WAKALA WA VIPIMO WAFANYA UKAGUZI KITUO CHA MAFUTA TOTAL MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 weeks ago

Malunde

WAKALA WA VIPIMO (WMA) WAHAKIKI PAMPU KITUO CHA MAFUTA TOTAL MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM


Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kinondoni Bw. Charles Mavunde akifanya ukaguzi wa Seal kwenye pampu  katika kituo cha mafuta cha Total Mlimani City jijini Dar es salaam leo  ili kujiridhisha kama upimaji mafuta wa Pampu ni sahihi wakati wateja wanapofanya manunuzi, Maadhimisho ya vipimo duniani yanatarajiwa  kufanyika Mei 20, 2019 jijini Dar es salaam.
Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kinondoni Bw. Charles Mavunde akishuhudia wakati mafuta yakijazwa kwenye kipimo maalum...

 

7 days ago

Malunde

MADEREVA WA MALORI YA MAFUTA WAPONGEZA WAKALA WA VIPIMO 'WMA" KUWAFUNGULIA KITUO CHA KUPIMA MAFUTA MISUGUSUGU


Na Emmanuel MbatiloMadereva wa Malori ya Mafuta (Trucker) wameishukuru taasisi ya Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) kwa kuwafungulia kituo cha kupima mafuta kilichopo Misugusugu mkoani Pwani kwa kuwa kimewasaidia kupunguza kero ya kusubiri kupima kwa muda mrefu.

Wamesema uanzishwaji wa kituo hicho umeleta tija kwa sababu kimepunguza sana msongamano wa maroli wakati wa kupima mafuta
Wamesema awali walikuwa wakipima katika kituo cha Ilala ambacho eneo lake ni finyu sana hivyo ilikuwa vigumu sana...

 

2 weeks ago

Michuzi

MAOFISA WA WAKALA WA VIPIMO (WMA) WAFANYA UKAGUZI WA MIZANI KATIKA SOKO LA KISUTU LEO


Bw. Costantine Clement Afisa Vipimo Wakala wa Vipimo (WMA)Mkoa wa Ilala akihakiki mizani ya kupimia vyakula katika soko la Kisutu jijini Dar es salaam leo, kulia kwake ni Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Ilala Bw. Evarist Masengo.

.............................................................................

Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Ilala Bw. Evarist Masengo na maofisa wa Wakala huo wamefanya ukaguzi wa mizani za kupimia vyakula katika soko la vyakula Kisutu leo ili...

 

3 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi wa kituo cha mafuta cha Puma cha Uwanja wa Ndege jijini Dar Es Salaam watekeleza agizo la Rais kwa kufanya usafi

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Mafuta cha Puma cha  Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Brown Francis akishiriki kufanya usafi katika kituo hicho ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Dk.John Magufuli kuwa maadhimisho ya Siku ya Uhuru 2015 yatumike kwa kufanya usafi nchini kote.

Meneja wa Kituo hicho, Shadrack Mwamaso naye akishiriki kufanya usafi.

Hapa usafi ukiendelea.

Hapa ni kazi usafi ukifanyika.

Ni kama anaongea ‘Ngoja nikazitupe taka taka hizi eneo...

 

2 years ago

Malunde

PICHA: KITUO CHA MAFUTA TEGETA JIJINI DAR ES SALAAM CHATEKETEA KWA MOTO

Kituo cha mafuta kilichopo eneo la Tegeta Azania jijini Dar as Salaam kineteketea kwa moto.Chanzo cha ajali hiyo ni gari lililokuwa likishusha shehena ya mafuta kushika moto.

 

2 years ago

Michuzi

POLISI WAFANYA UKAGUZI KATIKA KUTUO KIKUU CHA MABASI UBUNGO, DAR ES SALAAM

 Mkaguzi wa Magari wa Jeshi Polisi , Ibrahim Samwix akikagua basi la leo yenye namba za T 735 DFX usajili katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo jijini Dar es Salaam. Mkaguzi wa magari wa Polisi Sajeti , Elisante Bulla akikagua basi la kampuni ya Imo yenye namba za usajili T 773 CVX ambapo alibaini kukosa mikanda na kuirudisha ndani ya kituo cha mabasi Ubungo leo jijini Dar es Salaam.Mkaguzi wa magari wa Polisi Sajeti , Elisante Bulla akikagua basi la kampuni ya Islam na kubaini kukosa langi...

 

4 years ago

Michuzi

JK ALIPOAGWA RASMI NA WASANII WA FANI MBALIMBALI MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM


  JK akipata picha na Mgombea Ubunge Moshi Mjini Davies Mosha na mwendesha talk show Mboni Mashimba kwenye hafla ya Wasanii wa fani mbalimbali ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015 JK akisalimiana na msani Cassim Mganga Ommy Dimples akipata selfie na JK Wasanii wakipata selfie na JK Kila msanii aliomba selfie na JK Selfie kila meza na JK hakufanya hiyana JK akipata selfie toka kwa Salma Jabir na Madame Rita
Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

4 years ago

Vijimambo

PICHA: JK ALIPOAGWA RASMI NA WASANII WA FANI MBALIMBALI MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni  Mhe Paul Makonda alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Mhe. John Pombe Magufuli alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi...

 

4 years ago

GPL

JK ALIPOAGWA RASMI NA WASANII WA FANI MBALIMBALI MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM‏

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni  Mhe Paul Makonda alipowasili katika ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam ambako Wasani wa fani mbalimbali waliandaa hafla rasmi ya kumuaga usiku wa Alhamisi Agosti 6, 2015…

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani