wakala wa Vipimo nchini wahakiki mizani 3,070, matayarisho ya ununuzi wa pamba kwa msimu wa 2017/2018

Na Atley Kuni - Mwanza.
Jumla ya mizani 3,070 Iliyo Hakikiwa katika mikoa ya kanda ya ziwa kwa ajili ya matayarisho ya ununuzi wa pamba kwa msimu wa 2017/2018 imekutwa salama baada ya kuhakikiwa na wakala wa Vipimo nchini.
Akizungumza nami Jijini Mwanza, kaimu Meneja Sehemu ya Elimu, Habari na Mawasiliano Bi. Irene John, amesema, Wakala wa vipimo Tanzania ( WMA) chini ya usimamizi wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji imeendelea kutoa elimu kwa wakulima pamoja na kuhakiki mizani...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

1 year ago

Michuzi

WAKALA WA VIPIMO YAENDELEA KUTOA ELIMU KWA WAKULIMA WA PAMBA

Wakala wa Vipimo (WMA) Tabora inaendelea na zoezi la kutoa elimu kwa Wakulima wa pamba kuhusu Mizani sahihi zinazotakiwa kutumika wakati wa msimu wa ununuzi wa pamba, elimu hii ya vipimo ni ya muhimu kwa Wakulima wakiwa katika maandalizi ya kuelekea katika msimu wa ununuzi wa pamba . 
Mpaka sasa Wakala wa Vipimo (WMA) Tabora imetoa elimu kwa Wakulima wa pamba katika wilaya mbili (2) ambazo ni Nzega na Igunga, na takribani kata 20 zimefikiwa na kupata elimu hiyo ambapo zoezi bado...

 

2 years ago

Michuzi

WAKALA WA VIPIMO KUWEKA STICKER MPYA KWA VIPIMO MBALIMBALI KUANZIA MWAKA 2017

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWAKALA wa Vipimo (WMA) inatarajia kuweka Sticker katika vipimo mbalimbali ili kuweza kumlinda mlaji kwa huduma inayoendana na thamani fedha yake.
Akizungumza na waandishi wa habari  leo jijini Dar es Salaam, Kaimu Meneja Sehemu ya Elimu , Habari na Mawasiliano, Irene John amesema uwekaji Sticker utaanza rasmi mwaka ujao kwa kubandika sticker hiyo kwa kila kipimo ambacho kinatambulika na Wakala Vipimo. Amesema sticker hizo zitawekwa katika pampu zinazotumika...

 

2 weeks ago

Malunde

WAKALA WA VIPIMO (WMA) WAHAKIKI PAMPU KITUO CHA MAFUTA TOTAL MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM


Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kinondoni Bw. Charles Mavunde akifanya ukaguzi wa Seal kwenye pampu  katika kituo cha mafuta cha Total Mlimani City jijini Dar es salaam leo  ili kujiridhisha kama upimaji mafuta wa Pampu ni sahihi wakati wateja wanapofanya manunuzi, Maadhimisho ya vipimo duniani yanatarajiwa  kufanyika Mei 20, 2019 jijini Dar es salaam.
Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kinondoni Bw. Charles Mavunde akishuhudia wakati mafuta yakijazwa kwenye kipimo maalum...

 

2 weeks ago

Michuzi

MAOFISA WA WAKALA WA VIPIMO (WMA) WAFANYA UKAGUZI WA MIZANI KATIKA SOKO LA KISUTU LEO


Bw. Costantine Clement Afisa Vipimo Wakala wa Vipimo (WMA)Mkoa wa Ilala akihakiki mizani ya kupimia vyakula katika soko la Kisutu jijini Dar es salaam leo, kulia kwake ni Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Ilala Bw. Evarist Masengo.

.............................................................................

Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Ilala Bw. Evarist Masengo na maofisa wa Wakala huo wamefanya ukaguzi wa mizani za kupimia vyakula katika soko la vyakula Kisutu leo ili...

 

2 weeks ago

Malunde

MENEJA WA WAKALA WA VIPIMO (WMA) ILALA WAKAGUA MIZANI ZA KUPIMIA VYAKULA SOKO LA KISUTU


Bw. Costantine Clement Afisa Vipimo Wakala wa Vipimo (WMA)Mkoa wa Ilala akihakiki mizani ya kupimia vyakula katika soko la Kisutu jijini Dar es salaam leo, kulia kwake ni Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Ilala Bw. Evarist Masengo.
.............................................................................
Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Ilala Bw. Evarist Masengo na maofisa wa WMA  wamefanya ukaguzi wa mizani za kupimia vyakula katika soko la vyakula Kisutu leo ili...

 

2 years ago

Malunde

MSIMU MPYA WA KILIMO CHA PAMBA MWAKA 2017/2018 WAZINDULIWA


MSIMU mpya wa kilimo cha pamba 2017/18 katika Kanda ya Magharibi inayojumuisha mikoa ya Mwanza, Simiyu, Shinyanga, Geita, Tabora, Mara, Kagera, Singida, Kigoma na Katavi, umezinduliwa rasmi kwa upandaji pamba utakaoendelea hadi mwishoni mwa mwezi ujao.
Akizungumza katika uzinduzi huo uliofanyika katika kijiji cha Mwamashimba wilayani hapa jana, Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Pamba Tanzania (TCB), Marco Mtunga alisema katika msimu wa kilimo wa 2017/18 jumla ya tani 25,000 za mbegu zimetengwa,...

 

1 year ago

Malunde

BODI YA PAMBA YATANGAZA BEI YA PAMBA MSIMU WA KILIMO 2018/2019

Bodi ya Pamba na wadau wa zao hilo wamekubaliana kuwa kilo moja ya pamba daraja A itauzwa kwa Sh 1,100 na pamba daraja B (pamba fifi) itauzwa kwa Sh 600 kwa msimu 2018/2019.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana na Wizara ya Kilimo, bei hiyo iliafikiwa katika mkutano wa pamoja wa wadau na Bodi ya Pamba uliofanyika Aprili 23.

Taarifa hiyo ilieleza kuwa bei ya pamba imepangwa baada ya kuzingatia vigezo vyote muhimu ambavyo ni kiwango cha kubadilishia fedha, bei ya pamba nyuzi, pamba ikiwa...

 

5 years ago

Dewji Blog

RC Mwanza azindua msimu wa ununuzi wa pamba 2014/15

pic mwanza

Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Eng. Everisti Ndikilo.

Na Mwandishi Wetu

MKUU wa mkoa wa Mwanza, Eng. Everisti Ndikilo, hivi karibuni amezindua rasmi msimu wa ununuzi wa pamba wa 2014/15 katika kijiji cha Isole Wilayani Sengerema.

Wadau wa msingi wa zao la pamba ambao ni pamoja na wanunuzi wa Pamba kupitia Chama cha Wafanyabiashara wa Pamba Tanzania (TCA), Wakulima kupitia Chama cha Wakulima wa Pamba Tanzania (TACOGA) Serikali kupitia Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika na Bodi ya Pamba pamoja na...

 

1 year ago

Michuzi

KAYA 6120 ZA WALENGWA WA TASAF ZALIMA PAMBA EKARI 8712 MSIMU WA MWAKA 2017/2018 MKOANI SIMIYU

Na Stella Kalinga, Simiyu
Kaya 6120 sawa na asilimia 52 ya walengwa wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) katika Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi Mkoani Simiyu zimewezeshwa kulima pamba ekari 8712 katika Msimu wa mwaka 2017/2018 kwa kutumia fedha za uhawilishaji.

Hayo yalibainishwa na Mratibu wa TASAF Mkoa wa Simiyu Bw. Nyasilu Ndulu wakati wa kikao cha kujenga uelewa wa pamoja kwa viongozi juu ya mpango huo kilichofanyika katika ukumbi wa...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani