagera ulipewa heshima ya kuadhimisha siku hiyo ambapo iliadhimishwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Missenyi na kushirikisha wadau mbalimbali pamoja na wananchi wanaojihusisha na kupanda miti na kutunza misitu.
Maadhimisho hayo yaliyoongozwa na mgeni rasmi Naibu Katibu Mkuu Celestine Gesimba kutoka Wizara ya Maliasili na Utalii ambapo maadhimisho hayo yalianzia katika Kijiji cha Bugolola eneo la...

 

2 years ago

VOASwahili

Miti ya mikoko, biashara inayokua kwa kasi nchini Kenya

Miti ya mikoko ni biashara inayokua kwa kasi nchini #Kenya kutokana na uwezo wake wa kutengeneza gesi.

 

2 years ago

Channelten

Wakala wa Huduma za misitu Tanzania -TFS wamekabidhi madawati 80 Temeke

screen-shot-2016-11-15-at-4-07-09-pm

Wakala wa Huduma za misitu Tanzania -TFS wamekabidhi madawati 80 kwa Halmashauri ya manispaa ya Temeke jijini dsm ikiwa ni mwitikio wa serikali katika kukabiliana na Upungufu wa madawati katika Shule za Msingi na Sekondari katika jiji la dsm.

Aidha TFS pia itakabidhi kiasi cha madawati katika manispaa ya Ilala na Kinondoni ili yasambazwe katika Shule zenye Upungufu wa dawati ambapo pia imeahidi kusaidia katika changamoto ya Upungufu wa Vyumba vya madarasa.

Akizungumza mara baada ya...

 

3 years ago

Michuzi

WAZIRI MAKAMBA ASHIRIKI KUPANDA MITI YA MIKOKO NA WAKAZI WA KATA YA MBWENI JIJINI DAR LEO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh. January Makamba Ametoa wito kwa Wananchi  wa Kata ya Mbweni kutunza mazingira na kutoa kipaumbele kwa mazingira. Aliyasema hayo wakati wa zoez la upandaji mikoko lilifanyika katika fukwe za bahari ya Hindi zilizoko Mbweni.
Akiongoza Wananchi wa Kata hiyo kupanda miche 5,000 ya mikoko , Waziri Mkamba alisititiza pia Wanafunzi wa shule waliopo katika eneo hilo kupenda mazingira yao na kuyatunza ili yawafae baadaye.
Wakisoma...

 

Share

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani