WAKALA WA VIPIMO (WMA) WAENDELEA KUHAKIKI VIPIMO KUELEKEA MAADHIMISHO YA VIPIMO DUNIANI

  Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kinondoni Bw. Charles Mavunde akifanya ukaguzi wa Seal kwenye pampu katika kituo cha mafuta cha Total Mlimani City jijini Dar es salaam leo ili kujiridhisha kama upimaji mafuta wa Pampu ni sahihi wakati wateja wanapofanya manunuzi, Maadhimisho ya vipimo duniani yanatarajiwa kufanyika Mei 20, 2019 jijini Dar es salaam.
   Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kinondoni Bw. Charles Mavunde akishuhudia wakati mafuta yakijazwa kwenye...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

2 years ago

Michuzi

WAKALA WA VIPIMO KUWEKA STICKER MPYA KWA VIPIMO MBALIMBALI KUANZIA MWAKA 2017

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWAKALA wa Vipimo (WMA) inatarajia kuweka Sticker katika vipimo mbalimbali ili kuweza kumlinda mlaji kwa huduma inayoendana na thamani fedha yake.
Akizungumza na waandishi wa habari  leo jijini Dar es Salaam, Kaimu Meneja Sehemu ya Elimu , Habari na Mawasiliano, Irene John amesema uwekaji Sticker utaanza rasmi mwaka ujao kwa kubandika sticker hiyo kwa kila kipimo ambacho kinatambulika na Wakala Vipimo. Amesema sticker hizo zitawekwa katika pampu zinazotumika...

 

5 years ago

Habarileo

Wakala wa Vipimo watahadharisha vipimo bandia

WAKALA wa Vipimo Tanzania (WMA) umewataka watumiaji wa vipimo batili kuacha kutumia vipimo hivyo kwani vinadimimiza uchumi wa Watanzania na taifa.

 

3 years ago

Channelten

SERIKALI imeamua kuwasimamisha kazi watendaji wawili kutoka Wakala wa Vipimo nchini (WMA)

12729266_1062483053815688_1282160462629705337_n

SERIKALI imeamua kuwasimamisha kazi watendaji wawili kutoka Wakala wa Vipimo nchini (WMA) kuanzia leo ili kupisha uchunguzi wa upotevu wa mafuta bandarini kutokana na zuio la kufunga kwa mita kwa zaidi ya miaka mitano.

Waliosimamishwa kazi ni Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo nchini (WMA), Bi. Magdalena Chuwa na Meneja Vipimo Kitengo cha Bandari, Bi. Bernadina Mwijarubi. Bi. Mwijarubi ndiye anashughulikia kitengo cha mafuta bandarini.

Akitangaza uamuzi huo kwenye kikao cha Makatibu Wakuu...

 

2 weeks ago

Michuzi

MAOFISA WA WAKALA WA VIPIMO (WMA) WAFANYA UKAGUZI WA MIZANI KATIKA SOKO LA KISUTU LEO


Bw. Costantine Clement Afisa Vipimo Wakala wa Vipimo (WMA)Mkoa wa Ilala akihakiki mizani ya kupimia vyakula katika soko la Kisutu jijini Dar es salaam leo, kulia kwake ni Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Ilala Bw. Evarist Masengo.

.............................................................................

Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Ilala Bw. Evarist Masengo na maofisa wa Wakala huo wamefanya ukaguzi wa mizani za kupimia vyakula katika soko la vyakula Kisutu leo ili...

 

2 weeks ago

Malunde

MENEJA WA WAKALA WA VIPIMO (WMA) ILALA WAKAGUA MIZANI ZA KUPIMIA VYAKULA SOKO LA KISUTU


Bw. Costantine Clement Afisa Vipimo Wakala wa Vipimo (WMA)Mkoa wa Ilala akihakiki mizani ya kupimia vyakula katika soko la Kisutu jijini Dar es salaam leo, kulia kwake ni Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Ilala Bw. Evarist Masengo.
.............................................................................
Meneja wa Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Ilala Bw. Evarist Masengo na maofisa wa WMA  wamefanya ukaguzi wa mizani za kupimia vyakula katika soko la vyakula Kisutu leo ili...

 

1 week ago

Malunde

MENEJA WA WAKALA WA VIPIMO (WMA) BANDARINI AELEZEA UMUHIMU WA KUPIMA MAFUTA KATIKA HATUA MBALIMBALI


Bw. Peter Chuwa Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Bandarini akizungumza na waandishi wa habari leo katika ofisi za (WMA) zilizopo kwenye Shirika la Viwanda Vidogo (SIDO) Barabara ya Nyerere jijini Dar es salaam leo wakati akifafanua masuala mbalimbali yanayohusu vipimo vya mafuta kwenye Meli Kwenye Matanki ya kuhifadhia na kwenye maroli yanayosafirisha nishati hiyo hapa nchini na nchi mbalimbali. 
Bw. Peter Chuwa amesema kuna umuhimu mkubwa sana kupima mafuta katika hatua yoyote ile iwe kwenye...

 

3 years ago

Michuzi

SIKU YA VIPIMO DUNIANI: VIJANA WA KITANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA YA MAFUNZO KATIKA FANI YA VIPIMO ILI KUKIDHI MAHITAJI YA AJIRA KWENYE VIWANDA, GESI NA MAFUTA

 Mkuu wa Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi ya Dar es salaam Prof. Emanuel Mjema (kulia) akiangalia moja ya mashine ya kisasa inayotumika kufundishia wanafunzi wa Fani ya Mizani na Vipimo ndani ya karakana ya chuo hicho leo jijini Dar es salaam wakati wa maadhimisho ya Siku ya Vipimo Duniani yaliyoongozwa na kauli mbiu isemayo Vipimo katika dunia inayobadilika.Mkufunzi wa Mizani na Vipimo wa Chuo cha Elimu ya Biashara kampasi Dar es salaam Ishigita Shunashu akitoa ufafanuzi kwa wanafunzi wa...

 

2 weeks ago

Malunde

WAKALA WA VIPIMO (WMA) WAHAKIKI PAMPU KITUO CHA MAFUTA TOTAL MLIMANI CITY JIJINI DAR ES SALAAM


Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kinondoni Bw. Charles Mavunde akifanya ukaguzi wa Seal kwenye pampu  katika kituo cha mafuta cha Total Mlimani City jijini Dar es salaam leo  ili kujiridhisha kama upimaji mafuta wa Pampu ni sahihi wakati wateja wanapofanya manunuzi, Maadhimisho ya vipimo duniani yanatarajiwa  kufanyika Mei 20, 2019 jijini Dar es salaam.
Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kinondoni Bw. Charles Mavunde akishuhudia wakati mafuta yakijazwa kwenye kipimo maalum...

 

Share

Trending Now

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani